RECAP: HARMONIZE AWEKEZE KWA IBRAAH KUNA HELA, MUZIKI HAUZALISHI WASANII WAPYA, KONTAWA, DAYOO, KUSA
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
Very good I'm from mozambique
Nakukubali Sana wewe ni noma Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤❤❤❤❤ Ibraah is the best 🎉🎉🎉🎉 Kaka ume gusaa saana.
Kondegang for everybody
Konde Gang harmonize 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Oui oui oui j'aime aussi konde gang❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Yan kwenye siku ulizofanya uchambuzi Leo ndo wa maaana kabisa
Leo kweli kila siku anaponda
Ibraah Noma sana🔥
Bro hatari sana🎉🎉🎉🎉
Founder tz
Nikweli kaka label Jau people tupo talented lakini hzo label kutusign unknown ndo shida always wa nataka walio na nafasi tayari one day I go prove this na naimani you will be my judge nakufatilia sana ilikupa shule nzuri ya mziki
Apo uko sahibi brother 🇨🇩🇨🇩
Kaka unaongea reality sana
Ibraah kafanya sana collaborations za nje kuliko wasanii wengi hapo bongo! Usisahau hilo, Nigerians kina Joe Boy, Skibii, Waje and the american guy sijuwi Caribean, Willgitten, ambaye anaandikaga nyimbo za Chris Brown....kwahiyo Harmo kesha invest sana kwa Ibraaah, anatakuwa tu aendeleze!
Hizo colabo zote za nje unataja hazijawai mpatia hata show ya ndani ya tz tangu atambuloshwe wapi ulishaka sikia Ibrah alipiga show inje au ndani ya tz?hata kwenye mauzo music platforms zote Ibrah hauze ki vile Ibrah angewekezewa pesa,promotion,branding ndio vinaitajika
@@svt3 Yes True, lakini wasanii wangapi wa Tz waliofanya collaboration na wasanii wa nje wameshaperfom kwenye nchi za hao wasanii? Hakuna...kwahiyo it is still early days for him atafika tuu as long music catalogue yake ni kubwa inamfanya anaoneka mkubwa ,ndio maana hata kwa Dayoo despite his talent anaonekana mdogo kwa Ibraah, due to his catalogue of music in comparison.
@@m___ck799 ok kama hawa performs inje ya inchi hata show za ndani ya tz kama kina chino umeisha sikia ibra iko na show
@@m___ck799 kama hakuna show za inje hata hapo kenya? vipi ndani ya tz mbona hapataki hata show kama za wa akina chino miaka mingapi tangu atambulishwe kama ni ndogo ni 3 hata show Zanzibar,Dodoma, mwanza hajawai fanya wewe hauoni branding yake inaomba uwekezaji , Promotion.....
Faida alizopata kwenye hizo colabo ni zipi
❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Brooh ibraah angekuwa wcb anakuwa mrithi wa harmonize
Harmoniz namba Moja tz
Chinga moto 🔥🔥🔥🔥 i
Hiyo ndio shida ya wasanii wengi Bongo awabadiliki, yaani kuwa msanii mkubwa siyo kuimba vizuri tu,lazima ubadilike otherwise utabaki kuwa a regular artist never Top artist.
Hiyo ni kweli
Harmo mavi Hana kitu anawekeza tu kwa wanawake taila huyo
Brother Léo sijuwi kama umekula Nini ?
Apo shega
Wewe elmando shida ni vijana. Shida sio kukuza wasanii wapya shida ni vijana wenyewe kwasababu gani, vijana Wana viburi, kuvimba alafu hawana heshima na uvumilivu. Umemsikia Hanstone alicholifanya? Anawatusi watu atakaowategemea kumkuza Kwa kuwachana kwenye nyimbo wakati Bado hata hata hajapiga alafu utarajie tuwe na wasanii wapya
Kwa hili la kuwekeza kwa ibra umebonga vyema kabisa hata sijajutia MB zangu
Yani siku zote ulikuwanaongea matopetu Leo ndo umeongea point sasa
Elo umeongea pueti
Jeshii nakubali xn
Mnafki huyo mxhamba tu
0:42 mlioskia Kende geng gonga like 😂👍
Chino kosa alilofanya kumpa mkono daimond 😂😂😂😂