Hi nanyi nyote mnapaswa kusikiliza kweli mahubiri ya William Branham yanatusaidia sana kuwa na uwezo wa Mungu na nguvu maisha yetu, Imani. You will find it in English also
@@metrolancaster3878 hi I recommend you to listen to William Branham's sermons they are so helpful for us to be close to God and strengthen our lives and faith you will find it in swahili also
Yeah Yesu ana weza saaanaa wandugu tumfate Yesu ata tu towa ndani ya shida zetu nisha ona mkono wake ndani ya maisha yangu tu endeleye kuomba maombi ina lipaka
Mungu ndo kila kitu ❤❤❤ nimekumbuka kuna kipindi nili pata ajari na pikipiki na mguu wangu ulivunjika kati ya hile ajari lakini mungu wa mapendo na huruma kani kumbuka kwenye wakati wa shida, jina la yesu libarikiwe milele ata milele ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩2024, 2025 mpaka kufa kwangu nitakuepo.❤❤❤
Bony nikikuangalia kwenye albam ya PST.E.R.Mwansasu ya Tutatesa Milele UA siamin kama ni ww kwel mungu ni mwema pia xhkran za pekee zmfikie PST.E.R.Mwansasu kwa males mema ya kiroho
Madaktari hawalioni tatizo Mwilini mwako unahisi kuna vitu vinatembea Madaktari hawalioni tatizo Tatizo hili linakuchangaya pole Waganga hawalioni tatizo hilo Tatizo hili linakuchangaya Mama pole Waganga hawaliwezi tatizo hilo Njoo ufanyiwe maombi Wenye tatizo kama lako wengi walishafunguliwa Njoo ufanyiwe Maombi, Huu ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu we Njoo uombewee Njoo ufabyiwe maombezi Njoo uombewe Njoo ufanyiwe maombi kaka, Wengi wameombewa, Njoo ufanyiwe maombi Kwa jina la Yesu kristo, Njoo ufanyiwe maombezi dada, Usiteseke bure Ukiombewa tatizo lako ni dogoo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Ukiombewa tatizo lako ni dogo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi Njoo uombewe Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we Haleluya hee THE END Translate to English
Hi nyinyi nyinyi wote lazima msikilize mahubiri ya William Branham kweli wao hutusaidia kumkaribia Mungu na tuimarishe maisha yetu na imani utakayopata kwa kiingereza pia
Hi nyinyi nyinyi wote lazima msikilize mahubiri ya William Branham kweli wao hutusaidia kumkaribia Mungu na tuimarishe maisha yetu na imani utakayopata kwa kiingereza pia
Anyone listening to this song in 2024???
🖐🏽🖐🏽
njoo uombewe
Tupo Ndugu👍🏽
Tupo
@@lulungimbwa5383 Kabisa.
Jamani kama bado unausikia huu wimbo adi huu mwaka 2024 nipe like zangu please tujuwane 😢
May he rip
We are here ❤️
Together ❤🎉
kama bado wapenda hii nyimbo gonga like hapa.
Hongela
@@JohaRashid7
.
88
I like this song.
✋✋✋✋
2024🙌
Kama uko 2024 na Bado unasikiza hii song gonga like hapa 😂😂 everything is possible through prayers 🙏 let come together and pray 🙏
Nnn
N3n3n3
Nn3nnnnn
Nnn3
N3
old gold good days. timekeeper of dem music😍 piga like kama yesu ni mwanaume❤💯
2024 bado napenda huu wimbo
Aki Mungu ni mwema kumbe tuko wengi 2024
We here together
Mpka 2025
When music was real..
Siku hizi ni nyimbo kuhusu kubarikiwa na jinsi majirani watajionea... takataka tu
2024 and still a hit.❤ from kenya
Zambians we're you 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Team Jesus forever 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Amina, Amina mtumishi Bonny mungu azidi kukuinua, nabarikiwa nikiwa saudia ubarikiwe sana
2020 who is still watching with me
Beautiful song,watching from London 2020. This song is Very good and full of wisdom with truthful words. God bless all Annastasia
@@amachildofmosthighgodinjes6115 exactly!!!
Me iß
from childhood to Today
still listenng
im not christian
but
African Music 4life💪🏽
@@angelwilliam6163 alllo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Niko hapa 2023/11/18 nimekuja kusikia usia na ushauri wa Bony ❤l
Maombi tu ndio dawa ya kila kitu..Nakumbuka mashimo niliyotolewa na maombi pekee na Mungu aitwe Mungu ...
Kama unajua kuna mambo mengi hayaendi bila maombi, gonga like hapa.
Ak santé sana Bana, mungu akubariki zaidi
Zambians are you still listing this song I'm still 2023
And enjoying very much ❤
Kwa sababu yesu ni mwanaume kati yawanaume tuombe team strong vitu ututembelea lakini tunajikaza ndoto itimie.
Maombi ndio fungue hii nyimbo ni zamani ni nzuri sana
Good old days🤩🤩when gospel was gospel,,if only time could go back
This when I confirm ,nyimbo za kitambo are the best,today the world is toxic 😢
sasa ni 2023 ila nyimbo kama ya janaa ubarikiwe sana mtumishii
Yaani nashangaa sana na binadamu, also gospel song you have tu put thumbs down ‼️🤔 what's wrong with people for crying out loud 🥺
Wimbo huu uliokoa maisha yangu. Ninamkubali Bwana kama mwokozi na uponyaji wangu
Kwa yesu kuna raha kweli kweli ❤❤❤❤❤
Yesu anaweza arashoboye vyose love from burundi turabakunda muhezagirwe nibunumurundi ukoreko tumenyane
Am watching this song from Saudi Arabia congratulations bro Bonni, who 's watching this 2019? Kama unapenda Bonni konga like hapo 🖒
Hi nanyi nyote mnapaswa kusikiliza kweli mahubiri ya William Branham yanatusaidia sana kuwa na uwezo wa Mungu na nguvu maisha yetu, Imani. You will find it in English also
Does Arabins speak swahili? What a brilliant brain!!
@@metrolancaster3878 hi I recommend you to listen to William Branham's sermons they are so helpful for us to be close to God and strengthen our lives and faith you will find it in swahili also
Hasante Sana Mimi naitwa fredus Niko Uganda hasante Kama una mpenda Fred gonga like twendesawa
Nime"konga"
Aksanty nduku yanga Wende kumbele
2024 bado tunaomba 🔥🔥
One of my best songs at the height of my career in 2012...Still listening to it in 2023 as a father and husband..
Wangp mpk 2023 October wanabarkiwa n huu wimbo ❤❤
I don't understand but this song feels like God is near
Inanikumbusha mbaliii
Amen nice song kufika kwangu saudia Arabic nilikua napenda kusikiza huu wimbo.
Zambia 🇿🇲is here in 2021
As a young boy my dad played for me this song, now I'm a father too still listening to the same song... Divine power is eternal 🙏🙏 praise God.. 🙏
Amen
Do you mind translating it?
Same for me 😂😂
@@mableluswanga6860it means come for prayer
Innovertar kwamboka onsongo from global countries.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri. Studio iliyorekodi usiiache. Dancers safi, ujumbe safi.
Mbonie mungu akupe maisha marefu dio ukaweze kumtuza, kupitia jia ya uimbaji na mungu akukumbuke❤❤❤❤❤
Napenda nyimbo zako saaaaana ......ubarikiwe na uongezwe zaidi......from Kenya,🙏🙏🙏
Yesu Kristo ni tumaini na msaada kwa kila mwanadamu pasipo kujali dini yako njoo kwa Yesu upate wokovu na msamaha wa dhambi zako.
2024 njoo ufanyiwe maombi
Hi nanyi nyote mnapaswa kusikiliza kweli mahubiri ya William Branham yanatusaidia sana kuwa na uwezo wa Mungu na nguvu maisha yetu, imani
I can't understand the language but, This song uplifts my soul.
May the Lord bless us all.
🇿🇲🙏
It means come and be prayed for, your small issue will vanish away.
It now 2023still enjoying the song
From 254 bado iko fire 2021 ,mungu akubariki mtumishi
2020 likes hasa katika kipindi cha corona MUNGU katuwezesha tunaendelea kuvuta pumzi...like kwajili ya shukrani kwa MUNGU
Legende in Tanzania 🇹🇿
Am afraid of typing rip Bonny.
Ooh no God why😢😢😢
I am in 2023 and this song is still hits and blessing.
I don't really understand Swahili, but I can feel the worship in this song. 🇿🇲
It means come and receive prayers 😊
We together
2023, a great song to come by, years later.
Wimbo unabariki sana wakabs nairobi kenya
Kweli yesu nimwanaume aminaaa nimebaliki
Yeah Yesu ana weza saaanaa wandugu tumfate Yesu ata tu towa ndani ya shida zetu nisha ona mkono wake ndani ya maisha yangu tu endeleye kuomba maombi ina lipaka
kwa yesu sasa njoo 😭😭
Njoo mpedwa kwa yesu njoo,,,
2022 na bado hii nyimbo naisikiza haishi utamu wa baraka.
Mungu ndo kila kitu ❤❤❤ nimekumbuka kuna kipindi nili pata ajari na pikipiki na mguu wangu ulivunjika kati ya hile ajari lakini mungu wa mapendo na huruma kani kumbuka kwenye wakati wa shida, jina la yesu libarikiwe milele ata milele ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩2024, 2025 mpaka kufa kwangu nitakuepo.❤❤❤
I love this song, though I can't understand the language. From Zambia 🇿🇲
Come lets pray with one faith and our problems will go
I like this one !like liked !❤
Reminds me of my son may his soul rest in peace he liked this during his lifetime (2011_2015) what a great song.
May he rest in peace till we meet again in Christ
May God comfort you.. May the young soul rest in Eternal peace.
May his soul rest in eternal peace
May he Rest In Peace.
Rest in Peace have heart God is great.
Still 2023 we’re still listening to the gospel music from music from you
Bony nikikuangalia kwenye albam ya PST.E.R.Mwansasu ya Tutatesa Milele UA siamin kama ni ww kwel mungu ni mwema pia xhkran za pekee zmfikie PST.E.R.Mwansasu kwa males mema ya kiroho
Yes bana❤️❤️❤️☺️ni mungu tu☺️
keep on sings God will bless you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
2024🇰🇪🇰🇪🇰🇪bado tuko hapa
Huu wimbo ni kiboko kwa ibilisi kabisa.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Bony mungu akubariki naakulinde yesu ni bwana nasikiya huu wimbo na enjoy
Bado inabariki 2024
Njo ufanyiwe maombii❤️🙏
Madaktari hawalioni tatizo
Mwilini mwako unahisi kuna vitu vinatembea
Madaktari hawalioni tatizo
Tatizo hili linakuchangaya pole
Waganga hawalioni tatizo hilo
Tatizo hili linakuchangaya Mama pole
Waganga hawaliwezi tatizo hilo
Njoo ufanyiwe maombi
Wenye tatizo kama lako wengi walishafunguliwa
Njoo ufanyiwe Maombi,
Huu ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu we
Njoo uombewee
Njoo ufabyiwe maombezi
Njoo uombewe
Njoo ufanyiwe maombi kaka,
Wengi wameombewa,
Njoo ufanyiwe maombi
Kwa jina la Yesu kristo,
Njoo ufanyiwe maombezi dada,
Usiteseke bure
Ukiombewa tatizo lako ni dogoo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Njoo ufanyiwe maombi
Njoo uombewe
Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we
Haleluya hee
THE END
Translate to English
Good
A beautiful ride it was. Shine on your way home Bonny. Your journey on earth has come to an end. Thank you for gracing our childhood.
Rest easy sir
I want to se my son and daughter graduate one day he's waiting his std 8 examination and she's in std 4 in Jesus name 🙏🏽
Jesus is lord,corona hell no!bye
Who still listening in 2021
💯💯this song was a hit
Zambian.. i dont understand the message but ilove the song.. anyone?
Inafurahisha kusikiliza muziki wako! Hongera kwa ubunifu!
Bwana yesu asifiwe wapendwa maombi ndio kila kitu tunaishi katika siku za hatari maombi ndio siraha hata chetani akisikia jina la yesu anasarenda
Barikiwa sana ndugu. This song is a big blessing.
Yes Yesu Christo nina uhakika naye.ukiombewa tatizo lako ni kidogo sana. Jaribu tu uje kwake Yesu Christo.
This song when I was young,,Ona sahii iko bado strong,,God bless you
Hii 2022,yesu ninauhakika nawe.
Utanipeleka kiwango kingine.
Roho yangu inakusifu.
Moyo wangu unahusunika sana,death is acruel
Wapi like 2019,,,,, njoo ufanyiwe maombi Nabarikiwa sana Yesu azidi kukutumia kaka kwa utukufu wake
Hi nyinyi nyinyi wote lazima msikilize mahubiri ya William Branham kweli wao hutusaidia kumkaribia Mungu na tuimarishe maisha yetu na imani utakayopata kwa kiingereza pia
Naupenda sana huu wimbo
2024 bado napenda huu wimbo nikisikiya hata nikiwa na stress na enjoy 🎉
Kwa hakika na kweli mMaombi ndio Kila kitu
Mungu ndjoo chef
Miaka inaenda kasi sana nakumbuka wimbo huu unapigwa nipo shule sasa nishakua na familia tayar,,,ubarikiwe sana mtumishi.
Hi nyinyi nyinyi wote lazima msikilize mahubiri ya William Branham kweli wao hutusaidia kumkaribia Mungu na tuimarishe maisha yetu na imani utakayopata kwa kiingereza pia
A very nice dong brother bahati bukuku.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Prayer is key to everything in Jesus name
Rose wakabs wimbo unanibariki sana
2023 and the message is intact
Amina still listening in 2021 barikiwa sana.
This song will never get old love from Malawi 🇲🇼
Ndiya chabe😄
Mimi sasa Nina Miaka miwili bila kuenda kanisani,si kwaubaya niko Saudi kikazi ,Siku yajumapili huomba sana nakusifu
Nice
gud
Hongera sana kwa wimbo huu, mungu azidi kukuinua
Hi nanyi nyote mnapaswa kusikiliza kweli mahubiri ya William Branham yanatusaidia sana kuwa na uwezo wa Mungu na nguvu maisha yetu, imani
Safi
Yani kwangu kama mpya
Still listening to this song (2019) from Zambia mungu akubarike kaka yangu bone kwaukweri mungu ni mungu yote matatizo niadogo Amina
Look,slsassaa
aa
@@stanslausimramba1989 ⁰
NJoo one of my favorite songs and it will never get old God bless you sir🙏🙏🙏🙏
Exactly Amen