Asante kwa kazi nzuri doctor ningependa kuuliza nko na mtoto nilimpatia jina D after 1 month babake akaja akapatia T after 4 months nkaenda kumbatiza akapewa jina j ila T ndio jina lake lenye anajulikana ata watu hawajui yale mengine swali ni nyota yake Iko kwa jina gani?
Asant sana.mtoto wangu Karim iko.nahizo sifa.kweli.hujakosea
duh we jamaa wewe, wewe ni noma sana
Umenigusa Sana kiongozi wangu
Asalam aleykum mm imenitokea mpaka imeifanya nishiwe kabisa
Kelvin✨
💯💯💯
Ni Mimi kabsa .
Asante kwa kazi nzuri doctor ningependa kuuliza nko na mtoto nilimpatia jina D after 1 month babake akaja akapatia T after 4 months nkaenda kumbatiza akapewa jina j ila T ndio jina lake lenye anajulikana ata watu hawajui yale mengine swali ni nyota yake Iko kwa jina gani?
T
Nimefatilia nyota nyingi sana lakini E nakataliwa kila herufi why🥲
Kelvin
Kaka umeongea ukweli kabisa
kampala waja lini.
Na Mwanamwande niweke herufi gani?
Kuna kilicho nifanya kuangalia herufi K na nimesha pata majibu