Maarifa ft Afande Sele x Solo Thang x Profesa Jay - Old Is Gold Freestyle - Episode 19

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 62

  • @mussajumaa1875
    @mussajumaa1875 6 місяців тому +9

    Mwanangu maarifa leo nimekua wa kwanza

    • @lnpMuzik
      @lnpMuzik 6 місяців тому +1

      Sasa uchemshiwe mkojo ama?

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 6 місяців тому +6

    Tuna shindana Mimi huyu Na mm Wa Zamani...😊

  • @dariusmsagha
    @dariusmsagha 6 місяців тому +2

    This is so classical yet nostalgic.
    Love and support from Kenya brother.

  • @EmanuelBlassy-uz4gm
    @EmanuelBlassy-uz4gm 6 місяців тому +1

    Ngoma yangu Bora 2024

  • @nasibumbwewe9860
    @nasibumbwewe9860 6 місяців тому +1

    Uko juu kaka naomba sitaki demu ya nature

  • @mbwanatoba115
    @mbwanatoba115 6 місяців тому +1

    Huyu jamaa yuko vizuri sana

  • @Daud0000
    @Daud0000 6 місяців тому +1

    Nakubar mwanangu sana hip hop mahala pake imekaa

  • @IbrahimAliy-t3l
    @IbrahimAliy-t3l 6 місяців тому +3

    Huyu mwamba ni hatar acha wale wanao jisfu sjui mbuz ila huyu ni silent killer

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 6 місяців тому +2

    Hujawai haribu kaka

  • @himidinithomas
    @himidinithomas 5 місяців тому

    goma Kali knm nitabeng nayo pens down 😍sema zingat no hy pisi Kali🤣😂

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 6 місяців тому +1

    #Maarifa The Big Thinker NIMEUKUBARI MTAZAMO WAKO 🎤💥💥💥💥💥💥

  • @JamesKalambo-hn6ws
    @JamesKalambo-hn6ws 6 місяців тому +2

    Unajua sana kaka

  • @Business-matter669
    @Business-matter669 6 місяців тому +1

    Hakuna vina bila D❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SonOfJack255
    @SonOfJack255 6 місяців тому +1

    Afisa ugavi unayekijua kipaza 🙌🏽

  • @Chunja-m2g
    @Chunja-m2g 6 місяців тому +1

    Hakuna vina bila D safiii

  • @mchox1679
    @mchox1679 6 місяців тому +2

    Naitwaaaaa

  • @dedsecmalis2005
    @dedsecmalis2005 6 місяців тому +1

    Jamaa unajua 🎉

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 6 місяців тому +1

    Mistari ya ukweli

  • @YahayaMbumbie
    @YahayaMbumbie 6 місяців тому

    Noma sanaaa❤❤

  • @collihgram
    @collihgram 6 місяців тому +1

    Haina mbambamba.🙌🏽🔥

  • @robertchubu5028
    @robertchubu5028 6 місяців тому +1

    Mtu mbaya maarifa the great thinker

  • @NazaboyJoshua
    @NazaboyJoshua 6 місяців тому +1

    Nakubali sana

  • @kibisionlinetv
    @kibisionlinetv 6 місяців тому +2

    Kalliiii

  • @harrymbogo
    @harrymbogo 6 місяців тому +1

    Mistari iliyojaa meaning kibao, funny kibao kama uchanji uwez elew ila bro unajua..✌️( maarifa ya maarifa absolutely

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 6 місяців тому +2

    Oyaaaa weeeee😅😅😅

  • @MaulUme-t8n
    @MaulUme-t8n 5 місяців тому

    Nomaaaaaa 🔥🔥

  • @mathiascharles607
    @mathiascharles607 6 місяців тому

    Classic one

  • @SchampsTZA
    @SchampsTZA 6 місяців тому +2

    Noma

  • @anselmokidaboma9328
    @anselmokidaboma9328 Місяць тому

    Maarifa noma kaka, ila unatoa fupifupi,,,,,kiu haikatikiiiii

  • @JohnUruban
    @JohnUruban 6 місяців тому

    Unajua sana mtu

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 6 місяців тому

    Maarifa hii ni zaidi ya idea ulipoanza walichukulia poa ila usichoke hii ni big project watakusoma tu

  • @mielgsniper5858
    @mielgsniper5858 6 місяців тому +3

    ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 6 місяців тому

    Champion

  • @NGUSSANGUNDA
    @NGUSSANGUNDA 6 місяців тому

    Hskuna vina bila d noma cna

  • @bensonswai-hl6fn
    @bensonswai-hl6fn 6 місяців тому

    VINA bila D 🎶🎶

  • @olayo6906
    @olayo6906 6 місяців тому

    Nic song

  • @AwardBillb000ard
    @AwardBillb000ard 6 місяців тому +3

    Unazingua. Toa ngoma official... Hizi zimeshakuwa nyingi Sana unakuwa Kama underground anayetafuta kutoka.... Toa kazi baba ushindane ushindani wa kweli

    • @darslaamboi
      @darslaamboi 6 місяців тому

      💯 Anazingua Big Time mwisho wa siku anaharibu tu nyimbo za watu

    • @snashbwaii170
      @snashbwaii170 6 місяців тому +2

      Nani anafanya hivi si yeye ndo anafanya hivi achane afanye hizi kwasababu anawapa heshima wale wote walifanya hizo ngoma kabla

    • @AwardBillb000ard
      @AwardBillb000ard 6 місяців тому

      @@snashbwaii170 hamna Cha maana hapo. Huwezi kuwa rapper Bora kwa kufanya kazi za watu. Wanaotakiwa kufanya hivi ni kina Toxic, Rasco Sembo, Hawa watoto wote wa sikuhizi... Huyu Jamaa saivi ni zaidi ya miaka 7 kwenye game. Alafu ndo anataka kumdiss Lunya.😅😅😅 Hana album, Hana hits, hajatoa ngoma official zaidi ya mwaka Sasa na ngoma ya mwisho kutoa ilikuwa freestyle. Anazingua msimpe libichwa. MaLegend tunawajua na hakuna haja ya kurudia kazi zao kuwaenzi.

    • @AwardBillb000ard
      @AwardBillb000ard 6 місяців тому +1

      @@darslaamboi miyeyusho kinoma mzee wangu. Hawezi kuwa rapper Bora kwa hii gia ya underground. HajaQualify hata kuDiss yeyote kwa sababu Hana chochote zaidi ya jina

    • @darslaamboi
      @darslaamboi 6 місяців тому

      @@snashbwaii170 Heshima ipo kwa kufanya remix ,Sampling au kurudia nyimbo yote huu anao ufanya ni utoto 🚮

  • @LugololaPeleka
    @LugololaPeleka 4 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @johnbahatikaroti5081
    @johnbahatikaroti5081 6 місяців тому

    Da bx upewe heshuma ako

  • @SuedChuby
    @SuedChuby 6 місяців тому +1

    ❤❤

  • @JamesKalambo-hn6ws
    @JamesKalambo-hn6ws 6 місяців тому +1

    Mtoto w baba

  • @sundaypeter5619
    @sundaypeter5619 6 місяців тому +1

    Vina bila D,,means DNA

  • @breezylovetz2916
    @breezylovetz2916 6 місяців тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @MrusiMweusi
    @MrusiMweusi 6 місяців тому

    🎉🎉

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu 5 місяців тому

    Nina furaha sana, nakumbuka pale TikTok nikikuomba upite kwenye MTAZAMO na sasa ukafanya hivyo;nashukuru sana,uwezo wako ni mkubwa sana!
    Ombi la mwisho, Kuna beat ya P Funk Majani ya Ngoma ya HAWaTuWEzi ya Nako 2 Nako, ukipita kwa hii pia nitafurahia sana

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 місяців тому

    🔥🔥🔥🔥🔥💣💣🏌️

  • @wingsben4610
    @wingsben4610 6 місяців тому

    NGOMA KUBWA BADO KUSHINDA HIZ VERSE

  • @isacklouis9732
    @isacklouis9732 6 місяців тому

    Maarifa tuletee nikusaidiaje ya profesa jay @maarifa #nikusaidiaje

  • @simonykingtz5680
    @simonykingtz5680 4 місяці тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EmmanuelMbilinyi-yk2lm
    @EmmanuelMbilinyi-yk2lm 6 місяців тому

    Noma