Masha Allah, Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi na naukawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi. (110-1-2)
Maasha Allah Tabaaraka Allah, Sheikh Othman keshaacha zake Sadakatu Jariyya. Msiba ulioje kwa sisi tunaoacha sadakatu jariyya ya miziki na picha za utupu zitakazotazamwa na watu mpaka siku ya kwisha ulimwengu. Allah atunusuru
Kama unamkubali sheikh osuman Mdogo like yako chini yupo sawa sana tena sana mungu ampe maisha marefu insha Allah
Aaamiin
ALLAH AKBAR ! ALLAH AKBAR!,,,,Allah akupe maisha marefu! shekh_othman maalim Mdogo!!!
Mashaallah Allah akbar Allah akulinde ucije kufuata nyayo zakisheitani amin na akuongoze kwenye mema hadi siku yko ya mwisho na ss tukiwemo amin
Mashaallah mungu akupe maisha marefu.
آمین آمین آمین👏👏👏
Amiin, Allah amzidishie
Maashallwah natamani Sana mwanangu na Mimi kumpeleka kwenye mambo km haya dini
Allahuma amin
Kama mawaidha haya wayasikia kwa njia ya sauti hakika huwezi kataa kama ni othman maalim mwenyewe!! Jazzakallah khaira...
Bado hajafikia
@@athumani25 msikilize othman maalim wa miaka ya 2006 utaelewa!! Na hata anavosema sasa awali hakua hivyo kuna tofauti kubwa sana.
Mashallah,Allah akujaze uongofu ndugu,ila omba Allah Sanaa,akulnde na fitina ya Dunia,akuepushe na kibri na akupe hekma,from kenya.
Heeeeeeh jamani Yan wallah nasema huyu ni othman maalim mwenyewe. Daah Allah huakbar
MAASHAALLAH MAASHAALLAH hakika ni mrithi washeikh Othman maalim ALLAH akujaze kher ndugu yang
Subhanallah swadaktah maneno yako ALLAH ATUHIFADHI ISHALLAH NA DAJAL YUWAJA KWA KASI na mugu akujaliye yakher ameen
U speak the reality ustadth ,may Allah gave u long life uendeleshe mawaitha hayo mazuri
SubhanaAllah😢 ALLAH atupe mwisho mwema InshaAllah atunusuru na adhabu zake atusameh makosa yetu ya siri na ya dhahiri yaa Rabb😭😭😭
Aamiin yaa rabb
Mungu amjaze kher sheikh Othman maalim hakika ameonyesha muongozo ktk kulingania dini ya kiislam
Maa sha ALLAH, nilitaka kuisikia sauti yake, Subhanallah sauti sawa sawa na sheikh othman maalim, Allahuakbar
Ma'ashallah. Allah s.w akuhifadhi shekh othman maalim mdogo. Amin
Wawah sijuw nisemeje cpoy to right na shehe Othaman Maalim Mashaaallah barakawah fik
Mashaa ALLAH. Natamani ungekuwa mtoto wangu. Mola akuhifathi. Na tashwish za shetani
Mashaallah ,allahu Akbar,mungu akulinde kwa kla jambo mrith wa Othman maallim
Mashallahu mungu akupe maisha mema yenyeher nabaraka amina yarab muhfadh nakila shar kwan hakika hasidi hana sababu
Allahu akbar Allahu akbar Allah akuzidishie na akulinde inshaallah
Takbiiiiiiir Allah Akbar mashallah Allah akuzidishie ilmu na afyanjema kweli mrith waothman💪
Yaarabb tupe mwisho mwema yailah 😢😢tuongoze na watoto wetu na wazazi wetu wawe wenye khofu na Allah
Masha Allah, Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi na naukawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi. (110-1-2)
MAASHAALLAH Shk. Othman Maalim ALLAH AKULIPE huyu mtoto ameamua uwe rolmodo wake hivyo usimuache mfuatilie ALLAH Atakulipa kheri Inshaallah
MashaAllah saut kam ya shekh Othuman subuanalaaah, Mung akupe afya njem in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻❤️
Ammiin
زادك الله علما النافع يا اخى
Alhamdullillah, jazakallah kheri. Allah akulinde na hasad. Allah atuongoze na ss ktk njia ilio nyooka pmj na vizazi vyetu
MashaAllah mashaAllah mashaAllah. shukran jazzakh Allahu kheiri inshaAllah
MashaAllah,Allah akuzidishie ilimu na hikma mim ndugu yenu kutoka malindi kenya.
Mashaalah mwenyezi mungu akupe umri mrefu sio sauti tuu chukua na busara zake
MashaAllah Allah akunusuru na hasada za walimwengne... Allah akuzidishie elmu daima...
Maasha Allah maasha Allah mle mle mle hmm tabarakaallah mefurahi sana subhnaallah
maa shaa Allah 🎉🎉maa shaa Allah ❤❤❤❤
MashaAllah, Mungu akubarikie..napenda sana khutba za Sh. Othman Maalim
Mashaallah Allah azidi kukufifadhi akupe afya na isnhaallah Allah akupe umri mrefu🤲
Ma sha Allah nkifumba macho naamini ni otham maalim. Allah akuzidishie brother all the way from kenya.
Maachaa allah mungu abape maicha marefu ❤
Mashaa Allaah allah akuzidishie kila la kheri
Maasha Allah Tabaaraka Allah, Sheikh Othman keshaacha zake Sadakatu Jariyya. Msiba ulioje kwa sisi tunaoacha sadakatu jariyya ya miziki na picha za utupu zitakazotazamwa na watu mpaka siku ya kwisha ulimwengu. Allah atunusuru
Sdactha kka
Aaamiin
Mashallah Allah akuzidishie ilimu sheikh akujalie umri wenye afya njema
Wallah maxha Allah kijana yupo vzr Allah amuweke ili aendele kutupa burdaan kama za shk Othman maallim jazaka llahu khayra yaa akhylazizi
Mashaa Allah. Sauti kama ya Othman Maalim. Mungu akuzidishie kula la kheri Inshaa Allah.
Huhuhujuhuuuuu daaar Alibibiy mwalimu Uthumani mwenyewe mashaallah
Masha Allah masha Allah navyompenda sheikh Othman maalim ....jazallh kheir
Maashallah jazakka llahu khayra,naam wafanana saut na othman ma'alim Sanaa Allah akuzidishie kher inshaallah!!!!!
Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah
MashaAllah hakika nimefurah kuona mrith wa saut na dawaa nzur kutoka kwako kwa mfanano wa Othman Maalim!!
Allah akuzidishie kila la kheri sheh salim alyy uendelee kuuuelimisha ummah wa kiislam ww pamoja na shekh othman maalim
MashaAllah sheikh Othuman Maalim mdogo🙏
Mansha allah allahu akbaru nikipaji kweli
Jazakalah khaira wabaada likhaira janatu naima
MashaAllah copyright. Othman maalim..sauti,vitendo mpaka macho MashaAllah.
Duh hadi macho kumbe
Allah akujaalie Hekma na Amani ktka maisha yko na Akuzidishie elimu zaidi na zaidi
Mashall mungu akuzidishie
Masha allah, Allah awaeke wapate kuja kuiifunza jamii yetu Aaaamyn na jamii yetu nayo ijifunze kutoka kwao
Masha Allah mola atuweke atupe maisha marefu
Mashaallah hakika Mwenyezimungu humuongoza amtakae ya Rabb tujaalie tuwe miongoni mwa waja wako Wema
Amiin Thumma amiin
Allah Akbar mashallah Allah akuhifadhi
Mashaallah Allah akuongoze pamoja na ss maisha mema
Allah akuhifadhi yaarabbi amiin
Subhanallah Allah atujaalie mwisho mwema 😭
Amiin
Mashaallah mungu akupe nguvu
Masha Allah Allah akuzidishie kheri inshaallah
Takbiirr
Mashaaallah tabarq Rwahuman 🌺🌺🌺🌺🌺
Mashaallah
Maashaallah Alla h atuongoze na ss pamoja na vizazi vyetu
Mashaallah Thabarakallah
Asantebroo
Munguakulindemchana
Nausiku
Mashaallah Othman part 2
Mashallah sauti zinafanana kweli na sheikh othuman
Mashaallah mwenyezi mungu akuhifadhi
Masha allah
Maasha allah
Masha Allah tabarak Allah
ماشاءاللہ
Allah akujaaliue kila la kher .Mawaidha mazur ujumbe umefik
Maashaallah Allah amhifadhi
ماشاءالله بارك الله فيك
MaashaAllah.Allah akuhifadhi
Acha tu nisema ni mtoto wa sheikh Othman maalim Allah akuhifadhi akupe husni khatimaa
MashaAllah kher 🙏🏾🙏🏾
Mashaaallah tabarakallah
Janabi tuseme mashaallwa
Mashallah, shukuran aki una mawaidha mazuri sana Allah akutangulie taima
Kwa kweli shekhe wetu upo vzr sana ni urithi mzr sana ulioupata kutoka kwa kipenzi chetu shekhe wetu Othman Maalim
Ni mtoto wa Athman Maalimu.Mashallah
Ma shaa Allah
Allah mjaalie awe muadilifu katika elimu yk
Yaa Allah tujalie tuwe na mwisho mwema
Amiin yaa Rabb
Allahumma amiin
ماشاء الله
Mashaalah. Kijana upo vizuri sana. Allah akuzidishie.
Subhanallaaaah... Nilijua Ni Shaikh Othman Maalim, wallah... 🤤
Mashaallah mwenyezi mungu atujalie watoto km hawa kwa uwezo wake
Jazakawah kher
mashaallh Allah akulinde inshaaallah
Masha Allah
MashaAllah MashaAllah
Ma sha Allah..
MashllAh ❤😊🎉
Mashaallah tunakuomba Allah akuzidishie ilim kulikoo hii iwee yagher na salama ndaniyake
Upo vzr sheikh kweli umeathirika kwa elimu ya sheikh Othman
Mashallah Allah akulipe mema sheikh
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu wadau wa Riyadh na ko o zima ya Riyadh Tv online Znz
zayyati yusufu waalykum salam warhmatu wah wabarakat
zayyati yusufu hujmbo zayyat za siku
@@faizasaid8262 sijambo Faiza khofu kwako upooooooo?
@@zayyatiyussuf9566 zayat asalam alaikum
@@faizasaid8262 faiza said vip haliyako
Mashallah
Mashallah mungu akuwekeeee
Mashallah tabarak warahm saut haipishi san n ya shekh odhman maal
Mashallah huyu kweli Mrithi wa Othman Maalim