DABI YA NGAO YA JAMII KUMALIZA UTATA WA KIKOSI BORA/ KOCHA FADLU, GAMONDI JASHO ZITO
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
KUMESHAANZA KUCHANGAMKA 🎉🎉 CROWN HAPA NI NYUMBANI 👑👑🎉🎉
From Kenya Mombasa,napenda Sana analysis ya crown mko juu sana
hans what analyses brother, unaujua mpira sana you so talented congratulation
TZ tungekuwa serious kufatilia na mambo muhimu ya nchi yetu tungekuwa mabli sana, mpira unafunika kila kitu
@@user-bq7yo9iy4f hilo nalo neno! Watu walivyofurika kwenye hizi siku mbili,wangejitokeza hivyo kitaa kudai katiba mpya,kupinga tozo za kijinga zinazo umiza mtu wa chini,kupinga rushwa, UBADHIRIFU,matumizi mabaya ya kodi,uuzwaji wa maliasili za nchi, kupinga utovu wa nidhamu serikalini, upigaji wa kutisha wa mabilioni,kupinga huduma mbovu za afya,elimu,unyanyasaji wa wafanyibiashara ndogondogo, na mengine mengi yanayo husu nchi yao,aisee, TANZANIA tungepiga hatua! Mbongo anajali vitu visivyomsaidia lkn vile vya kumsaidia yeye na vizazi vyake vijavyo, hana habari!Mbongo ni akili mgando!
😂😂😂😂
hii emeeenda
Nafikili tff inatakiwa waandae tuzo ya mchambuzi bora wa michezo kila msimu kwa msimu nakupa ww hans rafael❤❤❤
@@zingeboy huyo nae kigeugeu🤣🤣hana lolote! Mchambuzi bongo nzima ni MZEE WA DATA! Basi !
@@errydeo8865 amna kitu mmle
Mungu najua upo nasi wanasimba❤❤❤
Football is an art of tactical and methodogies
Yn Crown media mumekuja kuzificha media nyng
Ni kweli Hans,ni njia hio nzuri
Deep analysis.
Nomaa
Ili jamaa linajuaa🔥🔥🔥🔥🔥
Yan umekalia Uyanga Sanaa Aisee
Yaani mechi moja ndo itaamua kikosi bora really? Gimme a break ladies!😂😂😂😂hiv bongo tuna akili gani! Kikosi bora kitajulika at the end of the season!
Biashara asubuhi, jioni mahesabu. Mwisho wa season ni jioni. 10:04
@@HildaJulai ligi ni marathon
Umetisha
Ladies tena?😂😂😂
@@rajabdibwa6415 ndio ,wanawake mara nyingi ndo hukaa na kujadili ujinga,just like these ladies 🤣🤣 mwanaume anayejadili pumba kwangu mimi ,ur just a lady MCHAMBUZI MWANAUME BONGO NI MZEE WA DATA TU, A GENTLEMAN! The rest are ladies!
Safi
Hans unajua kuyadadavua lkn kwa simba hii watu watatoa ulimi nje njis watakavyo kimbizwa..ubaya ubwela
😂😂hatar kak
Saf sn Hans, uchambuz wa kitaalam
Plomo zimeisha tumelud nyumbani sasa
Hans unajua boli mashallah
Full time Yanga 3,simba 1
Ebu zigeuze hizo
0:0 penalty simba 4:1yanga
Wala ngao ya jamii sio kipimo tosha Simba na yanga uchawi unazidiana
Mtameza matapishi yenu. Tuko pale
Na sisi tupo hapa
Wachambuzi Mchwara. Aucho na Ki Azizi? Wote hatukuwaona dhidi ya Red Arrows.
Kuna wakati wrchambuzi wetu huwa nawashangaa sana et! Kwahiyo mechi moja inaamua timu bora? Iakni kweli A, p, r nikipimo chakuiona Simba imekuwa bora kweli? Jaman tanzania kunashida gani?
Nyumbani kwa mfalme
Hans kaka umejitahidi kuwapamba simba maana hiyo high pressing haikuwa kubwa na wanaruhusi penetration passes za wapinzani
MFALME HAKUKOSEA KUKUCHUKUA HANS
Huyu ana u Yanga sana.
Hila hii ni dabi kaka zanguni huwa musikalili
Punguza sifa iyo timu niya kawaida mno na ukitaka kuamini hilo yanga akutane na Ihefu. Mnajua kama yanga walikutana kunywa supu walivyo sikia Ihefu imeuzwa na kubadilishwa jina??😅😂😂😂😂😂😂
Uyu jamaa anaongea kama Gorge ambangile
Kwenye derby naona ni 50/50
Elimu ya ball muhimu sana,chambuae kimpira siyo kishabiki
Yanga sio wanacheza counter attack, ni fastbreak
HANS HUWA NAMKUBALI SANA
Oe uchambuzi mzuri japo kwenye kikosi bora mpaka mwisho wa msimu ndio tutajua
Auna lolote acha uyanga
Hakuna mhaya bwege . Wakagera tujuane
Kumbe hapa ni sifa za Utopwax kenge nyie
Ngoma asiaanzee tunamuomba kocha
Jamani tunaanza kufeli tusimpangie kocha tumpe uhuru maombi tupeleke kwa viongoz ju ya mambo yanoihusu maendeleo yet
Hichi kipindi mchambuzi ni Hans tu, hao wengine matapeli.
Yanga ni hatari
usitutishe kenge wewe VAR ipo wee una kariri zile tabia za Bahasha Tu
kweli bhn😂😂
Sijui nitajificha wapi maana nimeshaingia uoga Bora hii mechi isingekuwepo ili timu yetu ijijenge
Sio una kariri una kalili