Haaah, i got arrested in TZ by Tanzania revenue authority officers, one police officer gave me a small radio to listen to, i remember a certain fm station in morogoro was playing this song, i could get up and dance forgetting all my predicaments, ohh life...
Pumzika kwa Amani Maestro king Kiki Siwezi Amini macho yangu wala masikio yangu Wakati nasema Mzee turekodi Album mpya na uweke kitambaa cheupe na Raisi Jakaya Mungu kumbe alikuwa nayake ,nikasema Mzee toka leo wewe ni Maestro nikasema Maestro Mbaraka Mwinshehe .Maestro Ndala.Maestro Remmy ongala,Maestro Mzee Ngurumo na Wewe nikasema Maestro King kiki Mzee Pumzika Pumzika kwa Amani pumzika London tumepata shock kubwa sana Maestro Maestro Rest in power.
Hatuja pona uchungu kumpoteza Papa Noel Nono Nendule Antoine,leo tena habari za taanzia kumpoteza mzee King Kiki.....kweli dunia mapito,pumzika pema gwiji,mziki wako na mistari yako tabakia daima
Utotoni nilikuwa nikiusikiliza mziki huu nikiwa kambi ya wakimbizi sikujua Nani kaimba baada ya kuona post wasafi tv ikabidi nije kucheki kumbe ndo alikuwa huyu aisee,Hakika Sisi ni waja wa Allah Na Sisi wote tutarejea kwake😭
Dah.! Warahi kifo hakina huluma dah.! Hii Ngoma nilikuwa naipenda ila video nilikuwa sijaiona na aloimba nilikuwa sijamjua ila baada ya kifo Cha Mzee ndo,nimeifatilia dah.! Warahi hii Ngoma nilikuwa naipenda mpaka basi hasa panaponivutia ni kile kigitaa Cha solo kilivyokwenda kumalizia mwisho dah.! Mpaka raha
Kings of original music. Watched him live at Oyster Bay, Dar es Salaam, in 2002 alongside guitar wizard the late Ndala Kasheba (Yellow Card). Quite a pair and it's a pity they never performed got to perform big time across the border in Nairobi.
To all people who love African music this for you guys i hope you will enjoy this song is one of the best song from Maestro king kiki. Mzee wa Heshima from the album called J.k.kikwete .many thanks to Maestro,kawele,Ramasax,claude,Makuta, kasongo mpinda, plus we cant forget him the late Maestro Ndala kasheba,
Niseme nini mimi kuhusu muziki huu wa dansi...sina la kusema ila tu ni kwamba zama hizi sidhani kama zitarudi tena.Kuwaona wanamuziki wako live na vyombo vyao wakivimiliki ipasavyo.Kuna wimbo wa King Kiki unaitwa Mtoto wa mjini nina sababu ya kuringa.Hakika Dar es salaam enzi hizo ilikuwa yachemka!
Ce Monsieur ``King KiKi`` il est un heritier Roi au Kasai mais il a choisit la musique a la place du fonction du Roi au Kasai!!! il est Roi dans le kasai!!!famille royale!!
TULIORUDI 2024 BAADA YA KUSIKIA KAFARIKI DUNIA TUJUANE BASI...
R.I.P mzee wetu mtaalamu wa muziki
Mimi
Tunao burudika 2024 tujuane
Sana hata njaa siepati
Aminia mziki ni huu sasa
Mmi hapa nipo
😭😭😭😭 huu mzee amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
MHSRIP
wale wahenga wenzangu tuliowahi kupanda bus za scandinavia miaka ile ya 2000-2005 tufahamiane. gonga like hapa
Yes Scandinavia from mombasa to dar niliwai panda 2003
From 1992 to 2023 this song is still at its best
Pumzika kwa Amani Mzee king Kiki tuliokuja baada kusikia taharifa ya kifo chake gonga like tuomboleze pamoja dunia ni mapito🥲
Mungu ampe maisha marefu mzee wetu king kiki mtaalam this is my favourite song all the time. Kitambaa cheupe huyu mzee lazima apewe heshima yake
Pametokea pengo lisilozibika,huyu ni gwiji wa magwiji.....pumzika pema mzee wetu,Mola aipokee roho yako
Pumzika kwa Amani Legendary. 2024
R.I.P BABU THANK YOU FOR THE GOOD SONGS YOU GIVEN US
Vizuri vinazidi kupotea jamani😢😢😢
mbonge la wimbo aisee.harusi yoyote bila huu wimbo hata km ni ya bilion haina maana
Wimbo wangu pendwaa siku zote❤
Rip mwanaume,umetangulia lakini umeacha alama kubwa hapa duniani katika indastry ya mziki !!!!😢😢
Nyimbo safi sana.. R. I. P. Mzee.
A true music legend😢😢❤❤
Pumzika kwa amani kipenzi cheque. Tutakukumbuka daima
Safi sana, pole sana *MZEE KING KIKI* Mungu akutie nguvu upone
Anywhere, everywhere this was the muziki!
Haaah, i got arrested in TZ by Tanzania revenue authority officers, one police officer gave me a small radio to listen to, i remember a certain fm station in morogoro was playing this song, i could get up and dance forgetting all my predicaments, ohh life...
Guy your from?
Punzika Kwa lmani mzee wa burudani safi . Tutakukumbuka Kwa wimbo wako mzur
Duniani sote niwapitaji, hakika nyimbo zako zitakumbukwa
Pumzika kwa Amani Maestro king Kiki Siwezi Amini macho yangu wala masikio yangu Wakati nasema Mzee turekodi Album mpya na uweke kitambaa cheupe na Raisi Jakaya Mungu kumbe alikuwa nayake ,nikasema Mzee toka leo wewe ni Maestro nikasema Maestro Mbaraka Mwinshehe .Maestro Ndala.Maestro Remmy ongala,Maestro Mzee Ngurumo na Wewe nikasema Maestro King kiki Mzee Pumzika Pumzika kwa Amani pumzika London tumepata shock kubwa sana Maestro Maestro Rest in power.
Hatuja pona uchungu kumpoteza Papa Noel Nono Nendule Antoine,leo tena habari za taanzia kumpoteza mzee King Kiki.....kweli dunia mapito,pumzika pema gwiji,mziki wako na mistari yako tabakia daima
Utotoni nilikuwa nikiusikiliza mziki huu nikiwa kambi ya wakimbizi sikujua Nani kaimba baada ya kuona post wasafi tv ikabidi nije kucheki kumbe ndo alikuwa huyu aisee,Hakika Sisi ni waja wa Allah Na Sisi wote tutarejea kwake😭
Big. Up
Nainua mkono mama kitambaa cheupe ishara ya upendo mama...pumzika kwa amani nguli
Hiyo tune ya mwisho mwishoooo waiyaaaaa song iko tu bie
Raha ya milele umpe ee bwana
TOPP! TOPP! sina tena lakusema. WEWE NJO!!!!!!!!!!!.KING KIKI. unanipa ,hamu ya ku imba tena na wewe. mimi wako mdogo wako KABAB NKOMBA GABY!:
Rest In Peace Baba Wa Kitambaa Cheupe 💐
Pumzika Kwa amani Mzee King kikii poleni sana wanafamilia wotee
Rest in peace mzee wetu kama na wewe umeguswa na kifo cha mzee wetu weka like hapa🙏
Hayo yote ni Tisa tuu' Moja Jaza Pekee 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Mungu amuweke mahalipema peponi jamani, music wake hauchuji na haujawai chuja
Dah.! Warahi kifo hakina huluma dah.! Hii Ngoma nilikuwa naipenda ila video nilikuwa sijaiona na aloimba nilikuwa sijamjua ila baada ya kifo Cha Mzee ndo,nimeifatilia dah.! Warahi hii Ngoma nilikuwa naipenda mpaka basi hasa panaponivutia ni kile kigitaa Cha solo kilivyokwenda kumalizia mwisho dah.! Mpaka raha
Kings of original music. Watched him live at Oyster Bay, Dar es Salaam, in 2002 alongside guitar wizard the late Ndala Kasheba (Yellow Card). Quite a pair and it's a pity they never performed got to perform big time across the border in Nairobi.
Mziki mtaam ndo huu. Kiukweli utadumu saana wimbo huu.
umeona mziki mnene tulivuuu.
Tunao burudika September 2024 tujuane
haki yamungu nyimbo zilikuwa zamani si sasa hakuna nyimbo
Tunaoupenda uwimbo tujuzane kwalaiki
The artist Nairobi Rhumba lovers could have fully embraced.
No doubt, no doubt at all. This would have been their taste.
Apumzike Kwa Amani , nyimbo zake zimeacha alama
Mzee Mungu akulinde kila sku tumaburudika na wimbo huu.
Waliokuja huku baada ya Kifo cha Mzee mko Wapi?
nampenda Drake Nick minaj na Cris Brown but
this song i will love them for ever cause it gat nice melodis
2021 gonga like hapa
The guitar in this song is terrific.!!!!
Superb.!!!
That is the late Maestro Freddy Ndala Kasheba with 12 strings guitar
Nomaa
Safi sana mkuu .ahsante kwa kuipandisha.huyu ndiye jabali aliyebaki baada ya marijani na remmy
Km upo hapa october 2024 weka like tuburudike na mziki mzur
To all people who love African music this for you guys i hope you will enjoy this song is one of the best song from Maestro king kiki. Mzee wa Heshima from the album called J.k.kikwete .many thanks to Maestro,kawele,Ramasax,claude,Makuta, kasongo mpinda, plus we cant forget him the late Maestro Ndala kasheba,
bonge la nyimbo
Niseme nini mimi kuhusu muziki huu wa dansi...sina la kusema ila tu ni kwamba zama hizi sidhani kama zitarudi tena.Kuwaona wanamuziki wako live na vyombo vyao wakivimiliki ipasavyo.Kuna wimbo wa King Kiki unaitwa Mtoto wa mjini nina sababu ya kuringa.Hakika Dar es salaam enzi hizo ilikuwa yachemka!
Wazeeee Suguuu Kitambaaaa Cheupeeee Naupendaga sana Huu Wimbooo
Iam king kiki fun I salute you in rhumba best
Meonaeeeh, tupogo😂
Naanavyocheza Mwenyewe King kiii Anazunguka hadi rahaaa
Who else is here in 2020?
We are together brother
Wimbo mzuri unanikumbusha zamani kwakweli
Apumzike kwa Amani jamani
Nice song it's very easy to dance no sweeting Ahsante sana
Ss ni wapenzi wako wa mziki tunakupa kongole, lkn ipo nyimbo moja tittle yake bado kujua. Lkn ndani pale unamtaja John wa mahenge
IPO poa balaa
Wale Wa kitambaa cheupe Leo hii mwaka 2019 October mko waapiiiii like plz
Tupooooo
king kiki nyimbo ya kitamba cheupe inaniparaha saaana
nyimbo nzuri tofauti na nyimbo za siku hizi
Cheers to us all who love african music 2023🐐💥
kwaheri baba
Kweli kitambaa cheupe ishara ya upendo asante KING KIKI
Wanaoitazama 2021 tujuane
nyimbo hizi hazitosahaulika na zitakumbukwa japo hamna wa kuzienzi kwa sasa...!!!!!
haichuji na haitachuja.kwane masherehe ni top 5
ekieeeeee ! atarezam! very good singer, i love his style!!! hepa !
Ce Monsieur ``King KiKi`` il est un heritier Roi au Kasai mais il a choisit la musique a la place du fonction du Roi au Kasai!!! il est Roi dans le kasai!!!famille royale!!
Tonny Mocke c'est vrai j'ai connai pas le stoir de monsieur nguza
Wow! That's interesting😯
Pumzika Kwa amani Mzee wetu
ntaupenda daima
together
chungulia tena,bado kidogo kiduuchu
Waleee wa kitambaa cheupe 2021 mko wapiiiii
Love the song ....
Yaan wimbo huu? Mpk kumtima. Hv anandeleaje afya yake. Mwenye namb yake naomba.
chunguli, umechelewa haa haaa by king kiki milele
Nainua mkona moja kutola Kenya. February 2021.
Mzee wa kazi. Respect
Kitambaa cheupe 2021 twende sawa
Nyimbo hizi ni baraka Sana
Tupo active tukienda 2024 na kitambaa cheupe🎉🎉🎉
2021 like me
Pamoja
real he did perfom a very nice rumba songo
who is watching this 2016 I love this song what a perfect rhumba
Ameweza sana.
Rest in peace we love you🍎♥️♥️
Duuh 12yrs ago sio poa nipo la 6
RIP King Kiki
Rest easy mwamba😢
much respect dhc song
Jamani Nilie
RIP baba yetu😢😢😢
2021 the best song ever
sahii watu awa juikumba kama nyimbo za zamani
hizi ndizo nyimbo zenye ujumbee