"NIDA NA UHAMIAJI TUSIWAKOSESHE WATU FURSA"RC BALOZI BATILDA
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Wananchi wa Kata ya Mwakijembe Wilayani Mkinga Mkoani Tanga wamelalamikia mamlaka ya vitambulisho NIDA Kwa kutowatambua kuwa ni raia wa Tanzania kutokana na Makabila yao.
Wakizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian wamemwomba kuwasaidia Ili waweze kupata vitambulisho vya Taifa NIDA.