Nawaombeni sana Watanzania kabla hamjaongea vitu jiridhishe kwanza kuhusu usahihi wa usemacho haswa unapojuhusisha na masuala ya kitaaluma kama sheria n.k. Muongeaji hapa amethibitisha kuwa hajui chochote kuhusu Sheria ya ndoa ya Tanzania. Tafadhali acheni kujiaibisha au kuwapotosha watu. Talaka hazitolewi na wanandoa kwa wakristo. Mali zote zilizopatikana kwenye ndoa huchukuliwa kama za wanandoa wote . Mahakama ndio chombo pekee kinachoweza kuamua ndoa ivunjwe au la na pia mgawanyo wa mali na malezi ya watoto. Kutoa pesa za ujenzi sio kigezo pekee cha kumtoa mwenzio katika nyumba iliyojengwa wakati wa ndoa. Umbea sawa lakini mengine hayafai kuyaongelea juu juu tu. Fanyeni utafiti kwanza kabla ya interview ndugu waandishi na wageni wenu. Kitu cha kitaalami usichojua jibu lake achana nacho. Pleaaaaase!!!
Carry ❤❤❤❤❤❤ usiadimike sana bana, we miss you
More protection to my favorites couple juma jux phicilia greetings from uganda 🇺🇬 🎉🎉❤
Nampenda carry sana 😂😂😂
❤😍😍
❤❤❤
Carry nakupenda hadi naumwa' bila wewe Wala sijiwezi
tatizo wanawake wa kitanzania wanapenda kulalamika saana
Jux ni shoga wa diamond
Yani mpaka zuchu atajwe😂😂🙌🏿
Please can you be Adding English or Subtitles In English When Talking About Jux and Pricilla Since They are Now Both Nigerian 😊
😂😂😂😂
Nawaombeni sana Watanzania kabla hamjaongea vitu jiridhishe kwanza kuhusu usahihi wa usemacho haswa unapojuhusisha na masuala ya kitaaluma kama sheria n.k. Muongeaji hapa amethibitisha kuwa hajui chochote kuhusu Sheria ya ndoa ya Tanzania. Tafadhali acheni kujiaibisha au kuwapotosha watu. Talaka hazitolewi na wanandoa kwa wakristo. Mali zote zilizopatikana kwenye ndoa huchukuliwa kama za wanandoa wote . Mahakama ndio chombo pekee kinachoweza kuamua ndoa ivunjwe au la na pia mgawanyo wa mali na malezi ya watoto. Kutoa pesa za ujenzi sio kigezo pekee cha kumtoa mwenzio katika nyumba iliyojengwa wakati wa ndoa. Umbea sawa lakini mengine hayafai kuyaongelea juu juu tu. Fanyeni utafiti kwanza kabla ya interview ndugu waandishi na wageni wenu. Kitu cha kitaalami usichojua jibu lake achana nacho. Pleaaaaase!!!
Sahihi japo cjasoma😢
@@fauziantandu1288😂😂
Carry, akili kubwa
😂😂😂