Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Daah mungu ndio tumaini letu
Hongera kwa uamuzi uliouchukua endelea kumtumikia Yesu Kristo sasa.Mungu akubariki kaka
Amen kaka ubarikiye
Hongera sana
Kwa kweri yesu ni mwamba
Jamani Mungu atusaidie na atuhepushe na adui yetu shetani
Usiandike mungu andika Mungu au MUNGU. Maana mungu ni shetani 2KOR 4;4
Ushuhuda was kweli
Amen
Mungu nimwema sikuzote
Simama imara tuu na Mungu ni Mungu Afazali uvikose vitu vyote bora umpate Yesu, mengine utayapata yaliyo ya haki.
HUYU MBONA ANASOMA NDIYOMAANA MANENO YANAMTOKA MOJAMOJA
Mi naomba kuuliza niliwah kulogwa na .mtu ambae sio ndugu yangu ila jirani kama nyumba Saba na tulimalizana yakaisha inakuaje jamani
Mtumishi Jactan Msafiri,naomba ukiwa DSM mtafute nabii happiness John ana mambo mazito sana ambayo Yesu Kristo amemfunulia miaka kadhaa mpak sasa ila hayajawahi kutoke a kwenye vyombo vya habari kama hivi. Namba zake 0766223625
Sawa,ntafanya hivo.Asante kwa ushirikiano
Pumbavu sana, yani mtu aliyeumbwa na MUNGU awe na nyota ya kuliwa Mtu awe nyota ya mboga
.
Daah mungu ndio tumaini letu
Hongera kwa uamuzi uliouchukua endelea kumtumikia Yesu Kristo sasa.Mungu akubariki kaka
Amen kaka ubarikiye
Hongera sana
Kwa kweri yesu ni mwamba
Jamani Mungu atusaidie na atuhepushe na adui yetu shetani
Usiandike mungu andika Mungu au MUNGU. Maana mungu ni shetani 2KOR 4;4
Ushuhuda was kweli
Amen
Mungu nimwema sikuzote
Simama imara tuu na Mungu ni Mungu
Afazali uvikose vitu vyote bora umpate Yesu, mengine utayapata yaliyo ya haki.
HUYU MBONA ANASOMA NDIYOMAANA MANENO YANAMTOKA MOJAMOJA
Mi naomba kuuliza niliwah kulogwa na .mtu ambae sio ndugu yangu ila jirani kama nyumba Saba na tulimalizana yakaisha inakuaje jamani
Mtumishi Jactan Msafiri,naomba ukiwa DSM mtafute nabii happiness John ana mambo mazito sana ambayo Yesu Kristo amemfunulia miaka kadhaa mpak sasa ila hayajawahi kutoke a kwenye vyombo vya habari kama hivi. Namba zake 0766223625
Sawa,ntafanya hivo.Asante kwa ushirikiano
Pumbavu sana, yani mtu aliyeumbwa na MUNGU awe na nyota ya kuliwa
Mtu awe nyota ya mboga
.