Rais Ruto alaumu mashirika ya kigeni kwa maandamano
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- Rais William Ruto sasa anaonekana kurejelea majukumu yake rasmi tangu maandamano yaliyochacha kote nchini. Akizungumza katika kaunti ya kajiado rais Ruto amekashifu washiriki kutoka mataifa ya kigeni ambao hakuwataja kwa kuhusika na maandamano hayo.
He's a true definition of a narcissistic, always blaming others, its never their fault.
uyu jamaa ni mwenda wazimu
Juu ya?😮
Hyu kiburi ndio itakupeleka sugoi hii Kenya si mama yko
Huyu jamaa amechanganyikiwa na pia hana leadership ndani yake
True
Totally madness hafai kuongeza Kenya yetu Ruto goooooo home salama
Ruto should go back to ICC. He cheats, kills and steals.😢😢
I thought he was going to trim his cabinet by now...😂😂😂😂
Never..he is full of himself
Father lies
He still refuses to see his faults
Sasa ndio ana haribu kabisa MR. RUTO FIND THE GOOD ADVISORS
Trust Ruto At Your Own Risk
Hi kiburi imerudi...haiya
When the Gods want to deal with you, they 1st make you mad, huyu mze ni mwenda wazimu!
Confused mwanzo 😂😂
Hata hauelewi 😂😂😂😂
😂😂hakuna cha 2027 right now toka unangojea nn , eti mtiani utafanya mtiani ukiwa sogoi sio statehouse on
2027 you must go omh ata kama 😅😮😢
In other words he has not changed
Ruto must go
Tusikubali nchi iharibike na ni ww wa kwanza kuharibu
@@peterkoinange1904 nyani haoni kundule
@@mayaspanic221 kabisa
Wululu yaaayi! Maangai!! Hiki Kweli hakina masikio. Kumbe bado tutalia tu 😂😂😂😂 ?
Huyu ni chizi tu,hata haongei kuhusu Mukuru kwa njenga
2027 anasema ni mbali sana.Not a must he leave the office through ballot,persistent protests is enough to send him home as soon as possible
Mheshimiwa rais...laumu hadi hewa lakini uongozi mbaya ni uongozi mbaya
He is lost in his own world
Nikiona ruto nasikia kutapika
Nani akupe kura ww mwizi
Akwende nyumbani tumochoka ulipotufikisha is enough
woooiiiye hadi amekonda jamani😢
I thought it was Azimio, Dangerous Criminals, invisible coup plotters, student leaders or political opponents....make up your minds who you want to blame
Well said 👏 👏 👏
Name them!....we are just sozzled and intoxicated with your whole of government approach!
Who else has been traveling to that ngambo if not him. Hata ni Gen z wamesitisha
Now we are not criminals but we are beening sponsored😅😅😅😅⏳
Ndugu zetu😂
Siku ya kufa kwa nyani....
Miti yote huteleza..😢.
With such statements..
I don't need advisers..
Halafu inchungwa ...😢
Are we speaking japanese?
🤣🤣🤣 jamaa haskii
HAHAHA HUYU MTU NI MBWEHA...SASA SISI TUMEPATA WAPI HAYO MASHIRIKA
Mr Ruto mashirika has nothing to do with gen-zs, Gen-zs are only tired of ua empty promises and lack of following constitutional,,
True
😢😢😢continue daring millions of suffering kenyans at your own peril. You better work and stop useless yapping on daily basis. Kenyans are literate and know what they want. Nkt
He needs new ears. What he got are expired
Anaelekeza kindole cha lawama kwani alikua amefunga macho hiyo yote ikifanyika
Nonsense
he should blame jacob zuma
ameanza tena....story za jaba..
He is very right,,,even the NIS knew it before....
😅😅😅😅Ni uhuru...ni raila...sasa ni watu kutoka inje.....huna akili
Bro, wakenya ndio hawakutaki
Toka kenge
RUTO IS MAKING ANOTHER MISTAKE.
NOW HE BLAME FOREIGN COUNTRIES NA MAMBO YALE YAMEKUWA PRESENTES BY GENZ ARE CLEAR......
RUTO IS PROVOKING FOREIGN COUNTRIES, NA ATAKIPATAPATA TU
Aende zake huko, anatarajia kuiba tu. Asitudanganye
Damu za wakenya ndio zinamsumbua kichwa huyu jamaa, wakenya wamechoka na ww..# ruto must go
When Moses leads Israel from Egypt to the promise land Canaan.. Israel started disobey Moses by wisheses that they could stayed back in Egypt for been prisoners and eating rather than brought them in desert land to dye for drought and hunger...Later God punish them ...staki kusema vile walikua punish 40yrs wakizunguka mlima ndio mmja ndio wafike caanan
Hii sio lazima ukivunja sheria umebuja msahadi huna haja ya kungojea 27 we are having a vote of no confidence in you and your leadership and you must go
Mwongo we don't need him
He has no capacity to run the nation
Ww hakuna kitu umefanya aende nyumbani tu
Democracy my left feet
The president is blaming everyone else apart from himself,he laid down lies during his campaign and now when the lies have started eating him up,anatafuta watu wa kusingizia. Rais,hiki kitanda ulikitandaza mwenyewe,
Kumwaga mchanga kwa pole ya stima ni kazi? Tafadhali toa css waporaji kwenye serikali yako. 2027 wachia Venezuela watafanya, kwa saahi fanya kazi wacha panganga
Wewe ndio mwaribifu bure kabisa enda home wewe
RUTO MUST GO
Ndoto ya mchana ati 2027 baada ya kuuwa vijana Kwa maandano na wengine baada ya kushikwa wanaokotwa Kwa kidimbwi wameuliwa
Nani akupe kura ww mwizi lazima aende nyumbani period
Unaoneka umechanganyikiwa pia kiburi ndio utakumaliza
Ukikimbilia kufurahisha nchi za kigeni watakuingilia
Hauna hata aibu lakini kitu inyeuliona inaonyesha adharani watu hawakutaki . Walahawakupendi😅😂
Ati mashirika za kigeni. My friend 😂😂😂
A fool (RUTO) NEVER learn
Mukundu wako
Mbona asijilaumu kwa uongozi wake?
Chebukati atakuibia kura Tu mm naona ukipta tena
Kesho tuko street
Kwani baba ameanguka nayo 😂😂😂😂
Import democracy
I don't blame anyone for anything. I take full responsibility for whatever happens in my life. The reason behind my happiness
hapi amezingirwa..na jeshi kwerikweri
We understand the bill he signed yesterday is already rigged in his favour ..
He clearly ignores the memo
I think he has dropped that kaunda suit. It was a symbol of dectatorship and failure the spirit of the late Seseseko
Yes foreign agents I told you from the beginning
Which Mashirika are you talking about aki baba Charlene will never change always putting blames on unknown people just resign 😊
Let the investors pay taxes and comply with the law. They should not pock their noses in kenyan politics business. Kenya is no longer a colony to any nation.
ruto must go
He is running mad hahaahhahahahahahahahaahahahaha
😳😳😳😳
2027 is fat
Ameanza tna hyu mara criminal, ssa umefka sponsor toka uende baba tumechoka buanaaaaaaaaaa
tulikupea kichapo kidogo na hujaskia
clueless😢
You have robbed young people of their lives and you still have the audacity to spew nonsense
Do we blame maandamano or deaths? Genzs lost lives from brutal police
Lakini lakini
😢😢
Resign
Is it true that you can vote from your van or toilet?
Unaenda nyumbani
ndugu zako na nani??
Just to let your guys know i will be running 4 president 2027...
Yesterday mandmano
Wewe unasafiri dunia muzima ukikopa pesa unaweka kwa mufuko .alafu unaongeza ushuru. Tuko rada yako. Sana wanjinga warisha. Tukawabia umeaza story kulaumu wale wengine. Wewe dio ploblem. Ya Kenya hii utaeda tunakungonja hapa grauod
This is the real Ruto we know … lier and a thief who will do anything to protect his own narcissistic interests…Arrogant sana
Who goes abroad every month???????
A leaders doesn't respond to everyone be wise on brain
He'll not believe
Ujinga ya Gen z....peleka huko
Bado mapambano
Hahaha wewe aki
Your clueless