BWANA MAWAZO YAKO
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2024
- lirycs
Bwana Mawazo yako Yathamani sana kwangu
natamani sana nijue mafumbo ya Moyo wako
nikwabudu kwa Uzuri wa Utakatifu wako
Ndani ya Mbawa zako umenificha Adui asinione
Uliniahidi hautaniacha Mpaka mwisho wa dahari
Ooooh Ooo ooo Oooh
Bwana Mawazo yako Yathamani sana kwangu
natamani sana nijue mafumbo ya Moyo wako
nikwabudu kwa Uzuri wa Utakatifu wako
This song blesses my soul so much...God bless you greatly man of God and your entire team
Hallelujah 🙏
Naskia nguvu neno katika hii nyimbo hakika najazwa na hiii
Ameeen
Amen
Upo vzr san Mungu akubaliki Sanaa
Barikiwa Sana
Wonderful to God be all the glory
I was blessed with your songs at Moi stadium Ksm today
Ee, Mungu jina lako lihimidiwe milele 🙏🙏🙏🙏
Be Blessed Brother 😢
Hatatuacha mpaka mwisho wa dahari 🔥🔥my God
Nikwabudu Kwa uzuri wa utakatifu wako my God c
😭😭😭
Naona mafuta ndani yangu yakitiririka na kujaa ndani ya moyo wangu ,Mungu aendelee kukutumia Mtumixh
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu,naomba lyrics za huu mwimbo😢,wanifariji sana na kutia nguvu za kuendeleza kusimama na kungojea Bwana mtenda miunjiza🙏😭
😭😭🙏 Mungu kweli mawazo yako kwangu ni ya dhamani sana 😭😭 my people from 🇰🇪🇰🇪 let's worship together 🙏🙏
Amen hakika uinuliwe yesu milele
I always feel the presence The Spirit of prayer in your songs - MORE GRACE SIR
Aminaa.. huu wimbo baraka tele
Powerful msg.
Mungu akubariki mtushi kwa wimbo mzuri wenye mguso kiroho
Kweli mawazo Yako Mungu kwangu ni ya dhamani sana😭😭
Neema tele my mentor
Ooh hallelujah utukufu una wewe
Wooooow am blessed 😊nikuabuduuu bwanaaa🙏
❤❤❤ Nabarikiwa sana na huduma yako natamani kuimba kama wewe
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Hakika Uvuvio wa roho Mtakatifu
Baraka sana
Ameen 4:16 4:19
Barikiwa brother.
Ameeeeeen
Bwana mawazo yako kwangu niya thamani Umenificha sana kwa utakatifu wako baba nimelia machozi ya furaha hallelluaaaaaaa
I'm blessed ❤❤❤❤
Ameeen❤
Nimebarikiwa sana
Hallelujah
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
🙏🙏🙏🙏
1:09
Mawazo yako ni ya thamani sana
Nikuabudu kwa uzuri wa utakatifu wako
Bwana mawazo yako kwangu niya thamani Umenificha sana kwa utakatifu wako baba nimelia machozi ya furaha hallelluaaaaaaa
Amen
Nimebarikiwa sana
Amen
Nimebarikiwa sana
Nimebarikiwa sana
Nimebarikiwa sana