HIZI NDIZO AINA 10 ZA TALAKA KATIKA UISLAM / WE UNAFAHAMU AINA NGAPI ZA TALAKA? - SHK ABUU IDD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #shk_Othman_Maalim

КОМЕНТАРІ • 17

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому +1

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu WADAU WA RIYADH na koo zima ya Riyadh Tv online znz

  • @mohammedsalum9079
    @mohammedsalum9079 2 роки тому

    Mm naomba kuliza mwanamke anpokwenda kwakazi akanunuwa talaka kwasababu sikuhizi talaka kwakazi wanauza talaka je inasihi

  • @salamakhamis4558
    @salamakhamis4558 3 роки тому

    Asalam Aleykum shekh.kama umewachwa talaka moja,alafu mume akataka kukurejea,yafaa kukuregea bila shahidi? Kuacha aliacha mukiwa wawili nakukuregea karegea pia mukiwa wawili,yani mume,na mke,je yafaa?

  • @zahraabubakar6091
    @zahraabubakar6091 3 роки тому

    Salma aleikum jee talaka yapita kuachiwa salam mwanmke na hakunambia mke mwenuewe

  • @alitesco4943
    @alitesco4943 4 роки тому

    Huyu baba tumemzoez akikashifu mashehe wenziwe Leo ataowa mhadhara dunia hii mungu atusitiri

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому

    Muhammed na Faiza kuja hapa wandugu

    • @mohamedsaidy6399
      @mohamedsaidy6399 4 роки тому

      asante mwaya tupo pamoja allah atunusuru natalaka zote 10

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 4 роки тому

      @@mohamedsaidy6399 Hujambo Muhammed yani inakera Amin kwa sote

    • @mohamedsaidy6399
      @mohamedsaidy6399 4 роки тому

      @@zayyatiyussuf9566 Mimi cjambo vizur cjuw wewe mwezangu huko uliko unaendeleaje na mambo yako matam

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 4 роки тому

      @@mohamedsaidy6399 Alahmdullah huku kwema tu karibu sana

    • @mohamedsaidy6399
      @mohamedsaidy6399 4 роки тому

      @@zayyatiyussuf9566 mh zayyati unanikaribisha huko na hata kimara sijawahi kufika mwisho niubungo kibo ndio nilipo fikia