Tanga TV Online
Tanga TV Online
  • 3 134
  • 647 785
URITHI FESTIVAL KUDUMISHA UTAMADUNI TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema lengo la kuanzishwa kwa tamasha la Tanga Urithi Festival ni kusherehekea urithi wa kitamaduni unaopatikana Tanga katika kukuza uhifadhi endelevu wa urithi wa utalii na uwekezaji.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari na kuwataka wakazi wa Tanga kuchangamkia fursa zinazotokana na historia ya eneo husika kwa kutunza mazingira ili kuweza kudumisha utamaduni wenye tija
Tamasha hilo ambalo linatarajiwa kuanza Disemba 27 hadi Januari 1 litahusisha mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na michezo, chakula, burudani pamoja na maonyesho ya nguo za kale.
Переглядів: 17

Відео

MADEREVA MSIENDESHE MKIWA MMELEWA "DKT.BURIAN MKUU WA MKOA TANGA"
Переглядів 1414 годин тому
Kumekuwa na ajali nyingi Sasa hivi na hata Jana tu maeneo ya handeni kumetokea ajali kubwa ya basi ambapo imeua watu Saba ,tunawaombea mwenyezi Mungu azilaze roho za Marehemu mahali salama, lakini pia tunawaombea wawafariji wagonjea wale na familia, tunaomba sana mwenyezi Mungu awalinde wote "Dkt.Batilda Burian Mkuu wa Mkoa wa Tanga akizungumza na wandishi wa Habari kuelekea Kufunga Mwaka 2024"
TUNA IMANI NA RAIS SAMIA PAMOJA NA WAZIRI AWESO, MAJI YATATUFIKIA
Переглядів 4223 години тому
Wakazi wa kijiji cha Komungu - Kwamsisi Wilayani Handeni wamemshukuru Rais Dkt Samia kwa kuona kilio chao na kumtuma waziri wa maji Jumaa Aweso ambaye ni mtatuzi wa tatizo la maji Wananchi hao wamesema ni muda mrefu wamekua wakilia na upatikanaji wa maji lakini kwa ujio wa waziri Aweso wanaimani kubwa yakupata maji safi na salama katika kijiji chao cha Komungu.
DC KUBECHA KULA SAHANI MOJA NA WANAOHUJUMU KIWANDA CHA MATOFALI
Переглядів 432 години тому
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Japhari Kubecha amefanya ziara katika kiwanda cha matofali cha Halmashauri ya Jiji la Tanga hii leo Desemba 20, 2024 kilichopo eneo la viwanda Gofu. Katika ziara hiyo Mhe kubecha amemtaka msimamizi wa kiwanda hicho bwana Idrisa Mbondera kuhakikisha wanafyatua tofali 4500 kwa siku na siyo 1200 zinazofyatuliwa kwa sasa na kuahidi kurudi kukagaua baada ya siku 4 kuanzi...
ADHA YA MAJI KOMUNGU-KWAMSISI, WAZIRI AWESO ATOA SIKU SABA
Переглядів 542 години тому
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka wakandarasi wa maji kuacha kuzoea shida za wakazi na kuhakikisha kila eneo lenye uhitaji wa maji linafikiwa na huduma hiyo. Aweso ametoa kauli hayo mara baada ya kufika katika kijiji cha Komungu kilichopo kwamsisi wilayani Handeni wakati alipofika kujionea adha ya maji wanayopata wakazi wa eneo hilo. "Wakandarasi muelewe Rais Dkt Samia ametuagiza kuhakikisha...
MONGELLA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA SANKWA
Переглядів 2104 години тому
Mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga umezikwa katika Makaburi Msafa yaliyopo Kata ya Tandika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara, ambapo Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCm John Mongella akiwaongoza Mamia ya watu walihufhuria katika Msiba huo. Akitoa Salamu za Chama Mongella amesema kuwa Chama hicho kimepoteza Kiongozi muhimu katika Chama,ambapo wan...
JUMUIYA YA WAZAZI YAHIMIZWA MASUALA YA MALEZI.
Переглядів 5712 годин тому
Baraza la Jumuiya ya wazazi wilaya ya mkinga mkoani Tanga wamehimizwa kusimamia maadili na malezi kwa Jamii. Akizungumza katika baraza la wazazi wilayani humo mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Tanga Hassan Mbezi amesema swala la malezi ni letu viongozi na wanajumuiya hatuwezi kulikwepa. Kwa upande wake kamisaa wa wilaya ya mkinga Halbert Kalima ameeleza juu ya mapambano ya vitendo vya uka...
TRA YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WAFANYABIASHARA
Переглядів 9012 годин тому
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA wamefanya Mkutano na wafanyabiashara lengo ikiwa ni kutoa hamasa juu ya ulipaji kodi ambapo wameweza kupokea maoni na kusikiliza changamoto kutoka kwa wafanyabiashara hao na kuzitolea ufafanuzi. Akizungumza wakati wa mkutano huo Naibu Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani TRA Ephraim Kibasa ambae ni Muakilishi wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo amesema kupitia kodi zinazot...
TANGA TUNATENGENEZA BOARDWALK WATU WATATEMBEA KATIKATI YA MIKOKO NDANI YA MAJI"DC KUBECHA"
Переглядів 34712 годин тому
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Desemba 19, 2024 amefungua kikao cha kuandaa mpango na bajeti cha maafisa wa wakala wa misitu nchini TSF Kanda ya Kaskazini kwa mwaka wa fedha 2025/2026 katika ukumbi wa veta Jijini Tanga. Akizungumza na Waandishi wa habari mhe Kubecha amesema amewaomba maafisa hao kuwa bajeti hiyo iwe yenye kujenga ubunifu kwenye maeneo ambayo yana misitu ambayo ...
TRA TANGA YATOA PONGEZI KWA WALIPA KODI
Переглядів 29014 годин тому
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Tanga imefanya ziara ya kutembelea na kutoa zawadi za pongezi kwa walipa kodi ambao wamekuwa wakitambua wajibu wao wa kulipa kodi bila shuluti lengo ikiwa ni kutoa hamasa kwa wafanyabiashara wengine kutambua wajibu huo. Ziara hiyo iliyofika katika maeneo mbalimbali ambapo wametoa hamasa kwa wafanyabiashara kutobweteka kulingana na pongezi walizopewa bali wachukuli...
JHPIEGO KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UCHUNGUZI WA AWALI WA SARATANI TANGA.
Переглядів 15016 годин тому
Shirika lisilo la kiserikali la JHPIEGO limekabidhi vifaa vya uchunguzi wa kina salatani ya matiti mashine 3 kwa mkoa wa Tanga Akielezea utafiti waliofanya JHPIEGO mkurugenzi wa mradi wa kuzuia saratani ya matiti JHPIEGO Dr. Maryrose Giattas amesema lengo la kusogeza huduma ya upimqji na ugunduzi karibu ili wanaweke wengi kupima na kupata matibabu kwa haraka Naye Dr Mzee Nassoro akaeleza umuhim...
HOSPITALI YA BOMBO YAZINDUA KITUO CHA KUPINGA UKATILI{ONE STOP CENTER}
Переглядів 13416 годин тому
HOSPITALI YA BOMBO YAZINDUA KITUO CHA KUPINGA UKATILI{ONE STOP CENTER}
MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO
Переглядів 23День тому
'Niko hapa kwa ajili yakuwataarifu wananchi mwezi wa Afya na Lishe ya Mtoto ambao unafanyika Mara mbili kwa Mwaka,ambapo unafanyika mwezi juni kuanzia tarehe 1 mpaka tarehe 30 lakini pia unafanyika kipindi cha disemba kuanzia tarehe 1 mpaka tarehe 30 Kila mwaka, kwahiyo Niko hapa kuwataarifu wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyetu vya Afya,hii huduma inayotia fursa yakipekee kwa wananc...
"TUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI" DC KUBECHA
Переглядів 128День тому
"TUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI" DC KUBECHA
WATUMISHI JIJI LA TANGA WAJENGEWA UWEZO WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI.
Переглядів 98День тому
WATUMISHI JIJI LA TANGA WAJENGEWA UWEZO WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI.
WANANCHI WATAKIWA KUENDELEA KUTUNZA MAZINGIRA ILI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Переглядів 4414 днів тому
WANANCHI WATAKIWA KUENDELEA KUTUNZA MAZINGIRA ILI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI.
TUILINDE MIKOKO KWA GHARAMA YOYOTE KWA FAIDA YA NCHI YETU
Переглядів 4614 днів тому
TUILINDE MIKOKO KWA GHARAMA YOYOTE KWA FAIDA YA NCHI YETU
MIAKA 63 YA UHURU TANGA JIJI YAHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA BAHARI.
Переглядів 5114 днів тому
MIAKA 63 YA UHURU TANGA JIJI YAHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA BAHARI.
SHULE YA SEKONDARI KIOMONI NA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Переглядів 1914 днів тому
SHULE YA SEKONDARI KIOMONI NA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
TENGENEZA MBOJI KWA KUFUATA HATUA HIZI( Green and Smart Cities Project)
Переглядів 1914 днів тому
TENGENEZA MBOJI KWA KUFUATA HATUA HIZI( Green and Smart Cities Project)
WANAKAMATI WA AFYA NA MZINGIRA JIJI LA TANGA WAPIGWA MSASA (GREEN AND SMART CITIES PROJECT)
Переглядів 7414 днів тому
WANAKAMATI WA AFYA NA MZINGIRA JIJI LA TANGA WAPIGWA MSASA (GREEN AND SMART CITIES PROJECT)
COMFORT ENGLISH MEDIUM KUTOA ELIMU BORA YA AWALI NA MSINGI WILAYANI MKINGA
Переглядів 17614 днів тому
COMFORT ENGLISH MEDIUM KUTOA ELIMU BORA YA AWALI NA MSINGI WILAYANI MKINGA
SIJANUNULIWA NA MTU YEYOTE "KATIBU MSTAAFU BAVICHA TANGA'
Переглядів 16414 днів тому
SIJANUNULIWA NA MTU YEYOTE "KATIBU MSTAAFU BAVICHA TANGA'
VITAMBULISHO VYA UJASIRIAMALI KUWANUFAISHA WAJISIRIAMALI-TANGA
Переглядів 11514 днів тому
VITAMBULISHO VYA UJASIRIAMALI KUWANUFAISHA WAJISIRIAMALI-TANGA
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJI LA TANGA - VYAMA VYA VYA SIASA VYAPONGEZA.
Переглядів 5421 день тому
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJI LA TANGA - VYAMA VYA VYA SIASA VYAPONGEZA.
WANANCHI WAJITOKEZA ZOEZI LA KUPIGA KURA
Переглядів 4921 день тому
WANANCHI WAJITOKEZA ZOEZI LA KUPIGA KURA
USAGARA TUKO TAYARI KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - MWENDA
Переглядів 7928 днів тому
USAGARA TUKO TAYARI KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - MWENDA
MWENYEKITI BWANGA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA
Переглядів 10128 днів тому
MWENYEKITI BWANGA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA
WATENDAJI KATA WAKABIDHIWA VIFAA VYA UCHAGUZI
Переглядів 4528 днів тому
WATENDAJI KATA WAKABIDHIWA VIFAA VYA UCHAGUZI
SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NI MAPUMZIKO.
Переглядів 10728 днів тому
SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NI MAPUMZIKO.

КОМЕНТАРІ

  • @mwalimungoda
    @mwalimungoda 4 години тому

    LEO MAMA UMENIFURAHISHA NA NINACHOFURAHI ZAIDI UNASUPPORT VYOMBO VYA HABARI VYA TANGA

  • @hamisisheshe9519
    @hamisisheshe9519 23 години тому

    mkurugenzi anafanya nini mama tuma jicho la mwewe tanga likakague halmashauri ya jiji na kabla jicho la mwewe halijafika halmashauri ya jiji lishuke kituo cha mabasi kange lione ubabaishaji jengo lina miaka 6 limekaa tu anatakiwa kiongozi mwenye kushawishi ili vizimba vijae

  • @hamisisheshe9519
    @hamisisheshe9519 23 години тому

    Nahao hao ndio wanao kwamisha jengo la kitega uchumi pale kange jengo limeisha wanaona uvivu kulitangaza subirini mh raisi aje apo haiwezekani serikali itumie bilioni 8.5 halafu jengo limekaa tu mnashindwa hata kwenda kuzishawishi benki zije ziweke ATM mana hapo kuna vyuo na taasisi nyingi za serikali

  • @100farmersvillage
    @100farmersvillage 2 дні тому

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 10 днів тому

    Akili ndogo sana huyu!, kutokuwepo upinzazi unaona ni ufahari?

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 10 днів тому

    Tumeona mmeiba na upuuzi went wa ovyo!

  • @FundiFk
    @FundiFk 10 днів тому

    Ulivyokuja tanga ukasema utarudi watuwalipwe hatuja kuonatena

  • @theodoramtejeta7901
    @theodoramtejeta7901 16 днів тому

    Naipongeza Serikali kwa mikakati hii ya mikopo kwa makundi.

  • @lucasmunaku1483
    @lucasmunaku1483 19 днів тому

    Kazi nzuri

  • @Mauya23
    @Mauya23 Місяць тому

    Future tenses always hard to believe until happens, i reserve my commendations until the real happens...

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 Місяць тому

    S. E. S Talieh Mega Speed Liners Butterfly

  • @NyangeSempindu
    @NyangeSempindu Місяць тому

    Good

  • @floragaye7666
    @floragaye7666 Місяць тому

    Kongore sana Tuli wetu

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 Місяць тому

    Way to go, keep going mama

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Місяць тому

    Mashallah bado mama ana sauti nzuri mashallah ❤❤❤❤

  • @nganzimwaliza8191
    @nganzimwaliza8191 Місяць тому

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 Місяць тому

    Ni aibu kubwa kwa mkoa wa Tanga hasa Tanga Jiji kukosa chuo kikuu wezentu wa huko Bara wanatucheka Sana tubadilike kuiga vitu vizur sio dhambi tukubar kujisahihisha!!

    • @hamisisheshe9519
      @hamisisheshe9519 Місяць тому

      Mbona vipo viwili kuna kinachojengwa mkinga cha sua na kingine tawi la TIA kange stendi pale.

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 Місяць тому

    Jengeni chuo kikuuu kinachokusanya wanafunzi 40000 kwani chuo kikuu ni kama kiwanda mtakusanya mapato mpaka mtakinai ,Halafu nyie madiwani wa Tanga Jiji hivi mnajua Tanga ni Jiji ila halina hata chuo kikuu tangu kuumbwa kwake, Hebu jengeni chuo kikuu vijana wa mkoa wa Tanga nao wasome ili wazione fursa za mkoa wao!!!!

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp Місяць тому

    Masikini Tanga yetu tunapata matumaini angalau tunapo sikia mafanikio bandarini, bado mkonge haujarudi kwenye nafasi yake, siasa zili tuulia Tanga toka mkoa wa pili kwa maendeleo baada ya uhuru leo sijui ni wa ngapi chini ya Mwanza, Arusha, Dodoma, Mungu atujalie kheri.

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 Місяць тому

    Safi sana mkuu tumekuelewa

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 Місяць тому

    Na miwani ya kuchovya, wanaongea kipropaganda na hawana Taaluma!!

  • @Mauya23
    @Mauya23 Місяць тому

    Hapo kwenye maji hebu rudia research yako tena kitaa, itakuwa umeona vibaya odo...

  • @AdamSabugo-t2p
    @AdamSabugo-t2p 2 місяці тому

    Gari Japan mil 5,likifika bandarin apo ushuru mil 4.5

  • @AdamSabugo-t2p
    @AdamSabugo-t2p 2 місяці тому

    Unabandar lakini magari ya watu iT

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 місяці тому

    Halafu wewe na Wenzako muiuwe tena Bandari ya Tanga kama Walivyoiua wale MAfisadi wakina Bandawe miaka ya 80-90-2000 alihakikisha Bandari ni yake mpaka alikuwa akinunulia wanawake Magari kwa pesa za Bandari naMatokeo yake ilikufa. Sasa Wewe tunaona Umeshaanza Kuvimba mwili, ila ujue tuu safari hii hatuvumilia kuona Bandari inaliwa tena na Wachahce na kufa. Tutawafuatilieni usiku na Mchana kubaini ufisadi.

  • @nganzimwaliza8191
    @nganzimwaliza8191 2 місяці тому

    ..

  • @jumarajabu2137
    @jumarajabu2137 2 місяці тому

    Hongera Sana Dr

  • @agabakamugisha
    @agabakamugisha 2 місяці тому

    Hongera sana boss 🤝🤝

  • @UmmiMohammad-q9m
    @UmmiMohammad-q9m 2 місяці тому

    Hongera sana doctor 🎉🎉

  • @FnunNassoro
    @FnunNassoro 2 місяці тому

    Kwa anayetaka huduma ya kuhudumia cunteen

  • @jumarajabu2137
    @jumarajabu2137 2 місяці тому

    Hongera sana Dr

  • @KSI_TV1
    @KSI_TV1 2 місяці тому

    Hongera sana 🎉

  • @hopedonny5845
    @hopedonny5845 2 місяці тому

    I learnt something 🤝👍 na kinywa ni Muhimu kwa rika zote. Tunaungana na wewe kuelimisha watu zaidi 😊

  • @johnmjata2675
    @johnmjata2675 2 місяці тому

    Piga kazi dada sisi vijana tupo nawewe Batilda Burian ukojuu🎉

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 місяці тому

    Mmpewa sh ngapi?

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 2 місяці тому

    Chadema jitafakarini na mienendo yenu ,Itilima imebatizwa yooote imekuwa ya kijani ! Sasa endeleeni na vibwagizo vya kununuliwa !

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 2 місяці тому

    Hiki ni kiini macho kwa anaejitambua ataamini ni kweli

  • @DavidTuya-n8p
    @DavidTuya-n8p 2 місяці тому

    Hizo kadi tulisha toka msidanganye umaa

  • @DavidTuya-n8p
    @DavidTuya-n8p 2 місяці тому

    Niwakumbumbushe hatuna kadi kama hizo mnadanganyana wenyewe

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 місяці тому

    Yan wajinga ndo.mtawambia hii kad zote mpya .na wote ni vijana wa kitaa elf 5000 tu inawatosha na ndo.lengo lenu lazima uwatawale wanyime elimu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 місяці тому

    Kwan hizi kad ndo za chadema ck hizi?jaman mbona na wote wana kad mpya walikata ck.moja?

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 2 місяці тому

    Unakusanya kadi feki

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 2 місяці тому

    Maji taka

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 місяці тому

    Huko tanga. Ni full misukule havinitambui

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 2 місяці тому

    Wewe sio kijana mpumbavu wewe

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 2 місяці тому

    CCM sisi tunawajua mumeshajiua wenyewe vijana wasiokuwa na Elimu

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 2 місяці тому

    Nyie vijana mumepotea njia bila kujitambua

  • @mohamedyahya1677
    @mohamedyahya1677 2 місяці тому

    Kwingine kote kunajengwa viwanja vya kisasa lkn Tanga mnaishia ukarabati tu hakuna hata mpango wa nyasi bandia.

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl 2 місяці тому

    Asante Mh. Ok

  • @hamisisheshe9519
    @hamisisheshe9519 2 місяці тому

    Team inapata tabu na mkasema kwa mbwembwe uwanja unajengwa wa kisasa kelele nyingi kumbe pesa za kuukalabati pesa hamna mpaka sasa uwanja bado