Wakaazi wa Turkana wakashifu kubomolewa kwa shule iliyojengwa na Erick Omondi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Wakaazi wa Turkana wamejitokeza kukemea hatua ya waziri wa elimu katika kaunti Turkana,kuruhusu ubomozi wa darasa la watoto wa chekechea kwa madai kuwa mhisani hakufuata taratibu.Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel wasomi wa Turkana wanasema tabia hiyo ikiendelea, itawafanya wahisani kuacha kuwasaidia wakazi wa turkana

КОМЕНТАРІ • 213

  • @mbuzimeo
    @mbuzimeo 11 днів тому +54

    Enyewe kenya kuna mawazimu

  • @joashkiprop2302
    @joashkiprop2302 10 днів тому +33

    That minister should be greeted

  • @feimohach
    @feimohach 11 днів тому +44

    There are no insecure people in the world like politicians and the upper class

  • @lydialoposh4265
    @lydialoposh4265 11 днів тому +28

    Very sad😢... Thanks you Erick we are proud of you but very shameful for our egocentric leaders.

  • @KarabatakMustapha
    @KarabatakMustapha 11 днів тому +10

    Hiiiii sio pow wallah yn mpaka watoto wadogo mnataka waandamane ndo mskie

  • @wycliffeongeri6988
    @wycliffeongeri6988 11 днів тому +15

    We are far behind as a people. I sympathize with our brothers and sisters in the Turkana school.

  • @kenbunkelvin8665
    @kenbunkelvin8665 12 днів тому +23

    You can see how the devil works through evil men. Not wanting others to have better lives but rather languish in poverty,lack, and ignorance. These ills keep people backward and denies a fair shot at life. God give us wisdom to elect people who have a heart for your people whom you deeply love. Remove the crown of authority from evil people

    • @gideonmandela123
      @gideonmandela123 11 годин тому

      Absolutely true,this is a spiritual warfare as well,and that is why as the body of Christ we should have people in some of these positions to secure the interests of God's kingdom like what Erick was doing.

  • @nasrimwangangi313
    @nasrimwangangi313 12 днів тому +25

    These leaders are a reducule but as the saying goes "maskini hapendi kusaidiwa na akisaidiwa kaona kadhauliwa😂

    • @paulinepolly1750
      @paulinepolly1750 12 днів тому +2

      Very mean people and greedy 😞😤😞 hata nguo aede achome nonsense

    • @paulinepolly1750
      @paulinepolly1750 12 днів тому

      Very stupid people leadership

  • @kriskizsolutions4262
    @kriskizsolutions4262 11 днів тому +10

    Ile utoto iko iko hii kenya. Hawa viongozi wanafaa wakitoka kwa offisi waingie kamiti life sentence. Najua serikali ijayo itawashughulikia vilivyo... 😮😮😮😮😮

  • @cheruiyotsammy-sd6gh
    @cheruiyotsammy-sd6gh 10 днів тому +8

    Both governments,,ii ni haibuu sanaaaa,,so watoto waendelee kukaa jini ya miti na wenu wako international school,,kumbavu sanaa

  • @alishkabwoy4535
    @alishkabwoy4535 12 днів тому +4

    Poor governers one day he/she will regret for that....Mungu akupe mtihani mgumu duniani na akhera hu eva did this to young souls

  • @benondieki9922
    @benondieki9922 12 днів тому +18

    Which process. Ruto must go

    • @collinskiprono7543
      @collinskiprono7543 11 днів тому

      Idiot kila kitu ni Ruto
      Even something to do with county government

  • @Doreen-p4o
    @Doreen-p4o 8 днів тому +5

    Asalimiwe walai!! Tafuteni number mlete

  • @Andykibe254
    @Andykibe254 12 днів тому +13

    Ndio maana watazidi kua nyuma

  • @johnwaithira7085
    @johnwaithira7085 5 днів тому +1

    Ombi langu kwa Eric ni Mungu akuzindishie, nawe mwovu shetani uliotoka na fkra la kubomoa milele usipate amani

  • @vintasmoullz
    @vintasmoullz 10 днів тому +2

    Huyo minister na ujue watoto wake wanasoma shule nzuri

  • @micaangote2138
    @micaangote2138 11 днів тому +7

    Should have used the opportunity to improve other schools,...some do not have adequate sanitary facilities 😢

    • @h-thegreat
      @h-thegreat 9 днів тому

      What do they use when learning under a tree

  • @magicmind6458
    @magicmind6458 12 днів тому +15

    Kujeni muone pepo za watu zimelaaniwa! Zinabomoa class na wamekalisha matako kwa ofisi hiyo miaka yote bila kufikiria watoto. Shetani ni watu.

  • @onthelatestnews
    @onthelatestnews 9 днів тому +2

    So they can see when the processes are not followed but can't see that there is need for building classes? Who will ever rescue us as a nation😢

  • @alasiri2275
    @alasiri2275 10 днів тому +2

    And they're still praising this regim how they've helped communities
    So sad indeed, poverty is schemed to oppresse the needy 😢😢

  • @antonymwangi4986
    @antonymwangi4986 12 днів тому +3

    This is very sad. This does not seem like the Kenya I know

  • @gilbertbada8385
    @gilbertbada8385 10 днів тому +2

    Taratibu ni uwape pesa
    Matumbo yazidi kuwa makubwa😊

  • @phoebetaylor7911
    @phoebetaylor7911 5 днів тому +1

    Majaabu ya Musa .

  • @georgendiga
    @georgendiga 5 днів тому +2

    Hawataki maskini aishe ndio wawatumie, kupiga siasa.

  • @jungleonlinetv5020
    @jungleonlinetv5020 12 днів тому +5

    What the hell is this?? 😢 Waziri wa elimu turkana., are you really a human??? So raha yako ni kuona jamii ikiteseka.. A day is coming and all this Shll come to an end... IT IS REALLY PAINFUL AND HEARTBREAK 💔

  • @rugurudarius
    @rugurudarius 12 днів тому +5

    😂😂😂after kujengwa hvi waka fika
    sasa eric amesaidia venye anaweza badala waongezee wanabomoa 😂😂
    serekari hii niya majabu

  • @jackymonga6971
    @jackymonga6971 8 днів тому +1

    The world is watching ,God is watching also and will avenge

  • @isaacmwichande253
    @isaacmwichande253 10 днів тому +3

    Some people act like kuna binadamu hawafai vitu vizuri... Huu ni ujinga officials my foot

  • @samsonotieno1730
    @samsonotieno1730 10 днів тому +1

    Ruto must go with everything

  • @owenmurimi578
    @owenmurimi578 11 днів тому +2

    2027 we should vote wisely

  • @RudiaKanana
    @RudiaKanana 11 днів тому +3

    Na serikali iko busy kuiba pesa maumbwa tu

  • @hillaryngeno310
    @hillaryngeno310 5 днів тому +1

    Kaxi nxuri Erik

  • @maxwellsanga3662
    @maxwellsanga3662 10 днів тому +12

    For them eric had to pass through the governor, for him to take credit of the project, the same scenario with mombasa governor when the msa cement was assisting in decorations of the City 😢

  • @alibilashaka3003
    @alibilashaka3003 12 днів тому +4

    Hii Ni serekali Gani jamani

  • @serembenjamin8542
    @serembenjamin8542 8 годин тому

    That CEC should be arrested

  • @mwalimugaraciajuniour8602
    @mwalimugaraciajuniour8602 11 днів тому +1

    They will remain in the stone age period

  • @brianwambura1790
    @brianwambura1790 11 днів тому +1

    This Kenya,,, so sad😢

  • @irinemosati5557
    @irinemosati5557 12 днів тому +2

    Kweli kusaidi hapa ni shida sababu viongosi hawafikirii.Watu wa kijiji wapange wajenge kwao..

  • @dennisollasa6348
    @dennisollasa6348 11 днів тому

    😂😂😂kukaa nini😂😂😂Mzee made my day

  • @shirowdestiny2019
    @shirowdestiny2019 4 дні тому

    Hadi huku mnambomoa ...so sad...😢😢😢

  • @emmanuelnjuguna2444
    @emmanuelnjuguna2444 11 днів тому

    this is a county that has a govenor...

  • @graceamadi1096
    @graceamadi1096 10 днів тому +1

    SHAME on the area mp, you should have built them a proper school and let that structure be used for something else. Upto now for all these yrs kids in some areas have no schools and the president is busy bribing members of the parliament instead of using that money for development. 2027 itawatimua

  • @malickwetiko-1465
    @malickwetiko-1465 12 днів тому +3

    Kuma mamako governor wa turkana

  • @Kaylyn-z6y
    @Kaylyn-z6y 11 днів тому +2

    Huyo waziri ni Nani tumisalimiee

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 10 днів тому

    Yani na tuko na Selikari jameni 😢😢 ako wapi Governor na MPS

  • @okeyokennedy9313
    @okeyokennedy9313 8 днів тому

    In our country the political class think too much but feel so little! Sad times.

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 День тому

    True ni aibu..

  • @orianagaiko8971
    @orianagaiko8971 10 днів тому

    😢😢😢😢hao maumbwa ni akina nani

  • @mumbiwachira9397
    @mumbiwachira9397 12 днів тому +6

    Turkana don't you have sober leaders in Turkana why allow this kind of immpunity 😡😡

  • @Abdifatah-o2t
    @Abdifatah-o2t 3 години тому

    This is a strange thing.

  • @revealedwisdomministriesin536
    @revealedwisdomministriesin536 12 днів тому +2

    Shame.....

  • @MohochisfamillySelfgrowth.
    @MohochisfamillySelfgrowth. 11 днів тому

    When letoo said hawazungumzi bungeni ila wana makelele mashinani
    Shame on their leaders

  • @Mikewa254
    @Mikewa254 12 днів тому +2

    SHAME ON THE COUNTY OFFICIALS INCLUDING THE GOVERNOR! ITS SAD THAT THIS IS STILL KENYA IN 2025 & KIDS CLASS IS AN OPEN FIELD. SHAME ON RUTO!!!!

  • @Yuca878
    @Yuca878 5 днів тому

    Ikichengwa mulikuwa ,ikipomolewa mulikuwa bado so mnapenda kukaa ivo endelea na ujinga wenu

  • @fredricklemiso6191
    @fredricklemiso6191 11 днів тому +1

    Kenya kumejaa mapepo za kuzimu, 😢😢Ati utaratibu WHT the fck???

  • @EdnaJelimo-rb3vt
    @EdnaJelimo-rb3vt 9 днів тому

    Mkundu wake huyo minister.....😢alikuwa anataka atajwe yeye shule.....kumamake huyo minister anafirwa.....apate hii habari

  • @richiemuraya3853
    @richiemuraya3853 12 днів тому +1

    Hapa kuna mtu hana ability na anafaa kufungwa

  • @BlessedfavouredmaggieofChrist
    @BlessedfavouredmaggieofChrist 11 днів тому +1

    Kiburi tu
    Shame

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 5 днів тому

    Mimi kama mkenya nataka president atoke turkana angalau turkana ikae kenya....aki ni makosa sana....Ni wivu,,juu viongozi wenyewe hawawezi saidia,,sasa mtu akija kutoka inje wanahaibika,,

  • @naftaryirungu9665
    @naftaryirungu9665 12 днів тому +1

    Who ever did this demolishing is heartless

  • @johnmwendwa113
    @johnmwendwa113 12 днів тому +1

    It's shame ...shame beyond humanity....

  • @Brimot
    @Brimot 4 дні тому

    Shame on them county government

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 5 днів тому

    Hii ni matako kabisa 😢

  • @jul8333
    @jul8333 10 днів тому

    Soo sad,hawana aibu

  • @Muresh2433
    @Muresh2433 День тому

    And the governor is still having that minister in office

  • @isaacjoshua6884
    @isaacjoshua6884 5 днів тому

    Pigene huyo minister risasi ya kichwa

  • @patrickagunda2100
    @patrickagunda2100 10 днів тому

    The education boss in Turkana should be sacked with immediate effect, politicians are busy insulting Rigg G instead of dealing with the issue

  • @Nathan-h1f9t
    @Nathan-h1f9t 5 днів тому

    Sababu tu ni vile serikali ilihaibika,

  • @SamweliChacha-l4y
    @SamweliChacha-l4y 12 днів тому +1

    They tried to get rid of Omondo's legacy

  • @Bst254
    @Bst254 11 днів тому +1

    Utaratibu ni kuwaletea hiyo michango ofisini mkule alafu mpeleke mabati tatu na kusema hiyo ndio ilininulika eeh?

  • @iamjoseph795
    @iamjoseph795 11 днів тому +1

    Si wafuate utalatibu basi wajengee wanainchi shule!! Hawa viongozi ndoo wanarudisha inchi nyuma

  • @edwingidy3390
    @edwingidy3390 11 днів тому

    Very mean😢

  • @lawrencekirinya5074
    @lawrencekirinya5074 12 днів тому +2

    Poor leadership from whoever did such to young children,

  • @koinijosepholemomboshi7121
    @koinijosepholemomboshi7121 10 днів тому

    Shame on the officers who demolished the building

  • @donaldouma7225
    @donaldouma7225 11 днів тому +2

    Wanabomoa wakati watoto wao wanasoma Nairobi nonsense

  • @BrianGitonga-tm1wy
    @BrianGitonga-tm1wy 12 днів тому +1

    Something is very wrong in kenya

  • @Mwarabukoko-s4t
    @Mwarabukoko-s4t 10 днів тому

    Shame on you governor

  • @lastborn2364
    @lastborn2364 11 днів тому +1

    MTURKANA ATA MWENYE AMESOMA SJUI WANAKUAGA AJE THOUGH SIO WOTE,BUUT HATA MWENYE AKO NA PHD KUNA REASONINGS WANAKUAGA NAYO YA BELOW ZERO FACULTY,,,SJUI NI KUZALIWA IVO AMA MI NLIJARIBU KUWAELEWA BUT NOO ,,NOTICE I SAID SIO WOTE BT 75% ai apana

  • @lucynduta6440
    @lucynduta6440 10 днів тому

    Akili akuna Kenya

  • @rosekaimuri6284
    @rosekaimuri6284 11 днів тому +1

    Hata uniform na viatu watachukua?😢

  • @davidkea5701
    @davidkea5701 5 днів тому

    😢😢😢😢😢😮 SINA NGUVU YA KU REPLY

  • @lucynduta6440
    @lucynduta6440 10 днів тому

    shame on them hii Kenya ata huwezielewa weee

  • @SamweliChacha-l4y
    @SamweliChacha-l4y 12 днів тому +1

    KK govt

    • @owenmurimi578
      @owenmurimi578 11 днів тому

      Them using patriotic names for political parties, just for them to warm themselves in the cries of Kenyans, I don't think I can ever vote ju bado wataiba as they always do

  • @maishjunior4651
    @maishjunior4651 9 днів тому

    Kenya needs leaders who mean good to common citizens, from president to MCA need to go home except those who are performing

  • @LillianeBwire
    @LillianeBwire 9 днів тому

    Sack that officer, bure kBisa.
    Hata Nakitongo hakuna masomo ng'oo shame on you Turkana people

  • @mathewmatheka7131
    @mathewmatheka7131 11 днів тому

    Si mungewatandika😂😂😂

  • @irenekiilu954
    @irenekiilu954 9 днів тому

    Enyewe kuna watu hawawezi saidika

  • @mauriceomollo9467
    @mauriceomollo9467 11 днів тому

    Hiyo county ya Turkana na minister wako na uji btw their brains

  • @MUSENANGU001
    @MUSENANGU001 9 днів тому

    Hawa kama mimi niraisi wangekua ndani wote

  • @entertainmenttoday420
    @entertainmenttoday420 10 днів тому

    I dont understand why the turkana residents dont match into the governors office n demand his resignation ...what kind of madness are they entertaining there

  • @davidkiio8988
    @davidkiio8988 12 днів тому

    very sad

  • @andersonmberi7672
    @andersonmberi7672 6 днів тому

    Mngeenda mchome nyumba ya hao watu

  • @paulinepolly1750
    @paulinepolly1750 12 днів тому

    These leaders are doom of evil

  • @jotonyae-04
    @jotonyae-04 12 днів тому +4

    Serikali ya Kenya ni bure kabisa 😂

  • @Bru-q3r
    @Bru-q3r 11 днів тому

    Lazima ibomolewe because Eric did not invite Ruto to launch.

  • @georgemungai572
    @georgemungai572 10 днів тому

    Aiibu kubwa to the leadership of the county. Hawana aibu ata kidogo. What nonsense is this surely NKT

  • @Irangatwarose
    @Irangatwarose 12 днів тому +1

    Sasa hawataki watoto wasome poor leadership in their area

  • @robisammeytv7547
    @robisammeytv7547 11 днів тому

    This is Kenya

  • @alicenalulwe84
    @alicenalulwe84 9 днів тому

    Afutwe kazi huyo mtu

  • @lornakukii9419
    @lornakukii9419 9 днів тому

    Government till wen