Nilimfumania mke wangu na mwanaume mwingine nyumbani kwangu, walikuja kufariki kwa kufuatana | Kovu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • Maisha yana changamoto nyingi. Kuyaishi yakupaswa kuwa mstahilivu. Amri amekutana na mikasa mingi ya kuumiza. Amebaki na #Kovu ambalo haliwezi kufutika. Tunakualika kufuatilia mkasa huu

КОМЕНТАРІ • 316

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +9

    Huwa napenda vpindi kama hivi, asante sky , pole kaka kwa uliyopitia mitihani tumeumbiwa binadamu mungu ni mwema umenyanyuka tena ❤🇨🇭🇹🇿

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 4 роки тому +10

    Kwa Mungu yote yawezekana👏👏👏🔥🔥🔥❤️🌞🙏🇰🇪.

  • @eunicerobi5701
    @eunicerobi5701 3 роки тому +2

    I remember listening to those stories “sitosahau” on Radio Free Africa.I never wanted to miss any episode. I am so glad I have lived to see who was in charge of it all. Keep on 🏆 , keep climbing 🧗.

  • @xbdbdgdgsbdbbxx4254
    @xbdbdgdgsbdbbxx4254 3 роки тому +1

    Hii ndio kipindi babu kubwa. Big up Bro SKY na team nzima ya SnS🙏🏾🙌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 4 роки тому +1

    Kusema kweli ukiangalia mda kabla unaonekana mrefu lakini ukianza kutazama unaona mda unaenda kasi.
    big up guys.......wale wakenya vidole juuuuuuuuu

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 4 роки тому +3

    Stori nzuri and I learned something, your aggressiveness in life is dope. ila kumloga your sibling 4 material stuff is beneath you 😎..😳😳jamani SnS weka hapa bottle of water mezani. Guests watapaliwa siku ya siku,.. 😆😂😂😂

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 4 роки тому +16

    Naam! Hii sasa Skywalker, utapata wafuatiliaji wengi sana, greetings from Ontario

  • @damari_Auntrasta
    @damari_Auntrasta 3 роки тому +1

    Story nzuri Bro pole sana na matatizo, wana SNS - imagine HEADING Ingekuwa Nilimfumania mke wangu Nyumbani kwangu,nikamloga akawa chizi..

  • @jikeycleverboy4433
    @jikeycleverboy4433 4 роки тому +2

    Nakukubali sana brother

  • @ernestbiseko1608
    @ernestbiseko1608 3 роки тому

    Huu Ni mpango mzuri Sana. Tumekuwa wote tangu SITASAHAU. unazijuwa kazi yako. HONGERA SANA BROTHER

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 4 роки тому +1

    mwanalushoto mwenzetu huyu like nyingi kwake

  • @ناصرالشقري
    @ناصرالشقري 4 роки тому +1

    Kaka hongera sana na kipndi hii maaana makovu yapo mengi sana na kila mtu anahistoy ya kipekee

  • @geturdablatch9706
    @geturdablatch9706 4 роки тому +1

    This is wonderful hii story inahuzunisha na kufundisha sana pongezi sana kutoka 🇺🇸

  • @saidimkopi
    @saidimkopi 4 роки тому +2

    Duh kweli nimeamini maisha ni safari na kila msafiri anajua alipokanyaga/kukanyagwa, kibaya na kizuri hata ufanye vipi #kovu/kumbukumbu lazima zitasafiri na wewe mpaka mwiaho, na ili uwe umeishi/umesafir safari ya maisha mpaka upitie/upande
    milima na mabonde.
    #Pole na hongera kwa uliopitia kaka.

  • @lindaabraham5365
    @lindaabraham5365 4 роки тому +1

    Hongera sana umejitahidi kujikwamua na maisha ila jitahidi kumtafutia tiba kaka yako. Mali umezipata tena ulikosea sana.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 роки тому +1

    Mtangazaji safi sana,lakini weka na kikaribisho cha maji hivi kwa sababu ni kipindi chako ni kirefu.

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 4 роки тому +8

    Safi hata mimi ni mdau sna wa hizi story aiseee hongereni sns kwa kuturudishia hii rahaaa tutawasapoti mpaka kufa we love you

  • @SHIKUKINYA
    @SHIKUKINYA 4 роки тому +2

    Wow from Kenya I love that may God continue to bless you always 🙏❤️

  • @alfredyfredrick8955
    @alfredyfredrick8955 4 роки тому +1

    Wooooow Ahsante Kaka sky kiukweli kipindi cha sitosahau kilikua kizuri sana story za wale vijana walio zamia South Africa, na simulizi zingine za vijana ambao tunakumbuka ilikua very hot RFA(Radio free Africa) ilikua Hatari sana enzi hizo

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 4 роки тому +4

    Wonderful shōw! Dah kijana kapitia mengi maskini, still very positive Watching from Oman.

  • @debbiethomas5328
    @debbiethomas5328 4 роки тому

    Yeeeeeeh🙌🙌🙌🙌Duh🤔🤔Kumbe was you....!!!!!! BRAVO Br./Wana SnS... Good PRODUCT..

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому

    Nawakubali wagosi aisee from Iraq

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому

    Hongera shemela vile nawapenda

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 4 роки тому +1

    Kizuri sana🙏👏👏

  • @kalungikingalu9694
    @kalungikingalu9694 4 роки тому

    Du!! Pole sana na hongera sana

  • @zakayojoseph1339
    @zakayojoseph1339 4 роки тому +2

    Safi Sana brother sky since when I was young

  • @lightnessmungaya3280
    @lightnessmungaya3280 4 роки тому +7

    Duuuh kumfanya mtu awe chizi ,hapa nako syo , Ila mtu akikufanyia Jambo lazima uwaze Jambo hilii , Ila mungu endelea kunipooza moyo wangu bado unavitu vingi 💉💉ninauchungu sanaaaaaa

  • @najatramadhani6300
    @najatramadhani6300 9 місяців тому

    Mungu azidi kukufungulia kila hatua dua

  • @stellahmushi843
    @stellahmushi843 4 роки тому

    Big up Kaka nakujua unavyopambana Mungu atazidi kuinua

  • @Hfarahani52
    @Hfarahani52 2 роки тому

    Amoor umepambana well done

  • @zakayomrangu3405
    @zakayomrangu3405 4 роки тому +15

    NAITWA ZAKAYO HUYU JAMAA NAMFAHAMU KITAMBO SANA,KIPINDI NIPO BUNGONI KULINGANA NIMUDA MREFU, NILISUBIRI ASEME KAMA ALISHAWAHI FUNGUA KIJIWE BUNGONI STENDI CHA KUUZA PIPI SIGARA N.K,JAMAA ALIKUWA MCHESHI NA MCHANGAMFU SANA NIMEMKUMBUKA SANA.

    • @tynahstanley2766
      @tynahstanley2766 4 роки тому

      Jamani nikweli unayosema alikuwa na kijiwe bungoni mpaka usiku pipi na sigara

  • @rosemofuga6313
    @rosemofuga6313 4 роки тому

    Bonge la show brother Fred hongera na KOVU

  • @msafirikalinga6938
    @msafirikalinga6938 4 роки тому

    Daaah naikumbuka sana sito sahau ya RFA, , asante sana kutuletea Kovu

    • @subiraharuna1737
      @subiraharuna1737 4 роки тому

      Mariam.alimpataje.kwakipindi.kirefu.ivo.ukweli.umetupa.moyo.mungu.akubariki

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 4 роки тому +8

    You're my favorite fredric bundala nakuelewa sana bro

  • @YusoufMjr
    @YusoufMjr 4 роки тому +1

    Naipenda san sns na nna shaur kitu kwenye jina la kipindi! Nashaur ungeangalia jina linalosisimua ili mtu akiskia atake tension na awe na feeling flan iv mfano "sito sahau" "njia panda" ushaur tu kama mwanafamilia
    Tupo pamoja na mungu akutangulie #foreversns

    • @sallyommy2662
      @sallyommy2662 4 роки тому

      Sitosahau alikua anatumia kpnd yupo radio free njia panda pia kuna radio wanaitumia but kovu pia sio mbaya

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Рік тому

    Polesana mtanga mwenzangu kwamajanga nakunakitunimejifunza kusamehe ni jambokubwa n'a kwamungu kunamalipo makubwa

  • @nasserhinai3019
    @nasserhinai3019 4 роки тому +4

    Mimi ni mshabiki wako sana bro kipindi kizuri sana tena sana. Na the business Allah akubariki sana. Ukusema lini tutapata Kovu nyingine. Kutoka Muscat Oman

  • @elibaricksadock9562
    @elibaricksadock9562 4 роки тому +7

    Yaaap tulikua tunakuelewa sanaa kaka na mpaka hapa bado tunakuelewa toka kule kwenye zile story za Gambushi kk

  • @sein.208
    @sein.208 4 роки тому +1

    SUBHANA ALLAH😭
    WANAWAKE TUACHE TAMAA JAMANI . ALLAH ATUONGOZE VYEMA🤲🏻

  • @perpetuamhanje8006
    @perpetuamhanje8006 4 роки тому

    Nakupendaga sana fredrick bundala

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 4 роки тому +16

    Sky wape hata kikombe cha maji hapo maana simulizi refu mpk koo linakauka

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 4 роки тому +10

    #Diamond Platnumz muajiri brother huyu SkyWalker aisee kuanzia mida ya saa mbili pale wasafi hakuna kipindi muda huo.....Itakuwa poa sana boss.

    • @ginnimoreno6239
      @ginnimoreno6239 4 роки тому +1

      Mtu anatengeza media yake unataka akaajiriwe tena

    • @tutiwatuti
      @tutiwatuti 4 роки тому +1

      Unachekesha badala amuuzie kipindi unasema amuajiri unajua hela anayoingiza hapo

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 4 роки тому

      @@tutiwatuti ww ndo msemaji wake???

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 4 роки тому

      @@ginnimoreno6239 ww ndo msemaji wake???

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 4 роки тому

      Pole sana kwa mtihani ya kidunia

  • @FainessiMateasi
    @FainessiMateasi 9 місяців тому

    Mtoto mdogo watoto 8 😁😁😁😁😁😁hongera brooo

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 2 роки тому

    Binadamu Bwana, Yani unamroga nduguyo na unajisifia. Daaah. Wewe unaweza mtoa mwanao kafara kwa ajili ya Mali. Wewe si mtu mzuri.

  • @frankboniface1988
    @frankboniface1988 4 роки тому +5

    Kaka hii ni kubwa sana!! This is the sky walker i know!!

  • @sursur1569
    @sursur1569 4 роки тому

    Asalam.aleykum.pole.sana.kka.kwa.yalokufika.ila.usione.wanawake.wote.ndio.kama.hao.uliyopitiya.matatizo.ila.tu.kka.ulikosea.pamoja.kumfanya.mtu.chizi.bora.ungemuachia.mungu.allah.ndio.hakimu.wa.yote.una.jukumu.kubwa.kka.utakwenda.kuulizwa.unajuwa.kama.watto.mke.wake.wanateseka.apo.kama.kazini.mke.una.makosa.zidi.kumuomba.allah.kka.akusamehe.ok.shukran.kka.na.muandishi.wa.kipindi.tupo.mbali.ya.tz.ila.tunapata.yote.ya.nchi.kwetu

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 4 роки тому +2

    Ngugu akikudhurumu roho inauma sana. Waraah ngumu kupoa. Mimi mwenyewe mdogo wangu kanidhurumu kiwanja changu. Waraah kila nikikumbuka moyo wangu unawaka moyo sana. Na nikikumbuka nilikotokea nilikopita mpaka nikapata waraaah inauma. Usiposema na moyo wako waweza muendea huko ujiji

    • @fatmamajdiddy415
      @fatmamajdiddy415 4 роки тому

      Pole my pia usiamini sanaa watu kwenye pesa au vitu wanakosa uaminifu kabisa...

  • @samsonezekiel9232
    @samsonezekiel9232 4 роки тому

    Nakukubali sana sheikh

  • @upendomtambo5103
    @upendomtambo5103 3 роки тому

    Mdudu longtime kakaaa ......baba mamuu

  • @selinalukwembe7363
    @selinalukwembe7363 4 роки тому

    Safi sn na mm nayangu sito sahau

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 4 роки тому +1

    Alhamudullah kwa kila jambo

  • @patrickmulonda9710
    @patrickmulonda9710 3 роки тому

    Polesana

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 3 роки тому

    Mr Frederick Keep On GoodWork..💜🙌

  • @hellendiana625
    @hellendiana625 4 роки тому

    Waaau!!! What a hardworking guy! ,keep it up.

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 4 роки тому

    Big up kwako brother Fredrick bundala bonge la kipindi

  • @muhammehusna3384
    @muhammehusna3384 4 роки тому

    JaAman khairat njoo Kwa Baba ako ukimaliza Masomo alau kumsalimia t

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 4 роки тому

    Kaka uko vizuri ila pamoja na mabaya alokufanyia naumia ulivomfanya chizi tafta namna ya kumrudisha kwa Mungu hakuna linaloshindikana

  • @backyardboy2020
    @backyardboy2020 4 роки тому +9

    To be honest we need Jesus.very shocking story watching from Canada

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 4 роки тому

      98uwiiii kitambo

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 роки тому

      Jesus couldn't save his own self akapigwa hadi kafa ndio atasev other people?

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 роки тому +11

    Ningekuwa na fedha kaziyangu ingekuwa ku promote hizi mikasa zaukweli kuanzisha kukundi cha movie nakuanza kucheza movies kuusu hizi mikasa zaukweli nahisi ningekuwa napiga mkwanja mrefu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 роки тому

    Gonga like Kama umefurahi kumfaham mr Sky wa radio free Afrika ktk kipindi cha sitosahau huyu jamaa alinifanya nikariri simulizi zote kila Jumapili

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 роки тому +1

    Nashauri jambo moja muwe mnaweka HATA vinywaji au Maji Maana MPK wanakauka makoo.

  • @liliansospeter1277
    @liliansospeter1277 4 роки тому +1

    Mimi nimekuwa wakwanza kukoment

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 4 роки тому +4

    Ila jamaa ana ndere, kila hatua anapata mwanamke tena mwenye umri wa kumzidi

  • @amrimagambo7902
    @amrimagambo7902 3 роки тому

    36:32 wajina baada ya week mbili watu wakaanza kuanguka km migomba aaaah we noma🤣🤣🤣

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 4 роки тому +2

    Hongera sana bro tupo pamoja endelea kutufurahisha kipindi ni 🔥🔥🔥

  • @dggxxxxfgff3876
    @dggxxxxfgff3876 4 роки тому

    Kutoka burundi🇧🇮nafatilia sana habari zako kupita kiasi

  • @jubajoseph8808
    @jubajoseph8808 4 роки тому +3

    ❤️❤️ from Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @hildaafia8315
    @hildaafia8315 3 роки тому

    Frm nimependa... ww ni mchapa kazi endelea hivyo hivyo

  • @sofiasofia7557
    @sofiasofia7557 3 роки тому

    Atakutafuta tu mwanao in shaa Allah

  • @SaliminMbaluku
    @SaliminMbaluku 4 дні тому

    We mzinguaji

  • @nyendochamwela3031
    @nyendochamwela3031 4 роки тому

    Hakika Mungu wetu anajua zaidi. Toka Kwa Zabron Hadi SnS. Be blessed.

  • @royalmbwana
    @royalmbwana 4 роки тому +2

    Mwana SnS Tawi La 🇰🇪
    Tupo Sambamba Na Kovu 💯

    • @asmaaomarimakoti9374
      @asmaaomarimakoti9374 4 роки тому

      Pole maumivu na changamoto ndio hufanya mtu aijue zaidi dunia na kumkuza kiakili na pia kujua aina za watu walio sahihi kwake

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 4 роки тому +2

    Hatujaelewa mtt maryam ulikutana nae vipi baada ya kupoteana kipindi kirefu yy na mama ake wakati ww uko gerezani

  • @suleimansalim7194
    @suleimansalim7194 3 роки тому

    A alaiykumm warahmatullah Kaka samahani Sana naomba msaada wako tafadhali na mm unitafute Kaka na mm Nina Kovu kubwa Sana Wallah,

  • @elizabethkamala9176
    @elizabethkamala9176 4 роки тому +1

    Daaaaah
    Maisha yanachangamoto

  • @chantalbarasokoroza6725
    @chantalbarasokoroza6725 4 роки тому +3

    Love from 🇺🇸

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +2

    Asante bro sky

  • @malikramadhani3136
    @malikramadhani3136 4 роки тому +2

    Stori inafundisha Sana.. Never give up

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому +1

    Pamoja 🤝🤝🇪🇭🇪🇭

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 роки тому

      Dada unafika ad uku hhahaaa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@aiyamhassan1321 eeee kipenzi🤣🤣🤣😋😋

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@aiyamhassan1321 umeshndaje😋😋😋

  • @queenwesthilson6009
    @queenwesthilson6009 4 роки тому

    Nicee kbs courage from burndii🙌🙏

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 4 роки тому +1

    Tupo pamoja Sky 🌌

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 4 роки тому

    Daah story tamu balaaa

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 роки тому +1

    Noma sn,Pole sana bro

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 4 роки тому

    Amri the Business ni balaa... ukishikamana nae ni aitha ufe au chizi.

  • @elizabethkamala9176
    @elizabethkamala9176 4 роки тому

    Bro sky
    Barikiwa unatuletea vitu vya kutujenga

  • @khalidjimmy5774
    @khalidjimmy5774 4 роки тому +1

    Bro Rama madilu ashafariki bwana jamaa kasaidia Sana watu tajiri wa makabichi na dalali wa makabichi

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 роки тому +10

    MIMI MWENYEWE NINA MAKOVU KAMA YOTE NATAMANI KUSHEA NA WATZ NA DUNIA KWA UJUMLA

  • @liboriusbabile1197
    @liboriusbabile1197 3 роки тому

    jamaaa nimegundua wewe siompambanaji maana kila unacho pambania wanawake ndo unategemea wakunyanyue nda ndamana unawatoto wengi na wote wana mamazao , yani umelelewa na wanawake maisha yako yote . ww sio mfano wakuigwa. mwanaume unatakiwa kupambana sio kulelewlelewa na wanawake. but tumshukuru mungu pia kwakua unaonekana mtulivu pia.

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Duh kitu na box uchizi safi sana

  • @stevenbigho1443
    @stevenbigho1443 4 роки тому

    Duu,huyu jamaa,Hakumroga mwanamke aliyemfumania,kamroga dada yake aliyemuuzia Mali zake😂😂😂😂

    • @frederickkimweri1899
      @frederickkimweri1899 4 роки тому

      Kamroga Kaka si dada yake,
      Umenichekesha kweli Mali vs Mke , umetisha Steven Bigho

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 4 роки тому

      Jaman hakukurupuka aliuliza mare 3 yan Bora mtenda ubaya angemtafuta wawili wakayamaliza pengine ngeendelea mfiliri but all in all ni hasira tu mwenyez mungu awasamehe na amtafutie tiba kaka ya Amin

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 4 роки тому

    Nimeipenda saaana diamond muajiri huyu kaka

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 4 роки тому

      Aujawaona utamu wa kujiajiri wewe aswa ukiwa unapiga hela achana na frikra za kuajiriwa jamaa Sasa ivi anapiga mpunga mawazo duni kwamba ili ufanikiwe lazima uende kwa flani

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 4 роки тому

    Baba Mariam umenichekesha Sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 роки тому

    Daah aisee watanzania wengi tuna pitia changamoto maishani

  • @dullydully550
    @dullydully550 4 роки тому +1

    Sky Kuna story moja ulituacha hewani sitosahau rfa... Yule jamaa jambazi wa kigoma

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 3 роки тому

    Machozi yako hayakudundoka bure mungu analipa kwa wakati na yapo kwa wengi

  • @lutfiarashid8770
    @lutfiarashid8770 4 роки тому +6

    Young father

  • @stella88244
    @stella88244 4 роки тому

    Mwambie mimi nampenda sana👌😀

  • @diahemedsalumdia6594
    @diahemedsalumdia6594 4 роки тому

    Safi Sana ayo ndio mambo

  • @halimahussein4752
    @halimahussein4752 4 роки тому +1

    Dahh maisha ni safari kweli nimeamini

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 4 роки тому +1

    Aiseeee story taam sana