bonge moja la Series ila mpangilio kitale tufikirie sisi mashabiki zako tunasubiri sana jitahidi kuweka siku maalum na kwa wiki rusha mbili..tunaipenda hii series sana
Kwa TVE ambapo ndo inarushwa kila J4 kwanzia SAA 3:30 zinaweza pita wiki 3 wanarudia ile ilooneshwa nyuma au kutokuonesha mwendelezo kabisa.Saahiz nahic ni mwez sasa ep 47 kwa TV imeoneshwa hadi leo hakuna mwendelezo.
Kushukuru pia ni jambo jema khaa binadam hamna shukrani ata kdg ivi unadhani kazi rahisi eeh nenda kafanye ww kazi ndio utaona km unaweza kutuma kwa kila wiki au kila ck ujue wanatumia pesa ,nguvu,na akili pia sio kulaumu tyu wakitoa shukuru mungu je wangekaa mwezi mzm km wanavyofanya wengine ungesemaje ?
Nyie nao mnazngua sana asee kama vile hamkuwa tayali au hamkujiaandaa kucheza movie city vngne msiwe mnakurupuka kama hamko tayali yanii hapo ndipo juwa wabongo tunaferi tunapupa sana
Jamani uyu baba kaniumiza mbavu zangu mie leo maana duuuuh niakimu mzuri sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️ ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote tume waelewa sana kwa mafuzo mazuri
Huyo babu nime mpenda big up sana
Nyie uyu mzee sanamu Lake lijengwe wap
Movie n nzury lakin mnatuchosha....siku nane hamtoi mtafanya Sasa tuache kufatilia muangalie wenyewe....
@@fatmahashimu1487
Huyu Baba Mkwee Yupo Vizuriii Sanaaa Nimempenda haswaaa 😂😂😂😂
Tena sana alafu asisahau kuoa mke mwengine nko apa🤣🤣🤣
Huy mzee kibok🤣🤣Yan amenikosh kinom big up san✌️✌️
Eti kisa nimechelewa ndio sipati like 🔥 siku zote wana binadam wabaya hatunaga roho mbaya 😀 please naomba japo ata kumi two za tosha🙏
Umeomba kumi tunakulamba nyingi Mzee😂😂😁
@@JerryMpex asanteni sana ndugu wana binadam
@@edwinjohn6334 dua sana brother
bonge moja la Series ila mpangilio kitale tufikirie sisi mashabiki zako tunasubiri sana jitahidi kuweka siku maalum na kwa wiki rusha mbili..tunaipenda hii series sana
jini pis kali kinyama
Upo sawaaa
Kabisa anatusahau kabisa
Kwa TVE ambapo ndo inarushwa kila J4 kwanzia SAA 3:30 zinaweza pita wiki 3 wanarudia ile ilooneshwa nyuma au kutokuonesha mwendelezo kabisa.Saahiz nahic ni mwez sasa ep 47 kwa TV imeoneshwa hadi leo hakuna mwendelezo.
woow leo nimewahi no 13,naombeni likes😍😍love from kenya 😘
Wazingua ila Kazi nzur sna Kuweni bsi na msimamo Tunaisubir kwa Hamu sana
Me mbona sijawai kupata like jamani nipeni ata 2
Hamuna mipangilio mizuri mwashindwa nakina white na mkojani.hamna mda maalum hamna cku maalum.
Inashushwa siku yeyote ata saa Saba za usiku potelea mbali ha 😳
Angalau duh sikuhizi munakera sana
Nimewahi namm leo toka maneno yakuambiwa sijawah kuwa hata wamia alhamdulillah leo nimekuwa wa15
Ninamacha hyu nyauu na talaka tano😂😂😂😂😂😂 hyu mzee yuko vizur.
🤣🤣🤣🤣
Sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ahahahaha ndio anakula tatu sasa ili asitende kosa tena😂😂😂😂😂😂
Kwn izi like zinalaz gn ebu nipen japo kumi na mm nione utamu🤦
Naomba like na mimi nimekuwa wa 32😁
Nmechelewa bt Alhamdhulillah naaangalia ila nmekua wa mwisho like zenu jamni
Ji Picha Tamuuu Mpaka Basi, Sobo Okoa Bashiru,Jini Kachafuka Hatarii.Muendelezo In Shaa Allah. Shukran.
Mnazingua sasa hv week nzima hamtoi sasa hii season gan
Kushukuru pia ni jambo jema khaa binadam hamna shukrani ata kdg ivi unadhani kazi rahisi eeh nenda kafanye ww kazi ndio utaona km unaweza kutuma kwa kila wiki au kila ck ujue wanatumia pesa ,nguvu,na akili pia sio kulaumu tyu wakitoa shukuru mungu je wangekaa mwezi mzm km wanavyofanya wengine ungesemaje ?
@@minnahloveiove1074 we uliona wap mbona mkojani na tin white hawafanyi hvyo Kwan c ni kazi yake😏
Mzee majengo wallah uko seriously
upande chuma ubande shaba ukizuka mfupa huna hahaha huyu mzee balaaaa alikua wapi zamazote
kazi nzuri ila namim leo nimewahi sasa
Mke wa sobo napenda macho yake Mashallah mzuri sjui kapaka wanja ama ndivyo yalivyo ila hongereni wote mloshiriki🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri sana keep it up watching from Saudi Arabia
Nyie nao mnazngua sana asee kama vile hamkuwa tayali au hamkujiaandaa kucheza movie city vngne msiwe mnakurupuka kama hamko tayali yanii hapo ndipo juwa wabongo tunaferi tunapupa sana
Hilo jini linaubabe waajabu..!
Hiii ya leo kali muno nimependa sana baba nathal na mjombake njoo kenya baba nathl uniowe mm bdo bado nko bikra lkn nko na watoto 4🤣🤣🤣🤣
Namby my dear
Nmekukubali mshua msimamo!!!!!
Movie nzuri sanaaaa
Huyu mzee nikiboko ametisha😄😄anamikwara mizito kweli
Daaah mnakaa Sana shida nini
Unazingua kitale series wiki mara moja na dk zenyewe 20 angalia mwenyewe usizingue watu
Analinga sababu anajua kua tuna fatilia kazi zake ana tulingia😏
namuacha huyu mnyau 😂😂😂🙌 Khaaaah mzee ana balaa huyoo
Mzee majengo kashiba script 🤠🤠
😂😂😂
Mmh sio pw kk
Huyu mzee majengo kauwasha moto noma namkubali sana
Nyie kazi ilishawashinda mmuachie tu Lamata
mzee wangu nakubali sana🤝🤝umetisha
huo ndio dawa ya wanawake wadangaji✍️
series ni 🔥🔥🔥binadamu wabaya 🔥🔥🔥
Hii movie ni nzur sana na inamafundisho ndani yake ukiifatilia, tatizo uongozi hauna mpangilio inatoka hovyohovyo tu.
Nikweli haieleweki mpangilio wake adi inachosha japokuwa ni movie nzuri.
Mashaaallah kazi zuri xana jmn ilove you binadamu 😘💪🙏😘🤗🤲🤝
Semq Nini mnazingua sanaa mnachelewa kuweka vipande vipya c wengine hatupo tz tunaangalia hapa mzee
Humu kuna majini wawili huyo fetty na mama shobo. Ila mama shobo ni mchawi hasaa
Ni sobo jamaniii🤣🤣
Mama shobo hiyo kwiyo🤣🤣🤣🤣
Huyu mzee anajua sana
Nawakubali sana 👊
jina mrembo sana napenda macho yake
Namuacha huyu nyau kwa talaka 3 mzee nakukubali sana
Kweli binadamu wabaya
Daah..Leo nimekua wa 40 twende kazi
Hongeren kaz nzr sanaaaaa
Hakuna kwenye mazishi hapa weeeeh kazi ipo kwa binadamu wa wabaya
Uyu mzee ameweza ameweza tena
Mnatucheleweshea sana mpaka mnaboa skuizi hata hatujui sikugani tueke mb sababu yakuangalia binadam kabisaa
Uyu baba kavurugwa ile mbaya yani japo kidini hayupo sahihi🤣🤣🤣
Yn ile naamka tu naikuta, nimeangalia hadi nimekuja kuamshwa na mimaji ya baridi yn huyu mzee huyu😢....!!!!
Nimesubiria snaa
Mzee huyo noma 🤣🤣🤣 talaka Tatu 🤣🤣
Mama ushapika pombe tuachie walevi. 😅😅😅
😀😀😀
Dah kitale on fire again much love
😂😂😂kwaiyo huyu babu amekuja kukomesha wanzinzi duniani hakuna cha msamaha du!!
Huyo mzee ni kiboko sana nimemuelewa
Leo nimechelewa kidogo nimekuwa wa 33 naomba hata like kumi zinanitosha namm ni vimbe mtaani
Big up Brothers watching from Oslo Norway 🇳🇴 🇳🇴 🇰🇪 🇰🇪
Mnaicheleweeeshaa mpaka tunasahau iliishia wapi😎😎
Kwakwel sijui ilishia wap🤣🤣🤣🤣
Bwana wanatuudhiiii🤣🤣🤣
Mzee kiboko ninamwacha huyu Nyau🤣🤣🤣🤣🤣
Shebeth binjuma upande Shaba upande chuma na Leo kwenu amlaliiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haha
🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆
Kwahio majini wana iPhone. Wanapigana picha 😂😂😂😂😂 haya bwana mradi salama
Majini digitali🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣😂Shikamoo mshenga nimekukubali mbavu zangu
😀😀😀😀😀Apa unapigwa tatu mzee noma
Top ten Leo duh Ila watu kumbe hawalali🔥🔥🔥
Mnazingua bhna unachelewesha sana kuweka mwendelezo
Big up mzee huko sawa kabisa kazi nzuri sana classic movie
MANGANJE MJINGA, ET NITEGEMEE KAMA NGUZO YA UMEME 🤣🤣🤣🤣
Hongereni sana kwa kazi nzuri sana movies inamafunzo mengi sana tunao angalia kama hatuta jifunza basi hatuta jifunza tena
Baba mkwe umeweza🤣😅😆🤣😅🤣😅🤣unanikosha😅🤣🇰🇪🇰🇪
Jini mamboo yanazungumzika Jamani 😃😃najua kobero utamuelewa tu maana ulishaanza kulegea
Mjomba kibokoo 🤣🤣🤣
Mtihani ndio wanawake tunatakiwa tujifunze kutulia kwenye ndoa zetu maria umempoz mama yako ulipo iyangusha ile dawa
Kwenye hii tamsiria nimejifunza vitu vingi sana asante sana kitale
Waaah mambo fire 🔥🔥🔥 kweli mke wa starny ameumbuka episode 48 jamani
Huyu mzee kiboko ningepata wazee kama hawa kesi zangu zingeenda poa
Mbn hiii flm haiendi mbele vipandi ni hvy kwa hvy vinajirudia
Umenikosha Mzee Mkubwa kwa maneno yako
Mnachelewaaaaaaaaaaaa jmn mhhhhhhh
Jamani uyu baba kaniumiza mbavu zangu mie leo maana duuuuh niakimu mzuri sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️ ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote tume waelewa sana kwa mafuzo mazuri
baba mkwe wa stani kunifurahisha kaupiga mwingi mnoo
Hahahaaaa hahahaaaa et ninamwacha huyu nyau huyo mzee kachezaa sehemu yake
Aisee hyo Mzee apewe soda wallah ako vizuri
Iko Na gawa sana potv mufanye bitu fasta
I love my film binadamu wabaya from congo
mambo moto kweli💥💥💥
Huyo Jini feti kama hajapata ndowa mm nipo tiaria kuowa Jini fet
Mzee wasemaje umekuja full gadoo 😂😂😂
😂😂
Jamn mnachelewesha sana hadi mnaboa.
Namuacha huyu nyau kwatalaka tatu wee mzee umetisha
Nimependa leo imekuwa ndefu kidogo, bt ipo vizuri akuna tatzo, Baba mkwe honger sn unatimiza majukumu yako bara bara.
Cyo kwa kututesa ukooo saw mungu awabarik🙏🏻
Move Kali ila mnaboa mnatucheleweshea kinoma hadi tunachoka tunaisahau sio poa
Uyu nyau talaka tatu 🤣🤣🤣 jamani mh
Mama ushapika pombe tuachie walevi😀😀😀😀😀
Nilikusubiri saaaaana season wang pendwa
Nimempenda huyo mzee yuko vizuli
Hapa unapigwa tatu🤣🤣🤣