This man anaworship Hadi nanyengea mbele za mungu nikiwa Niko china ama nikiwa na majaribu his worship lifts me again ,namuombea mungu sana uzidi kua mnyenyekevu na kutupa tumaini la kumtegemea mungu
Natamani uso wako YESU God bless you Mtumishi you always bless my heart with your worship thx much kwa maombi yako uliyonifanyia Mombasa kwa ile mega crusade Mungu ameanza kutenda hopefully nitafanya nawe collabo soon kwa mapenzi ya Mungu shalom
Jana nimebarikiwa sana na ibada pale Kisauni. Mungu azidi kukubariki sana mtumishi wa Mungu
This man anaworship Hadi nanyengea mbele za mungu nikiwa Niko china ama nikiwa na majaribu his worship lifts me again ,namuombea mungu sana uzidi kua mnyenyekevu na kutupa tumaini la kumtegemea mungu
Barikiwa sana mtumishi unainua sana roho zet kumwelekea mungu
Usinifiche uso wako bwana Yesu
Natamani uso wako YESU God bless you Mtumishi you always bless my heart with your worship thx much kwa maombi yako uliyonifanyia Mombasa kwa ile mega crusade Mungu ameanza kutenda hopefully nitafanya nawe collabo soon kwa mapenzi ya Mungu shalom
Listening to this song now 27 March 2024 what a blessing this song is much love from Kenya
Nimesikiliza mara nyingi bado sijaelewa,mtumishi nisaidie namimi nielewe tafadhali,ni Wandoa au mpezi yesu
It’s only Jesus who can satisfy he is the master and the reason for worships it’s for our dear Lord Jesus.
Hujasoma title??
Sir unabariki Kila wakati unapoimba lakini huu wimbo uko katika level nyingine Mungu akubariki na ministry yako
Ubarikiwe na mimi natamani siku moja nitumiwe na mungu kaka wewe
Nyimbo inayofaa
Amina, usinifiche Yesu uso wako, tafadhali naomba
Hallelujah
Yesuu
Hallelujah..I will go deeper..
Yawe Maombi yangu kwako Bwana... Tafadhari Usinifiche Uso wako..😭🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏 thanks my God
intimacy with Jesus...
Natamani uso wako mpendwa wangu Bwana Yesu Kristo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Yesu usinifiche uso wako,nahitaji kukuona
Amina
Usinifiche uso wako yesu. Naomba
Sitachaa kukutafuta Mpaka nikupate Yesu
Natamani uso wako
🎉
Usinifiche USO wako maana wewe nijibu lamaswali yangu
Namuona roho wa BWANA yu juu yako
Napokea kwa viwango vya roho mtakatifu
Natamani uso wako Mpenzi wangu Yesu