Alhamdulilahi yametimia Amezidi mpka sometimes hukufuru Kaka Masoudy goooo hata Allah anajua huyu mtu ni waaina gani..utawaokoa wadogo zetu kwa upuuzi wa watu km mwijaku
Naomba iwe kweli isiwe kiki maana wabongo tunavyopenda kiki ila mwijaku kazidi kuzalilisha wenzake alafu anakuja kujitetea kwa kutoa aya za Qur ani yan anafanya ujinga anakuja kujifisicha kwenye dini kukicha anatangaza kamari ila hajui kama dini yake imeharamisha kamari alafu anajikuta mtu wa dini kumbe ni mnafiki mkubwa
Alhamdulillah atatokea mtu hapa au kiongozi kumtetea Mwijaku sasa nawaambia ipo siku mwijaku atasema rais au kiongozi mkubwa wa nchi anafanya biashara haram bila hata ya ushahidi
Kwahiyo Masoud ni kaharibu kweli vijana au hapana? Kama sio uthibitisho mana nina ndugu yangu kaharibika sana nikikamata muuzaji aseee nitakula nae sahani moja
Brother mugope MUNGU,mwijaku hofu ya MUNGU kaitoa wapi?mtu ambae kila kukicha anazalilisha na kuwadhihaki watu ili kupata fame za kipuuzi,anatumia dini kama kichaka kuficha upuuzi wake
Safi sana brother masoud huyu mpuuzi kazoea sana ifike mahala aheshimu utu wa watu boya huyu
Alhamdulilahi yametimia Amezidi mpka sometimes hukufuru Kaka Masoudy goooo hata Allah anajua huyu mtu ni waaina gani..utawaokoa wadogo zetu kwa upuuzi wa watu km mwijaku
Tangu awe na kijihorafa chake cha laki 8 basi anajiona Kama mungu
nazan hili litakuwa funzo
Safi sana
Alhamdulillah
SAFI SANA MASOUD,LAZIMA ALIPE MSHENZI HUYU.
Ameyatimba😂😂😂
Naomba iwe kweli isiwe kiki maana wabongo tunavyopenda kiki ila mwijaku kazidi kuzalilisha wenzake alafu anakuja kujitetea kwa kutoa aya za Qur ani yan anafanya ujinga anakuja kujifisicha kwenye dini kukicha anatangaza kamari ila hajui kama dini yake imeharamisha kamari alafu anajikuta mtu wa dini kumbe ni mnafiki mkubwa
mpaka mwanasheria kahusishwa ujue hii si kiki sis/bro
Ndio akome
Alhamdulillah atatokea mtu hapa au kiongozi kumtetea Mwijaku sasa nawaambia ipo siku mwijaku atasema rais au kiongozi mkubwa wa nchi anafanya biashara haram bila hata ya ushahidi
Masoud watanzania wengi wanakufahamu na watu wa Dunia nzima, haiwezekani mtu akuharibie maisha
Wampige fine, bilion 30 ili akome
Kwahiyo Masoud ni kaharibu kweli vijana au hapana? Kama sio uthibitisho mana nina ndugu yangu kaharibika sana nikikamata muuzaji aseee nitakula nae sahani moja
😂😂😂😂😂😂😂 aloo ningependa iwe kweli na sio kiki
Aende njela kabisa kazidi😅
Mkomeshe huyo chawa
kwhy kayatimba mwijaku 😂😂
Hiyo pesa yeye anayo😂😂😂
Masudi anayo
Nashangaa mbona hamujampeleka mahakani peleka huyu mtu bwana amezidi
Bora wamzibe mdomo mjinga huyu
Na we kamshtaki kwa kukuingilia maisha binafsi
Kudaiwa bil 5 au kufugwa Miaka 10 Bora Nini!!
Bora jela
Ameyakanyaga
Hii ndiyo namna ya kushughulika na wajinga.
Binafsi sikatai wala sikubali mahakama ñdiyo itakuja na jibu sahihii
Nilijua ipo siku tu inayovuma ngoma nayo pia hupasuka sembuse binaadam alizidi mwinjaku sijui anajikuta nani
PELEKA MAHAKAMANI ILI LIWE FUNDISHO KWA WAROPOKAJI KAMA MWIJAKU ,DOTTO MAGARI NA KWA MBALI NA BABA LEVO.
Masudi kipanya shikilia hapo hapo, mpaka huyo bwege afungwe miaka 10 au aiuze ile nyumba yake
Mdomo umeponza kichwa
Akomeee na huo mdomo wake khaaa mwanaume anaongea hovyo anajilinfa na kuomba radhi
Masoud jamaaa amekuombaaa msamaha
Kusamehe ni hiari 😂😂
Kuomba msamaha ndo ushahidi wenyewe..rejea kesi ya Manara dhidi ya tff president (karia)
Mwijaku na masudi.. watu wenye hofu ya mungu wakae chini wenyewe..kuombeana msamaha.. ciokutumia wanasheria..
Brother mugope MUNGU,mwijaku hofu ya MUNGU kaitoa wapi?mtu ambae kila kukicha anazalilisha na kuwadhihaki watu ili kupata fame za kipuuzi,anatumia dini kama kichaka kuficha upuuzi wake
Kamfunze kwanza mwijaku kuwa n hofu ya Mungu
Hofu ya Mungu hio kaitoa wap na kukicha anatangaza kamari na kupromote wanamuziki kuliko dini yake alafu et mtu wa Mungu
Kiki tu wote vijana wa Kusaga yataishaa