Being Zulu, I don't understand the language but I found myself translating the song in spirit saying "I have a father who'll never fail me, Jesus is my father and He'll never fail me" I'm blessed thank you. 🤗🙌 The moves got me missing my church 💃#AfricanPraise
Huu wimbo nikiusikiliza huwa nakumbuka miaka ya nyuma sana kutokana na umri wangu nilionao mimi!!!, basi nilikuwa na shangazi yangu alikuwa ananipenda sana na nikitoka shule ananifulia sale zote za shule na ananichukua tunaenda wote supermarket. Nikiusikiliza kuwa namkumbuka sana shangazi yangu, mwenyezi MUNGU amlaze mahali pema peponi shangazi yangu jamani nampenda sana 😢😢😢😢😢😢
Yesu ni Baba yangu asie sidwa kamwe .hajasidwa kamwe ndani ya maisha yangu hata kwenye hiyi aplication iriyo mbele yangu hatayishidwa atayi proved nakuamini Dady GOD unaenda kujitukuza 🙌🙌🙌🙌07.05.2022
jamani hawa watu wanaimba kwa furaha, wimbo mzuri.. watu wazuuuri... God bless you, nice work... i just cant stop smiling when listening to this.. sooo nice
GOD said he can do anything that he can do!, mungu wetu ni mkuu sana na anasema yeye peke yake ndo aliyekuwepo ambae yupo na atakaye kuja hivi karibuni, jesus is coming dear brothers and sisters, stay ready, GOD bless u all, and this song
The Whispers band is a gospel band that resides in Tanzania. The band was formed by a couple of friends who enjoyed singing with each other and went to the same church. The band has done several videos now like Nina Baba Yangu, Nina Bwana Wangu and Bwana Sifa Zako.
Wewe unayesoma hii comment na Ku Like mwenyezi Mungu akufungulie njia na akupe lolote umuombalo kwa Jina la Yesu pokea pokea pokea.... Amen
Wimbo wangu pendwa kila mwaka lazima niusikilize mala 4 hadi 6
Hii n 2023 🥁🥁🥁🥁🥁🥁😍😍😍😍
Wimbo una nguvu ya kiungu. Zaidi ya miaka 11 tangu umeandaliwa bado una mguso ule ule. Hongereni sana watumishi wa Mungu aliye hai.
Kamauna amini YESU💞
Nibaba
Asiyeshidwa kamwe
Laki
Go
Being Zulu, I don't understand the language but I found myself translating the song in spirit saying "I have a father who'll never fail me, Jesus is my father and He'll never fail me" I'm blessed thank you. 🤗🙌 The moves got me missing my church 💃#AfricanPraise
TheZandiey You're right.I speak Swahili
TheZandiey hallelujah congratulations brother 👍 l like it faith watching from
Qatar😍💞😘
Wow perfect translation that’s basically what they are saying
Bless u
You are there
Huu wimbo nikiusikiliza huwa nakumbuka miaka ya nyuma sana kutokana na umri wangu nilionao mimi!!!, basi nilikuwa na shangazi yangu alikuwa ananipenda sana na nikitoka shule ananifulia sale zote za shule na ananichukua tunaenda wote supermarket. Nikiusikiliza kuwa namkumbuka sana shangazi yangu, mwenyezi MUNGU amlaze mahali pema peponi shangazi yangu jamani nampenda sana 😢😢😢😢😢😢
Yesu ni Baba yangu asie sidwa kamwe .hajasidwa kamwe ndani ya maisha yangu hata kwenye hiyi aplication iriyo mbele yangu hatayishidwa atayi proved nakuamini Dady GOD unaenda kujitukuza 🙌🙌🙌🙌07.05.2022
Ni Zuri Sana Sana
Amina
Hakika kila mwenye pumzi na amsifu Yesu
Amina
Mi nlijuaga ni mwanamke maana nilikuwa nabishana na wenzangu hadi nikikumbuka aibu, ila huu wimbo😘🥰😍
Nimekuja kuchungulia baada ya kuuskia huu wimbo bss season 11🙏🙏😭😭
😂😂😂
Yesu ni baba yangu
2021 how many are still here🔥💯👏
jamani hawa watu wanaimba kwa furaha, wimbo mzuri.. watu wazuuuri... God bless you, nice work... i just cant stop smiling when listening to this.. sooo nice
Sana aliyeanza anaimba vzr
Whispers band you're blessed.Mmenyamaza Sana release something hot again
Kweli mmenyamaza sana jamani nyimbo zenu nzuri sana
wimbo huu Umenikumbusha Enzi izo missungwi Mwanza Tz
Who still listening this song in 2021 with me.???
Kama Mungu ni baba asiyeshindwa kamwe. Hata sasa
Kwakweli ninaye Baba asiye shindwa kamwe Mungu awabariki sana watumishi wa MUNGU
Hakika YESU NI BABA YANGU ASIYESHINDWA KAMWE,,MWAMBA IMARA ASIYESHINDWA KAMWEEE❤️💝🙏
GOD said he can do anything that he can do!, mungu wetu ni mkuu sana na anasema yeye peke yake ndo aliyekuwepo ambae yupo na atakaye kuja hivi karibuni, jesus is coming dear brothers and sisters, stay ready, GOD bless u all, and this song
full shangwe mwenyezi mungu awalinde na kuwabariki--ameen
Yesu ni Baba yangu asiye shindwa kamwa, wimbo mzr kweli Mungu awabariki wote mnaoimba
Mbalikiwe wimbo mzuli sana
Amena😍🥰😘
Nabarikiwa saana na wimbo huu yesu ata waniseme ata wanitenge wanitukane yote ni kwa sababu unanipenda hivyo sina mashaka na ww bwana wangu👏
Mungu ni baba yang hakika jana, leo na hata milele❤❤
Yesu ni baba yangu,.. wimbo zuri sana,. 🎉🎉
May the Lord Jesus Bless xaana
love swahili praise...👌💓💕💖👏
Mutu za Mungu ni za Mungu tu!
Haleluya!!!
Whispers,
Nzambe apamorayo!
hallelujah! yesu ndiye mwamba wetu asiyeshindwa na chochote! lisifiwe jina lake daima!
Matenya Benard amina
Leo tarehe 09/04/2024 bado nasikia utamu wa wimbo 🎉🎉
Hakika Yesu ni Baba yangu asiyeshindwa kamwe.....
I will never get tired of this song
God bless you my fellow servant of almighty living Father in the name of His only son.
Amen :yesu ni mwema na ni mwamba imara
Wimbo unanibariki sana huu..2024
Vijana wa Bwana endeleeni na kazi nzuri ya Kiroho
Who is watching this2021🖐️
Master piece,
Mungu awainue kwa viwango
hakika yesu ni baba yangu asiye shindwa kamwe, Amen
The Whispers Band of Dar-es-Salaam, Tanzania with the song : Nina Baba Yangu.
Kweli kabisa. Yesu ni Baba yangu. Asante kwa wimbo huu. Mbarikiwe!
Jamaa wanavipaji, na wanajua,hawabahatishi na wamejipanga,big uuuuuuuuup!!!!!!!!!!!!!!!
Thanks for uploading this video i was looking for this finally its here,be blessed
Nyimbo nzuri ya furaha kabisa !
barikiwa ndugu.Yesu ndiye baba asiyeshindwa kamwee i fil like flying high n highier.now in saudia
Amen yesu ni babayangu
Nani kama we we Amen MNG Awaomgoze kbs
My father never fail ever! YESU NI BABA YANGU ASIYE SHINDWA KAMWE!
🔥🔥
Amina, Amini.
Nyimbo nzuri sana.
woooooooooow!!!!it's true!!
kabisa baba yangu hatashindwa kamweee namtegemea yy barikiwa sana
Waoooo wimbo wangu wa moyo
Kila ninaposikiliza wimbo huu huwanahisi kama nikombinguni nakula asali naakiba ibrahimu mbarikiwe sana
Yesu ni Baba yangu asiyeshindwa kamwe katka kila jaribu linipatapo yeye huliondoa
Yesu baba akuna mwingine 🙏🙏🙏🙏🙌🙌😭
🔥🔥🔥asiyeshindwa
hakika yesu ni mwamba imara hashindwi na kitu.AMEEN
Akika yesu n baba asiyeshindwa ameen
Hongera mmechangamka waimbaji wote
Hakika nina baba yangu asiyeshindwa kamwe
Nyimbo mzuri sana, hizo links vipi
Kweli Mungu hawezi shindwa kamwe
Amen yesu ni baba yangu asiyeshindwa kamwe
Mbarikiwe sana mko vizuri
Jmn hata kwangu hajawahi kushindwa kamwe na hata shindwa
Ahsante kwa ujumbe mzr sana
Huu wimbo unanikumbusha Easter conference pasakaSingida mjini mwaka2011
God bless you guys and keep do it
The Whispers band is a gospel band that resides in Tanzania. The band was formed by a couple of friends who enjoyed singing with each other and went to the same church. The band has done several videos now like Nina Baba Yangu, Nina Bwana Wangu and Bwana Sifa Zako.
Truly our father never fails. It is we who fail and do not have faith in him, but tell him of your burdens and he will not fail you.
Mubalikiwe sana
nice song ,,he will fight ma battle..
Kweli Baba yetu hashindwi kamwe,ni yeye jana leo na hata milele
Tunashukuru mungu
Inanitia moyo wimbo huu,ninaipenda
Yesu ni Baba yangu 🙏
whispers;Yesu ni mtetezi na mwamba imara ,thanks
Agatha w. good
5/2021
Yesu mwamba
Amen Asante YESU🙏
asiye shindwa kamweeee ni yesu tuuuu
THIS SONG IS BLESSING ME
Amen I blessed
This is good keep it up god work
kweli YESU NI BABA WA UZIMA MBARIKIWE
It's still my favorite song in 2021
2023👏👏
ameen!!! nice songs godbless u
asante mungu awabark
God bless you all this song is amazing
Haleluya barikiwa Sana
i was trying my luck searchin for this song...then i found it,,..nice song,,just amazing, God bless you...amazinggggggggggggg......
mungu afananishwi. na kitu chochote
kweli yesu kristo ni mwamba imara ;ashindwi na kitu chochote sema emen
Ohana Bishinaba Amen. Na iwe hivyo.
Ohana Celestin Seraya uuuu
please add some lyrics, I love the song
One of the best song ever
Hallelujah Amen and Amen
Amen I'm Jesus never fail that true!!😇😇😇
Dec 2020 👇✔️
AMEN. SOYEZ BÉNI-E-S.
Who is here in 2020