TANCUT ALMASI LIVE -Kashasha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 13

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 Рік тому +4

    Kashasha Mama,Kashasha Mama,wewe ni wangu wa moyo,ua langu la moyo Mama,wewe ni wangu wa maisha Mama, Mama,mzazi mwenzangu Mama,nisikilize mwenzio naumia,tumetoka mbali mimi na wewe.Safi ni miaka takriban 30 naisikia hii nyimbo mara ya mwisho,Good memories leo 7 September 2023 naisikia tena.

  • @zamaziletanzania
    @zamaziletanzania  Рік тому +2

    Tulikuwa tunajitayarisha kushiriki Top Ten Show 1989- John Kitime

  • @giftgervas9705
    @giftgervas9705 Рік тому +1

    sawasawa

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn Рік тому +2

    Tafadhali bwana John naomba namba yako.unanikumbusha mbali sana.dr.mtambo

  • @fadhilimartin-o3h
    @fadhilimartin-o3h 10 місяців тому +1

    Shabani yohana wanted!!!

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 5 місяців тому

      Hayupo hapo.Anaepiga solo ni Kawelee Mtimwana nadhani alikua keshaenda Vijana jazz

  • @YahyaMbega
    @YahyaMbega 5 місяців тому

    ASANTE KAKA KITINE TAFUTA TOMATOMA, PANASONIKI,UDA, NYANYEMBE NA RANGI YA CHUNGWA