🔥Ati nilipokuwa nimetupwa mikono iliniokota, ya mpenzi wangu mzuri ilinipiga makofi, ya wapendwa ilinisukuma mbali na ile ya jirani zangu iliniwekea sumu lakini ya Yesu ni mizuri, iliniokoa, ikanifuta mikosi, ikanitakasa, ikaninyanyua👌mikono ya Yesu ni mizuri imejaa uwezo, ina miujiza Naipenda mikono ya Mungu🤲
Wow am here celebrating with this song for what God has done in my life after 2yrs of suffering here in Dubai bt final God ameanswear my prayer,mikono yake nimizuri sana aki.haijalishi utachukuwa mda gani bt akisema atatenda atatenda tu kuwa na subra,wacha kumuuliza maswali mengi,weka imani mbele yake na uwache atende kwa wakati wake. This song is blessing me more n I blv more blessings are coming to me this yr his going to open great doors in my life. Huu ni mwaka wangu wakupanuliwa 💃💃💃💃💃🗣🗣🗣🗣🤸♂️🤸♂️🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙇♀️🙇♀️🙇♀️
I think God accepted to bring rose muhando down so as she can come and pick up the growing musicians...she had reached to a point that she was unreachable😻...if rose muhando stops singing I'll stop listening to gospel...😳
@Rose Muhando unatupaisha sisi Watanzania Kimataifa. Mungu akutunze na kukuinua kipenzi chetu. Tunajivunia Mungu kukuinua na kukutumia. Muinue Lydia Kwani anajitahidi Saba. Cde. Lucas Ole Ng'iria Kiongozi na Pia Muimbaji Wa Album ya Kitujurro
Nakupenda Sana Rose na timu yako, hakika mikono ya esu Ni minzr maana tunapitia kushindwa wanadamu hutusukumia mbali inagharimu Mungu kutuinulia watu watakaotuelewa
Wee uyo jamaaa ana dance poa sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕ako na energy sana...iyo video iko sawa akiwa apo...ameifanya ikawa tu sawa...ako na dancing move poa sana ❤️
Whenever Rose muhandos Vocals comes in, everything flows smoothly, i just love Masai music although i am a Kamba. You are going places, this is a good one👌
Ayayayayayayaaa😅😅😅sisemi k2 mm hapa. Mombasa mikono ya yesu ni mizuri ni mizuri bado naomba kibali cha uchungaji nikikipata tu mpaka nikutafute uje uimbe kwa kanisa ambalo bwana yesu Anaenda kunipea hivi Karibuni Mungu akipenda hujaniangusha Ki imani tangu zama za mteule uwe macho 😅 nakupenda saana na roho yangu yote God bless you all.❤
God bless this beautiful angel Lydia Naserian.....The ✋ ✋ of God is very safe...Nafurahi na Maasai community vile wanasifu Mungu....Mungu awainue zaidi
Lydia pongezi, may God Lift u to greater heights, pliz do a Skiza tune for the song it will bless many. If u need assistance on skiza processing I can help. Barikiwa.
Rose muhando mzury anapenda kuungana nawatu mungu awenanyie wote
Amina mtu wa mungu
#rosemuhando nisaidie kusukuma hii injili ya bwana yesu
Wow
@@rosemuhandoofficial5676 p 💋0p0
@@rosemuhandoofficial5676 God bless you mum.yesu mbele Sisi nyuma yake.
🔥Ati nilipokuwa nimetupwa mikono iliniokota, ya mpenzi wangu mzuri ilinipiga makofi, ya wapendwa ilinisukuma mbali na ile ya jirani zangu iliniwekea sumu lakini ya Yesu ni mizuri, iliniokoa, ikanifuta mikosi, ikanitakasa, ikaninyanyua👌mikono ya Yesu ni mizuri imejaa uwezo, ina miujiza
Naipenda mikono ya Mungu🤲
Yes
Hakikaaaaa
Aamen
Nimizuri❤ Kweli.
Help me share this link man of God👏
@@lydiatikani don't worry dear ni mizuriiiiiii
44444444
4
Kasolo,,,mob love ❤❤
Vile huu wimbo utaenda woiii😘😘😘😘💕💕💕💕🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰TikTok kujeni tunarudia kurudia mikono ya yesu ni mizuri sana
Soon and soon Rose muhando will sing in kimaasai .
Wapi like za maasai love in collaboration with Rose muhando
Kwani hamjaona huyu boy anacheza vizuri... congratulations boy
Sidai kabisa
@msanii Abeid mumo 😂😂😂... hallelujah
Ameweza saaana
@@kasah4productions kabisaaaaaa
I see surely
Waapi likes za Simba wa Muziki.
The beats,🥰🥰💯💯💯
Wow am here celebrating with this song for what God has done in my life after 2yrs of suffering here in Dubai bt final God ameanswear my prayer,mikono yake nimizuri sana aki.haijalishi utachukuwa mda gani bt akisema atatenda atatenda tu kuwa na subra,wacha kumuuliza maswali mengi,weka imani mbele yake na uwache atende kwa wakati wake.
This song is blessing me more n I blv more blessings are coming to me this yr his going to open great doors in my life.
Huu ni mwaka wangu wakupanuliwa 💃💃💃💃💃🗣🗣🗣🗣🤸♂️🤸♂️🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙇♀️🙇♀️🙇♀️
God's hand are good and we are safe on it
Please subscribe and share to many people so as to administer to their lives
Amen 🙏
@@lydiatikani keep the fire burning sister.i cant get enough of this song
Mikono ya yesu hakika ni mizuri
Muhando's vibe and vocals are just of another level 💓💓Mikono ya Mungu ndio salama tu
Fanya hii pia TikTok.
Yaaani
I can't get enough with this song
@@dancanbarasa5596 nishafanya
It was Nice working on This
May it be a Blessing to everyone listening
Congratulations sis Naserian and our Mam Rose Muhando
Tunaisubiri ile yako na Mummy
Good job 👌👌👌
Kazi nzuri sana, blessings
I think God accepted to bring rose muhando down so as she can come and pick up the growing musicians...she had reached to a point that she was unreachable😻...if rose muhando stops singing I'll stop listening to gospel...😳
Whenever Rose muhando comes in I just love it, you're a queen
Rose deserve a distinguish service medal ..the Artist with many collabos💥💥Is no easy feat.Ni neema ya Mungu tu . Naseh , thats the way to Go. 👍👍
Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Mikono ya Yesu Nimizuri Jameni💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Njoo kimayani engai to singoryo sidai💚❤️💚💚🙏
Mpeni maua yake Rose ,mikono ya Yesu kweli ni mizuri
Amen haki Rose namimi pia uje tufanye kolabo uni boost jameni
Nzuri Sana Lydia keep it up mungu yupo kukutia nguvu
The best combination best ever.
Hapa kila kitu kizuri kuanzia sauti ya watu, gitaa, na mavazi hayo kwakweli ni mizuri sana❤❤❤ upendo mkubwa kutoka Tz
Napenda kupiga,kusikiliza wimbo huu mi❤❤❤❤❤
Rozi MUNGU WAMBINGUNI AKUBARIKI nyimbo umeibeba naumeifanyia haki kama yako mmefanya vizuri Sana nyimbo inafariji ajabu❤❤❤
If singing excellent,,,a direct ticket to heaven,,,then Rose Muhando God has ur name in the book of eternal life ❤❤❤❤❤
If singing excellent is a direct ticket to heaven then Rose Muhando God has ur name in the book of eternal life ❤❤❤
Mama Rose mungu akubariki kwa kazi njema pamoja na mwezako
Rose muhando ni moto the hand of the lord has got numerous blessing pongezi naserian
Ross muhando mungu akubariki 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 kwa kushika mikono wasanii wetu
@Rose Muhando unatupaisha sisi Watanzania Kimataifa. Mungu akutunze na kukuinua kipenzi chetu. Tunajivunia Mungu kukuinua na kukutumia. Muinue Lydia Kwani anajitahidi Saba. Cde. Lucas Ole Ng'iria Kiongozi na Pia Muimbaji Wa Album ya Kitujurro
Neema izidi kukubeba kwa jina la yesu
Nawaza siku Mungu akikunyakua Rose,nani ataziba pengo lako
Mama Rose siku zote unabariki moyo wangu Sana ninapo kusikiza kweli mikono ya MUNGU ni mizuri weeeed hapo sawa. Songa mbele mama kuko sawa
Mikono ya Yesu ni mizuri,ni mizuri kabisa!!🥳🥳🔥🔥🔥Mahali palipo Rose muhando uuiii sisemi kitu 🔥🔥🔥💪
I am in states na tumekubali❤️❤️❤️❤️
Rose inakuanga tu vizuri .... Great job 👍
Hongera dada yangu mtumishi dhahabu safi kupitishwa kwenye tanuru ndio nyumbani bwana yesu akutendee mema
Aww nice song for sure mikono yake n mizuri 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰
Hiyo song ina ujumbe mzuri sana , hongera Sana nganashe 🙏
Your songs are of high level mama rose, keep it up mummy, you are a blessing to us
Trully mama rose your songs are of high level,I can't stop listening to this song, keep it up 👍🙏
Ni kweli mikono ya yesu nimizuri❤❤God bless you all
Nakupenda Sana Rose na timu yako, hakika mikono ya esu Ni minzr maana tunapitia kushindwa wanadamu hutusukumia mbali inagharimu Mungu kutuinulia watu watakaotuelewa
Am so blessed by this song 🙏🙏God is great in everything mikono yake ni mizuri sana
Pongezi kwake Rose hakika unajuwa vyema mungu akubariki uzidi kueneza nyimbo za kumtukuza.
Wee uyo jamaaa ana dance poa sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕ako na energy sana...iyo video iko sawa akiwa apo...ameifanya ikawa tu sawa...ako na dancing move poa sana ❤️
Woow,,nice song it blessed me, mungu na hawakimuu
Good job mm nataka no ya uyo jamaa anadance
Maa nation meets Tanzania songbird beautiful and hit songs bells out 🇰🇪🇹🇿
Whenever Rose muhandos Vocals comes in, everything flows smoothly, i just love Masai music although i am a Kamba. You are going places, this is a good one👌
Mikono ya mungu nimizuri kweri ❤️❤️❤️💕💕
Ayayayayayayaaa😅😅😅sisemi k2 mm hapa. Mombasa mikono ya yesu ni mizuri ni mizuri bado naomba kibali cha uchungaji nikikipata tu mpaka nikutafute uje uimbe kwa kanisa ambalo bwana yesu Anaenda kunipea hivi Karibuni Mungu akipenda hujaniangusha Ki imani tangu zama za mteule uwe macho 😅 nakupenda saana na roho yangu yote God bless you all.❤
All the way from tiktok,is he victor of Maria ama,a blessing one
Wow what a nice song 🔥 hakika mikono ya Mungu ni mizuri 🥳
God bless this beautiful angel Lydia Naserian.....The ✋ ✋ of God is very safe...Nafurahi na Maasai community vile wanasifu Mungu....Mungu awainue zaidi
Rose ni mama ya watu,pongezi sana mum ,una promote wanamuziki wengi
Lydia to another level the grace is sufficient ....
Great composition with ROSE MUHANDO 🔥🔥🔥🔥 keep firing Lydia
Kweli uzuri wayesu umetubeba mrembo wa kimasai good jitahidi rose mhando atakuonyesha njia nzuri hanaga ubaguzi mungu amfunike aishi miaka mingi
Ni mizuri.....you never disappoint mama Africa. ❤️ love it
Kazi nzuri.
Ongereni sana wetu wa Mungu.
Hakika nimizu.🙏
Congratulations lydia i also i like the way you dance
Rose muhando making me cry fluently
Very very nice song God bless you more more blessings
Mikono ya Mungu ni mizuri mno♥️
When rose muhando sings unahisi uwepo wa mungu
Big up our daughters and the lagendary Rose Muhando for the good job 👍 God bless you all
Woow. Nimizuri jamani mikono ya Yesu inabariki
nnikiusiya huu wimbo n'a sikiya chemi chemi rooni. Mikono iliponya watoto wangu wote sumu yooo. Barikiwa saana maman
Mara ya kwanza naupata huu wimbo niliusikia siku mzima kifupi nimeupenda sana ❤❤❤
Nilikuwa kwa injili yoo mikono ya yesu vraiment vraiment nimchunganji rose burundi tume barikiwa wa Rose wote wahooo
Maadui wa Rose wakitaka kuishi waachane na yeye tu manake hawajui kuwa wanapigana na Mungu
I love 💕 this song indeed. Iko top kabisa
Nilikataliwa na kila mtu hii duniani but mungu alinishika mungu
I feel blessed thanks to almost higher back ur again rose
Hii corabo Iko sawa sana juu wimbo unanibariki sana
Rose muhando,,,,,,,,, nakupenda bure mamaaa,,kenya twakupenda sana sana,,mikono ya yesu n mzuri,,ya jirani au ya mpenzi ina makali yake😢
Our maa land is still shining Go go Nase...burning fire 🔥🔥🔥
Mungu wetu ni mzuri kwa watoto wake nakungana na wewe
Ni kweli
Good music nkonyek...i have ketpt my promise😁
Weeeeh huu wimbo ni wakimataifa mikono ya yesu ni muzuri kazi nzuri Rose muhando
Wimbo nimeupenda. Good sound
Wadada warembo sana Mungu apokee utukufu mnapoendelea kumsifu
Amen 🙏🙏🙏 kama si mikono ya yesu adui zetu wangefurahia juu yetu lakini ya baba n baraka tele
Ni mizuri mikono ya Yesu.... The song is 🔥🔥. Am blessed
A very wonderful song 🌹🌹🌹🌹 congratulations 🙏🙏
She always sings from the heart @Rose muhando, powerful messages ❤
Supa ,,,sindai,,,,Ni mizuri ata Mimi naona Kwa upande wangu Ni mizuri ,,,,
Ongeza kasi ya kutunga na kuimba na kutuwekea youtube uko vizuri sana mrumishi Lydia
Anywhere rose is the song becomes a hit much love to rose from diaspora
We love you Rose Muhando from Rwanda
Thank you my friend, urakoze cyane
Rose muhando is something else one love from Zim
Feeeeeeeeeliiiing blessed ni mizuri kweli
Hi imenitia moyo sana mungu akubariki sana
Lydia more grace mummy ! Divine speed 🙏
Nakupenda sanaaa Dada Rose muhando Mungu azidi kukulinda na zidi madui na ila za shetani nimeupenda sana huu wimbo ❤❤❤❤❤❤
The melody, rhythm,peace and healing vibes in this song..I love it🥰🥰
Barikiwa sana mama,nyimbo zako zimenilea tangia utotoni 🙏🙏🙏,,,,#kweli ni mizuri,,,,,🥰🥰🥰.
Amina amina
I'm inlove with your song guys,can't get enough of it🎶🎤 🥰💖keep praising God Rose and Lydia🙏
Kweli mikono ya yesu ni mizuri be blessed mama Rose muhando
Rose muhando have got energy 🥰😁👌 I love this song keep it my people 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Lydia pongezi, may God Lift u to greater heights, pliz do a Skiza tune for the song it will bless many. If u need assistance on skiza processing I can help. Barikiwa.