KEKIMA YA BISHOP GWAJIMA || RETREAT CAMP DAR ES SALAAM
Вставка
- Опубліковано 1 чер 2023
- KEKIMA YA BISHOP GWAJIMA || RETREAT CAMP DAR ES SALAAM
● Testimonies: abcglobalchurch@gmail.com
● Giving: 0655 466 675 or 0753 466 675 (Dickson Cornel Kabigumila)
● To get Teachings and Books Join us on Telegram:
t.me/abcglobalaudio
t.me/abcgloballibrary
Website:
yesunibwana.co.tz
zeno.fm/radio/abc-global/
Spotify: anchor.fm/pastorkabigumila
● Follow Pastor Dickson on social media
Facebook: / pastorkabigumila
Tiktok: / kabigumila
linktr.ee/pastorkabigumila
Ameeen Pastor MUNGU aendelee kuwa tumia zaidi
Amen Amen Baba.
Amina jasusi la mbinguni
Amen
❤❤❤
Hizi nondo ni hatari sanaa
Jamaa anaongea poit tu mhhh hongera kwake
Hallelujah Baba Na Barikiwa MUNGU AWAONGOZE NA KUWALINDA KWAKILA MAJARIBU ,INJILI ISONGE MBELE
Musa wa Tanzania ni Askofu Josephat Gwajima.He is the next president of Tanzania,muuombeeni Ulinzi na Afya njema!
Inawezekana hajui ila ni yeye baada ya Rais Samia.
Amen, na Asante kwa neno la Mungu Baba na Barikiwa.
Kwali Mungu huwa anatuma watu huyu ametumwa na Mungu alie hai
Hallelujah
Oh Yes tunaendelea kukuombea KUHANI wa aliye juu...Hiyo ni hekima kubwa.....God willing tutafika by his glorry
Baba barikiwa Mungu amekupa akili nyingi Sana!!!
Ubarikiwe mtumishi wabwana
AMEN, my father
Ooh!! my God so amazing
Amazing wisdom from son of God
Amen baba ni kweli kbs
Napokea kama nipo hapo.kikubwa kutendea KAZI.acha nijifariji angalau.
Thank you for posting this!
Barikiwa nimekuelewa
Naaaam Nakubaliiiiii
Deep teaching to deep people 😅😅😅
Niliisubiri sana hii niliona clip tu nikapendaaa
Ili umuelewe baba yetu lazima uwe na akili ya kiungu,maneno ya watu wa mbinguni
Hiki ni chuma kweli kweli
Hiiiiiii
Ilikua lini baba angu kahubili uk
JASUSI LA MBINGUNI TUNAKUPATA VIZURI.
aisee huyu anaongea hapo si binadamu exactly ni MUNGU MWENYEZI
What do you mean?😅
I'm taking this🎉
Unakufuru kumlinganisha mtu na Mungu
@@EuniceShedrackMallya elewa Anae ongea Mwandani Mwake na Sii Alie simama Kwamba Mwili ,Yana Roho
waandishi huyu hana hekima huyu mtumishj wa tumbo na shetani amekura pesa ya bandari msariti huyu
Wewe ni sifuri kabisa! Umejaa uovu wa dhambi na uharibifu mwingi asioujua mtu, unawezaje kutukana wasiokujua hata kama upo duniani?
Umtukanae mtumishi wa mungu nipepomkubwa
Unaungua ukiwa waapi kuzimu ama duniani. Tuachie sisi hilo neno litufae mioyoni mwetu. Haya ni maneno ya waendao Mbinguni kwa Yesu Kristo.
Hekima gani wewe
Wewe unayekurupukia vitu mtandaoni una akili kweli? Umeweka bundle kuja kufanya ujinga kwenye video za watu? Jiheshimu
Amen