How I wish ujumbe huu ningeusikia wiki moja iliyopita, mwezi mmoja uliopita au mwaka mmoja uliopita, yako mambo yasingekuwa hivi yalivyo leo. Lakini bado namshukuru MUNGU kwa kunipitisha hapa ili kusikia ujumbe huu leo naamini God time is the best time na as long as bado niko hai lile ambalo MUNGU amenikusudia litatimia. Barikiwa Mtumishi, Mungu azidi kukutunza.
Mungu akubariki sana Apostle Mtalemwa son of Major 1, and me lm a daughter of Major 1. Umenibariki saaåaaana na kujifungua sana, kwani nilikuwa na nunua vitu bila utaratibu lakini sasa pesa nitaitawala ktk jina la Yesu amen akupendaye saaåaaana, ni dada yako watching from Norway, but l came from Tanzania in my village Kibondo.😄😄😄🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana my Mentor kwa mafundisho mazuri kama haya baba,umenitoa mahali nilipokuwa natukimishwa kwa mda mrefu,ila toka nimepata hili Mimi ni Master
Shalom Mtumishi wa Mungu, huwa nabarikiwa sana na masomo unayofundisha,lakini unatuchanganya pale unapochanganya kingereza na kiswahili wengine hatujui kingereza Mtumishi wa Mungu.
Hakika somo zuri sana ,,,nipo mkoani manyara uwa nafuatilia sana mafundisho ya chief@Mtumishi wa Mungu napenda sana masomo yake,natamani kuonana nae sijui nampateje nisaidieni

Hallelujah Asante sana mutumishi wa MUNGU kwa mafunzo mazuri 🙌🙌 nabarikiwa sana nikiwa hapa Kenya
Mungu akubariki sana Apostle Mtalemwa son of Major 1, and me lm a daughter of Major 1. Umenibariki saaåaaana na kujifungua sana, kwani nilikuwa na nunua vitu bila utaratibu lakini sasa pesa nitaitawala ktk jina la Yesu amen akupendaye saaåaaana, ni dada yako watching from Norway, but l came from Tanzania in my village Kibondo.😄😄😄🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Aiseeee nimejiona mahali kumbe pesa ilikua inanitawala. Now naitawala kwa jina la Yesu. Asante my mentor. Mafundisho yako yamenibadilisha sanaaa.
Chief mungu akubariki sana . Kiukweli nimefunguka sana. Asante kwa mafundisho mazuri
Mafundi haya yamenijenga Sana be blessed man of God.
Nitakufuatilia all days. Mungu akubariki zaidi na zaidi.
AMEEN
Nimejifunza kitu kikubwa sana. Thank you man of God.
Thank you man of God
God be with you Apostle Mtalemwa. I love you teaching me her life.
Amen Apostle
Asante kwa mafundisho .My Mentor Chief.
Gongelea msumali baba yangu,,,, kweli pesa haikai
Asante dada nimekuelewa soma nzuri,,,, Apostle wa kizazi chetu
Somo zuri sana, tukufungue baba, tupe maarifa tusiangamizwe
Very interesting
Duh! Mungu azidi kukuinua zaidi na akutunze mtumishi.
Amina nabalikiwa
Baba sijui niseme nini hii ni Mimi kabisa asante mungu
Ubarikiwe sana my Mentor kwa mafundisho mazuri kama haya baba,umenitoa mahali nilipokuwa natukimishwa kwa mda mrefu,ila toka nimepata hili Mimi ni Master
Thanks Apostle for a powerful word of God
Amen baba asante
Duhhh 🤔sijutii kukufaham japo sijawahi kukuona
Waaah ! Hapo kweli kabisaa mtumishi wa Bwana kumbe pesa Ni roho
I love your teachings man of God,may the Almighty continue to increase you 🙏 Glory
Ameen chief appostle
Hii ni nzur lipa Kodi..Ubarikiwe Baba Apostle
Ur powerful kicheko sijafumilia.. from 254
hayo ndo watu wanayotaka kuyaskia,raha za dunia,ila mafundisho ya Mungu na makatazo hamtaki
Wow...We don't Pray for Money but we Command it.
Amen, thanks for this msg
Huyu ni mimi mwenyewe Mungu nisaidie
Somo zuri sana barikiwa mtumishi
higher and higher my Chief
I am managing money, I love money, money love me in Jesus name amen
Nayapenda mafundisho yako nimazili sana
Pole watumishi wa tumbo mnapenda hela kuliko roho ya mtu
Nimebarikiwa Sana na mafundisho ircved
Oooooh Jesus bless this man plz
Pasta mungu akubariki nimeguswanamafundishoyako naishi uk
Hoo lord help me from now I be master of money in Jesus name bi believe
Amina nimebarikiwa sana
nimebarikiwa sana
I understand you man of God
Amina,nimejifunza
Ameen
Kabisa mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Shalom Mtumishi wa Mungu, huwa nabarikiwa sana na masomo unayofundisha,lakini unatuchanganya pale unapochanganya kingereza na kiswahili wengine hatujui kingereza Mtumishi wa Mungu.
I get you very well chief. Barikiwa
Nimepokea Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Hallelujah
My chief
God bless you bro
I receive it Chief
Kweli baba Sema tupone
Ameen chief
nimefrahi sana.
Poweeeer
I received, Oooh yes.
Amen Asante Baba, umenivushà,
Chief wa watu
Yaani unanisema mimi kabisa
Amen 👏👏👏👏
True APOSTLE
Apostle MTALEMWA MAFUNDISHO YAKO YAMEGUSA SANA!; KANISA LAKI LINAPATIKANA WAPI!?
Amen
churchill show and comedy
Haki nimecheka jamani hahahah Amen mchungaji
Nimejifunza kitu Leo I should command money and be God's servent in Jesus mighty name.Ameeen
Yes
eeeeeeeh ningesikiza kipindi cha nyuma ningekua mpali ila sijachelewa God's time is the best
WENGI HATA WATUMISHI WAMESHINDWA KUTAWALA PESA.SASA TUNAONA MATOKEO KWA MACHO.
Oh yes
Ooh yes dad
W
I receive
Nimekuelewa Mungu uliye juu.
Nimefuza mengi Sana juu ya pesa
I receive money in Jesus name Amen Amen
I reiceve
Money iam your master
Umenifunza kitu mtumishi
I am a master of my money, God help us 🙏
.
Oho yes
Mwenye namba ya huyu mtumishi naombeni
0767960901
Jibu la maswali yote ni Yesu, acha kudanganya hao watu, utatoa hesabu juu ya hizo roho! Wewe nenepa kwa maneno ya kutungwa.
Akani Shabani kwan apostle anahubili nn hapa???
Hakika somo zuri sana ,,,nipo mkoani manyara uwa nafuatilia sana mafundisho ya chief@Mtumishi wa Mungu napenda sana masomo yake,natamani kuonana nae sijui nampateje nisaidieni
@@donnngeta2022 mpinga Kristo
Kichwa ngumu
@@frankchota9145 kuna fundusho hata moja la kristo hapo ila ni matamanio ya dunia tu na pesa,na mtaziacha hapa hapa duniani
Amen