BWANA MAWAZO YAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2024
  • lirycs
    Bwana Mawazo yako Yathamani sana kwangu
    natamani sana nijue mafumbo ya Moyo wako
    nikwabudu kwa Uzuri wa Utakatifu wako
    Ndani ya Mbawa zako umenificha Adui asinione
    Uliniahidi hautaniacha Mpaka mwisho wa dahari
    Ooooh Ooo ooo Oooh
    Bwana Mawazo yako Yathamani sana kwangu
    natamani sana nijue mafumbo ya Moyo wako
    nikwabudu kwa Uzuri wa Utakatifu wako

КОМЕНТАРІ • 49