Roast Ya Maini ambayo hujawahi pika. pika hivi ufurahie saana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Maini kilo 1
    Vinegar nusu kikombe
    mafuta vijiko 5
    kitunguu 1
    swaumu na tangawizi 1tbsp
    pilpil Manga 1/4tsp
    chumvi 1/2 tsp
    nyanya 4
    hoho 1/2
    pilipil 1
    Tomato Paste 1tbsp
    Maji 1/2 cup

КОМЕНТАРІ • 14

  • @julenaashery4606
    @julenaashery4606 Місяць тому

    Tamu

  • @lucysanka2570
    @lucysanka2570 Рік тому +1

    Nimejifunza vingi kutoka kwako barikiwa sana

  • @a.856
    @a.856 Рік тому +1

    Ahsante

  • @victoriainnocent8615
    @victoriainnocent8615 Рік тому +1

    Malkia asantee na Nakupenda sana😍😍

  • @MinahAssenga-ut3jq
    @MinahAssenga-ut3jq Рік тому

    Asante kwa mapish yko mazur

  • @victoriavictus-vu4ki
    @victoriavictus-vu4ki Рік тому

    Nzuri sana....natamani kuona maini maziwa ni mgeni huku though nakufwatilia sana inst

  • @zubedamrutu3156
    @zubedamrutu3156 4 місяці тому

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Рік тому

    ❤❤❤

  • @julianamukasa3839
    @julianamukasa3839 Рік тому +1

    Asante Sana Ila ningeomba uongeze sauti

  • @moudboychampion5942
    @moudboychampion5942 Рік тому

    mbona sjaona ukiweka mafuta

  • @AirenLucas-ks2nr
    @AirenLucas-ks2nr Рік тому +2

    Sorry dear, naomba kuulza ukikaanga ivyo direct bila kuchemsha kama nyama hayawi magumu???

    • @edetridiskeyah3529
      @edetridiskeyah3529 11 місяців тому

      Na mm ndio swali langu pia, hakuna ulazima wa kuchemsha kama nyama?

    • @gemantungi4515
      @gemantungi4515 8 місяців тому

      Kwa uzoefu wangu yanakuwa magumu kama ukiongeza chumvi mwanzoni.. ukiyapika hivyp ukaweka viungo mwanzo alafu chumvi mwishoni yanatoka yameiva vizuri tu

    • @MaryamMohamed-og3en
      @MaryamMohamed-og3en Місяць тому

      ​@@edetridiskeyah3529maini ukichemsha ndo yanakua magumu