BINADAMU EPISODE 48 (SEASON 4)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 551

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 2 роки тому +72

    Wa kwanza Leo nipen like zenu japo 4 ila bela hongera umefurahisha...kweli binadamu wabaya KIRA kamuamini yule dada kumbe tapeli mkubwa

  • @jacobmenganyi8941
    @jacobmenganyi8941 2 роки тому +38

    Tamthiliya nzuri Sana sema.changamoto inachukua muda mrefu kurushwa hewan inakua Kuna matukio yetu tumejitengenezea kichwan what next ikichelewa Sana Ile Radha inapoteza mvuto kutaka kujua nn kitaendelea Ile Hali ya kuiwaza kichwan inapotea

  • @muusmile4419
    @muusmile4419 2 роки тому +45

    Safi sana 🔥🔥🔥🔥 wanaochek movie huku wanasoma comment tujuanee 😂😂😂

  • @mustaphahemedy9447
    @mustaphahemedy9447 2 роки тому +27

    Kwa bong musa kitale ni mrithi wa kanumba mtunzi mzr sitor inaeleweka mashallah 🥰🥰🥰

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 роки тому +101

    Wakwanza leo😁😁😁
    Team hammam gonga like tukisonga

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 роки тому +33

    Japo kuwa nimechelewa ndio sipat like saweni bwana🔥🔥🔥

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 2 роки тому +28

    Afande Killer Ulimuamini Huyu Dada,Ona Sasa.Sobo Hujagundua Kitu Kwa Mamako.Jini Maimuna Limevurugwa.Shukran Sana.

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 2 роки тому +17

    Binafsi mapenzi ya Sobo na Maria nimeyapenda ❤️❤️❤️❤️

  • @sharothegreat7908
    @sharothegreat7908 2 роки тому +20

    Kiukweli mnatukosea sana mashabiki wa binadam kila siku tunalalamika na hili swala yaani mnatucheleweshea sana hii move tunakaa mda mrefu tunaikosa jaman kwann

  • @jogayatheboss2224
    @jogayatheboss2224 2 роки тому +25

    Nimekuwa wa 204 weka like hapa tusongeshe gurudumu na kusapoti vya nyumbani 🔥🔥

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому +8

    Daah..Leo nimekua. Wa 41 sio mbaya twende kazi

  • @imamuidarusi4571
    @imamuidarusi4571 2 роки тому +8

    Kama kuna wanaochukia Kama mm kwa utumwaj wa epsd ya picha ye2 pendw like 2juane ili wa2xikilize maxhabik zao

  • @nayoneplatnumz3311
    @nayoneplatnumz3311 2 роки тому +3

    Kitalw wasipokupa best actor of the year waambiee waje niwafunze kaziii

  • @samwelboniphace5791
    @samwelboniphace5791 2 роки тому +13

    Wakwanza Mimi like zangu tafadhali

  • @officialbizou6053
    @officialbizou6053 2 роки тому +6

    Haya ndo mambo napenda mie

  • @veronicaurioh5343
    @veronicaurioh5343 2 роки тому +4

    Wa kwanza apa leo

  • @fatumaalisaid9816
    @fatumaalisaid9816 2 роки тому +13

    Jamani,,,,nadhan mm wa kwanza1😃😃😃😃😃ukisema umerauka wenzio wamekesha😃😃😃🙂🙂😀🙂

    • @AmaniNdisa
      @AmaniNdisa 8 місяців тому

      Wewe achaga tu mwanangu lyapa movie sijui lmetupa nini

  • @3malis
    @3malis 2 роки тому +5

    Huyu mama kitale anatumia kilugha kupitiliza bhanaa

  • @rosejulie9626
    @rosejulie9626 2 роки тому +8

    Likes zng mapema jmn watano leo

  • @rabiijumanne84
    @rabiijumanne84 2 роки тому +8

    Nimeingoja sana yaaan dah

  • @barakaemma3758
    @barakaemma3758 2 роки тому +20

    Jameni tuna enjoy kabisa mimi mshabiki wa afande killer jamani pressure ita niua😢😢😢😢😢

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 роки тому +6

    Wa kwanza kuangalia naomba like na comments

  • @kulwasalumu7657
    @kulwasalumu7657 2 роки тому +6

    Namba Moja Hiyo

  • @rebeccamzumbwe9613
    @rebeccamzumbwe9613 2 роки тому +7

    asante kitale, naona umerudi kwa ile ratiba ya jumamosi

  • @mimakanini3660
    @mimakanini3660 2 роки тому +19

    Mi pia nipewe like mapema na asubui ❤️❤️

  • @kyeliamametumba5260
    @kyeliamametumba5260 2 роки тому +3

    Wa kwanza

  • @abdallahstara9094
    @abdallahstara9094 2 роки тому +4

    Wow am the first one today

  • @nahdiabdallah2080
    @nahdiabdallah2080 2 роки тому +3

    Mm ndo kwanza

  • @ramajasho6284
    @ramajasho6284 2 роки тому +18

    More 🔥 🔥 🔥 watching from Oslo Norway 🇳🇴 🇳🇴 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @eufransiakiamario7392
    @eufransiakiamario7392 2 роки тому +5

    Kazi nzuri ila mnachelewa sana kutoa mwendelez adi tunachoka kusubiri

  • @Kibadakilwa
    @Kibadakilwa 2 роки тому +1

    Muwe mnaweka jion c wengne asubh hii jau notification imetukuta kazin sasa nmeamua nitulie niangalie kwaza

  • @mamalaozphilemon.8800
    @mamalaozphilemon.8800 2 роки тому +18

    happy Sabbath team binadamu wa baya.

  • @masoudbakar3376
    @masoudbakar3376 2 роки тому +11

    BINADAMU WABAYA ni nouma sana, ila mda wa kutuma umekuwa unachelewa sana

    • @zaizai1703
      @zaizai1703 2 роки тому +1

      Sana mpaka tunasahau

    • @masoudbakar3376
      @masoudbakar3376 2 роки тому

      Wafanye kututumia kwa mda ule ule wasi cheleweshe

  • @halimambena6110
    @halimambena6110 2 роки тому +8

    Asante sana wa ukaye miyangu wa moro kwa kutuletea burudani yetu pendwa Binadamu leo mapema sana naangalia move yng pendwa kutoka Baghdad Iraq

    • @djrichsingelifreva8245
      @djrichsingelifreva8245 2 роки тому

      Waukaeeee 😅😅

    • @halimambena6110
      @halimambena6110 2 роки тому

      @@djrichsingelifreva8245 Eeh waukaee unashangaa sasa! kitale si wa morogoro then mrugulu na mie pia mrugulu so sote ni wanyumbani

    • @naalyhussen3253
      @naalyhussen3253 2 роки тому

      Haya Dada nataka kujaa humor na mini inshaallah

    • @halimambena6110
      @halimambena6110 2 роки тому

      @@naalyhussen3253 Karibu sana kaka

  • @officialravaldztz1727
    @officialravaldztz1727 2 роки тому +6

    Walete sema mnachelewa sana

  • @michaelmpagwa2553
    @michaelmpagwa2553 2 роки тому +5

    Ni the best series kwa Tanzania kwa Sasa 🔥🔥

  • @rahmamamy4034
    @rahmamamy4034 2 роки тому +4

    Hongeren wakuu kwa kaz yenu nzur ,,,twasubir muendelezo

  • @mamushemshami1018
    @mamushemshami1018 2 роки тому +13

    Nan ameona kaka Askar kua Ame act kuzima😁😁

  • @abdallahstara9094
    @abdallahstara9094 2 роки тому +10

    Nice movie well done team mkude simba love u guys

  • @sophiamussa4319
    @sophiamussa4319 2 роки тому +1

    Mama ake sobo ni shidaa, huku nae jini maimuna kacharuka, afande killer Napo ni tabu tupu🔥🔥🔥 kweli Binadamu wabaya🤝

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 2 роки тому +1

    Afande killer mungu akupiganie ushinde jaribu hilo

  • @bartazalamandus4096
    @bartazalamandus4096 2 роки тому +10

    Fainal Binadamu is back🙏🏾🙏🏾

  • @fariduwezo9557
    @fariduwezo9557 2 роки тому +6

    Wa kwanzaaaaaaaaaaa😄😄😄😄😄

  • @omaryayoub5073
    @omaryayoub5073 2 роки тому +8

    Hii move imeshaawaelemea tunakaa mpaka tunasahau bando naamua kuangalia2 marumi😎

  • @titosalali2087
    @titosalali2087 2 роки тому +6

    Wakwanza

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 роки тому +4

    Ata km nmechelewa jamn 😭 naombeni japo like bc 🤲

  • @godrivermussa9158
    @godrivermussa9158 2 роки тому +7

    Wa kwanza Leo😀😀

  • @abuujuma9248
    @abuujuma9248 2 роки тому +6

    Mapema Sana Leo

  • @Yeezyzaedy9628
    @Yeezyzaedy9628 2 роки тому +1

    Kazi nzuri penda sana hii binadamu

  • @omarykarim2543
    @omarykarim2543 2 роки тому +2

    Hiv inaendelea lin mana nimeikimbiza had nimeifikia bana hii ni 🔥🔥🔥🔥

  • @mohammedndewa389
    @mohammedndewa389 2 роки тому +6

    Waooooh Bado yamoto like twende sawa

  • @waridyswaleh8843
    @waridyswaleh8843 2 роки тому +12

    Niskie mtu wayuasema wakwanza😁😁😁

  • @adamyasin4089
    @adamyasin4089 2 роки тому +4

    Afande kila ameshindwa kucheza uharisia sababu huwezi kuwa askari ukampokea mtu usiyemjua tu ukaanza kuishi naye na ukala anachokuwa na unajua kabisa we ni askari

  • @modsbalida0028
    @modsbalida0028 2 роки тому +5

    Movie nzur tatzo mwaichelewesha sanaaaa

  • @mwanajumabadi6493
    @mwanajumabadi6493 2 роки тому +4

    Hongerini wa shiriki wa thamthilia hii wote

  • @honorathamuzuli5734
    @honorathamuzuli5734 2 роки тому +3

    One

  • @abdoulyhero5442
    @abdoulyhero5442 2 роки тому +3

    mnachelewa mnatutoa ktk mood wallah

  • @halima7255
    @halima7255 2 роки тому +4

    Asantni wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️💯💯

  • @halimanj8544
    @halimanj8544 2 роки тому +8

    Waaah yaani mambo ni fire 🔥🔥🔥 kila siku jamani mwendelezo episode 49

  • @getrudakahima3549
    @getrudakahima3549 2 роки тому +5

    Wa kwanza😍

  • @djkayumba
    @djkayumba 2 роки тому +7

    Kiukweli hii move ni kibako sana🔥🔥🔥🔥

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany5902 2 роки тому +4

    Wa kwanza kutazama nipeni likes zangu😍😍

  • @ChumaTheGreat
    @ChumaTheGreat 2 роки тому +8

    Wakwanza 🔥🔥

  • @ramadhanabasi6369
    @ramadhanabasi6369 2 роки тому +7

    Nilikuwa naisubil kwa hamu

  • @japhethkiria9808
    @japhethkiria9808 2 роки тому +7

    Waleteeee 🔥🔥🔥🔥✔️✔️

  • @kyagaribabamwongera5271
    @kyagaribabamwongera5271 2 роки тому +4

    Wakwanza like yake mm

  • @ramadhanishabani1738
    @ramadhanishabani1738 2 роки тому +6

    afande kila kadandia mtumbwi wa vibwengo

  • @amiringoma5880
    @amiringoma5880 2 роки тому +1

    Natumaini Mungu atwapigania Maria na sobo watampata mtoto wao

  • @chadorykamanda3965
    @chadorykamanda3965 2 роки тому

    Unyama

  • @nssrakindoji305
    @nssrakindoji305 2 роки тому +1

    Na mm nimeiwah leo

  • @saumusaumu5158
    @saumusaumu5158 2 роки тому +4

    Jamani ukiangalia hutamaniishee🥰🥰
    Congratulations 👏

  • @evelynbarton6219
    @evelynbarton6219 2 роки тому +5

    Sobo na Maria wananiinspire sana

  • @backleydanstan3409
    @backleydanstan3409 2 роки тому +1

    kazi nzuri kitale respect sana bro

  • @marwagabrielmwita4947
    @marwagabrielmwita4947 2 роки тому +10

    Good job ...I have been waiting for it ....kuwa faster kidogo please 🙏.... Hongera sana

  • @wizmantiger8110
    @wizmantiger8110 2 роки тому +33

    HII BINADAMU NI SEASON YA KIPEKEE KUTOKEA BONGO KAMA ULAYA VILE NKIITAZAMA🥰😍

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 2 роки тому +1

      Kuna hii na maneno ya kuambiwa wee ni balaa pia maneno ya kuambiwa ni ya kitale

    • @jacksonmkude9301
      @jacksonmkude9301 Рік тому +1

      Hii inaitwa bongo ya ulaya 😅😅😅

  • @mamaaron3019
    @mamaaron3019 2 роки тому +4

    Kaka unaandika saaana

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 2 роки тому +4

    top 50

  • @ramiaally9898
    @ramiaally9898 2 роки тому +4

    Moja leo

  • @خسنموس
    @خسنموس 2 роки тому +15

    Hongereni Kiukwel mnafanya kaz nzur kitale na team yako kwa rusha hii series pendwa weeknd, cant wait for next episode maana imefika sehem nzuri

  • @hafsahanif38
    @hafsahanif38 Рік тому

    🔥🔥🔥

  • @babykisura1089
    @babykisura1089 2 роки тому +8

    nilikuwa naisaka hatar ila mbona mmetubadirishia ratiba jmn atujazoea kuona jm mosi tena mchana hvi? team arabic tujuane hapa

  • @mizakombo4791
    @mizakombo4791 2 роки тому

    Mama sobo luga zimekua nyingi hatukufahamu

  • @ashahassanhiribae1527
    @ashahassanhiribae1527 2 роки тому +18

    jini maimuna 😂😂😂i love this series

  • @pengotv498
    @pengotv498 2 роки тому +5

    Wakwanzaaaa

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 2 роки тому +7

    Nyauu kaachwa na mimba yke😂😂😂

  • @abdallahzakariashehe6115
    @abdallahzakariashehe6115 2 роки тому +5

    Tujuane kwa like tunaoisubiri binadamu kama mshahara 🤪

  • @twahirally3181
    @twahirally3181 2 роки тому +1

    Huyo mama sobo anajua sana ila kilugha kingii inaboa hatuelewi

  • @athumanfupha4504
    @athumanfupha4504 2 роки тому +10

    series noma buta inatoka polepole
    tunaitegea sana Kitale, maali imefkia itabid itoke two episodes a week

    • @sharothegreat7908
      @sharothegreat7908 2 роки тому +1

      Ndio tatizo lao hawawezi kutusikiliza mashabiki wanaitoa pole pole sana hii move na sijui kwann alafu kila tukilalamika na hata hawatujibu lolote sijui ndio wanatuona kama punguani sijui

  • @inkayikirundi6356
    @inkayikirundi6356 2 роки тому

    Nakukubali muno mogera mi niyule msichana tulikutana bandalini

  • @allykaizar1011
    @allykaizar1011 2 роки тому +2

    Wa 7 leo nipeni like zang

  • @razaqdady5192
    @razaqdady5192 2 роки тому +1

    leo nimewafikia! Kazi nzuri mno...

  • @mwakaribukhamisi7036
    @mwakaribukhamisi7036 2 роки тому +6

    Nakosa raha kabisa, kila mara naangalia notification lakin dah finally ❤❤

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 Рік тому

    Big up Binadamu wabaya

  • @danielkihoza7330
    @danielkihoza7330 2 роки тому

    Kwakwel mnawezaaaaaa mko pw Sana

  • @margaretmay5840
    @margaretmay5840 2 роки тому +1

    Tamu sanaa

  • @saadihadi1098
    @saadihadi1098 2 роки тому

    Askari mzima mwenye uweledi wa kazi aliwezaje muamin mtu kwa haraka iv bila kujua mazingira yake harisi ya maisha yake

    • @simoninzowah7817
      @simoninzowah7817 2 роки тому

      ...si unajua tena wavaa sketi hawa au umemsahau Samsoni na delila...

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 2 роки тому +4

    Dah kwer Dunia sio mbaya ila binadam wabaya😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😰

  • @merryjeremiah7533
    @merryjeremiah7533 2 роки тому +1

    Kitale Mungu akubariki kwakazi zuri 🙏🙏🙏🤲🤲

  • @heneryofficial638
    @heneryofficial638 2 роки тому

    Binadam wabaya kweri

  • @natashadoreen6140
    @natashadoreen6140 2 роки тому

    Freshii nlikua nmengoja sana