Amina mtumishi wa MUNGU mafundisho yako yamenitoa utumwan yamenikomaza kiiman na yamenibidiisha kimaombi nimekuwa mtu wa kuomba badala ya kusubiriwa kuombewa na kuutabiriwa.....hosea 4:6, ....
Habari ndg yang katika Kristo, Samahan usikwazike ni kusaidiana tu, why *black queen??? * na mbona naona picha kama ya mbwa mtu hapo??? Je, hiyo haiwezi kuwa moja ya hila za shetani kwako kufunga milango yako katika kupokea majibu??? Kila kinachoonekana katika mwili kina pacha wake katika roho!!! Usitegwe na muovu CHANGAMKA

Barikiwa sana nimekuona kwa kanisa la gwajima. Nimebarikiwa sana
Mungu azidi kukutumia
Atukuzwe Yesu sana
Mbna hamuonyeshi vizuri hata vitabu vingine sivipati mimi🙏🙏🙏
Wewe ni mtume wa MUNGU kweli kweli.
Amen.
Ubarikiwe sana
Mwl.naomba namba zako
Barikiwa sana kwa somo zuri, naweza pata hizo notes kwa njia ya email??
Amina