GEN Z AMLILIA RUTO "KAKA YANGU ALIPIGWA RISASI ZA KICHWA NA KDF SINA MSAADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 місяці тому

    Tatizo ni Moja tu....ukiwa kiongozi mporaji hata unaowaongoza watakuwa wa poraji...

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 3 місяці тому +1

    Angekaa nyumbani asingepigwa

    • @Loraine2t
      @Loraine2t 3 місяці тому +1

      Aliuliwa nje ya nyumba yake Githurai hakua maandamano

    • @saivellybrutally2994
      @saivellybrutally2994 3 місяці тому +1

      Ajali huwa ni popote kaka kwaiyo mwezako kupata ajali sio kwamba amependa kwake ipo siku utajutia Kwa hauli yako

    • @asminmakoha6889
      @asminmakoha6889 3 місяці тому +1

      Unajua kama ujapatwa nishida unatapika vile unataka shikilia ampo ujui yako yakesho najua ulizaliwa nakilakitu

    • @alimwadima254
      @alimwadima254 3 місяці тому

      Usiongee Tu km punguani...Wakati unajua Askari Wa Kenya Jinsi walivyo so sad😢

  • @hellenakinyi9976
    @hellenakinyi9976 3 місяці тому

    we rafaelkivuyo usiongee hivo ujinga basi ufyatuliwa wewe

  • @RaphaelKivuyo-ps3ow
    @RaphaelKivuyo-ps3ow 3 місяці тому +1

    Apigwe alifuata nn angetulia nyumban ruto alifuata kwenu

    • @DEMANOTY
      @DEMANOTY 3 місяці тому +2

      Umbwa wewe alikuwa ameenda kutetea nchi Yako na unaongea ka fala apa,shame on you watu kaa nyinyi ndo mnafanya nchi isiendelee