alhamndulillah ndo maana mimi namuomba Allah sana anijaalie cku iktokea naolewa sheih wetu awe sheikh wetu kijana wa Dar es salaam jiji la gharama Sheikh Nurdin Kishki (Allah akunifadhi) nipate dua na barka zako Nakupenda kwaajili ya Allah
Shukran Shekhe wetu jamn mm kuanzia leo sitak mazoea na wanaume, Mtu anasema nataka tuwe wachumba wakat hata kwetu hawamjui,, Eti uchumba wa uchchorin miaka 5😁
@@kassamruzuru4913 ndiyo manake uchumba hauna posa hala mtu hajawahi kupeleka posa wala Barua, wala hujulikan popot bado anakupangia ,,😁mtihan tu, ukimwekea vikwazo anaanza oo hunipendi sijui ndo.mtihn tulonayo kwa sasa
MashaAllah Allah ibarik .....lkn wallah kwa sasa tunadate 2 ila mwenyezmung atuongoze tunajua ni makosa ila mwenyezmung nd anamuongoza amtakae naiman mabadiliko hayapatikani kwa haraka ila kwa uwezo wa Allah atatuongoza
Assalam alaykum mashekh wetu Allah awalipe mema duniani na akhera pia shekh Nuur ninaswali je mwanaada kujiita alla simakosa?maana jinahili limetajwa katika majina yalitajwa hapa mm ninahofu je inaswihi?
Masha Allah sheikh . I have one question my question is what can you do if somebody abuse Prophet Muhammad(Scw) one woman from somalia abuse our prophet and sometimes she say she is a muslim and sometimes she say she not muslims what can do to someone that's?

Jazakum khailaa kwa darasa hakika tumepata elimu
Mashallh allh akubarik akujaalie elimu zaidy
Mashallah..Allah akupe umri mrefu ili tuzidi kuyafaid mazuri kutoka kwako...Love u so much kwa ajili ya Allah..
@@myunaniniahmad6463 kaka yangu anataka mke ukirudi omani utuletee za wadi
Mashaa Allah mashaa Allah, nashukuru sana kwa darsa sheikh, Allah awafunike na rehma zake.
Allah akufungulieni kher
Your very humble man respect from Omani may Allah forgive us all and strength us in a straight path ameen yarab ameeee
Inshallah sheikh Asante Sana
Salamu naitwa leila ninamchumba namchumba uyu nishawai kumfumani je uyu mchumba nialali kua mume
Shukran sana sheikh Allah akulipe kila la kher
Masha Allah Masha Allah Masha Allah , Allah awajaze kheri
Asalam.aleykum.shukrani.shekhe.mwenyezi.mungu.atujalie.umrii.mlefu.tupate.kutujuza..tusiyo.yajua.na.pepo.ya.firdaus.iwe.makazi.yako.ishallah
Manshaallah Manshaallah shekh mashekh zetu Allah awazidishieni Elim yenye manufaa
From Emirate United Arabic Ma shaa Allah sheikh kwakuwa toa dawa nimeerewa mengi Alhamdulillah Allah akujali kila lakher
Da namimi nataka nijehuko uarabuni ni
Masha Allah ❤
MashaAlla mungu akuzidisheye elimu na umri mrefu
Samahani nauliza mimi nisuni nataka poswa na mshia je inafaa
Aifai kwaza katika dini akuna shiha wala suni wote waislamu usikubali kuolewa na mashiha hawa muamin muhamadi kharamu kuolewa na mashikha
Assallamwallaik mimi inarusiwa mke akanunuwa kiwanja akasema nichawatoto alafu hamfa mishi mume wake
Barakallahu feeka yaa akhy Allah akulipe kheir
Asalam aleykum naomb kuuliz shekh je yafaaa kuchangia mahali na mtu ambae mmepang kuoana.
Maa shaa Allah tabarakallah shukrani shekhe jazakallahu kheri
Mashllh
Jazakallah khayran
Ameeen thuma ameeen yarabb
Shurukhr shekhe kishiki kwa mafundisho mazuli nimelimka na kujifuza allaah akujalie afiya njema na umri mlefu
Asante shekh weng hatujui hata maan ya uchumba
Shukran Shekhe wetu jamn mm kuanzia leo sitak mazoea na wanaume, Mtu anasema nataka tuwe wachumba wakat hata kwetu hawamjui,, Eti uchumba wa uchchorin miaka 5😁
Ucumba wa uchochoroni 😁😁😁
@@kassamruzuru4913 ndiyo manake uchumba hauna posa hala mtu hajawahi kupeleka posa wala Barua, wala hujulikan popot bado anakupangia ,,😁mtihan tu, ukimwekea vikwazo anaanza oo hunipendi sijui ndo.mtihn tulonayo kwa sasa
@@ashaally6662 umenena😆🙏🔥🔥😘
Shukrani Sheik kwa darsa nzuri
Nakuunga mkono mpendwa
Assalam aleikum Shekhe shukran Shekhe kwa mafunzo ambao hatuyajui tunajua kupitia kipind km hiki
I really love your lecture
Shukran kwa mafunzo mazuri
Shukra kwadarasa. Shekh
MashaAllah Allah ibarik .....lkn wallah kwa sasa tunadate 2 ila mwenyezmung atuongoze tunajua ni makosa ila mwenyezmung nd anamuongoza amtakae naiman mabadiliko hayapatikani kwa haraka ila kwa uwezo wa Allah atatuongoza
Salamu naitwa leila ninamchumba ila uyu mchumba nisha wai kufumania je aswiii kua mume wang
Mashaalla shukran alla awaajalie kher..
Shukran jazakaallah heri sheikh wetu
Masha Allah tunashukur
Ameen
Manshaala tabaraka lah sheikh
😘🤲🤲🤲🤲🤲
Assalam alaykum mashekh wetu Allah awalipe mema duniani na akhera pia shekh Nuur ninaswali je mwanaada kujiita alla simakosa?maana jinahili limetajwa katika majina yalitajwa hapa mm ninahofu je inaswihi?
Mashaallah shekhe wetu
Ahsante
Masha Allah ❤
Sheikh n kishki .Tunakutaka umlipuwe msanii mzee yussuf na unafikii wake aliofanya kujifanya kwenda makka na madina kumbe mnafiki
Usimsemee mzee yusuphu jisemee wewe hunatabia mbaya
Jazakallahu ghari shehe Allah akuzidishie maana ndiko ninako elekea nitayafwata.
Amin
Masha Allah sheikh . I have one question my question is what can you do if somebody abuse Prophet Muhammad(Scw) one woman from somalia abuse our prophet and sometimes she say she is a muslim and sometimes she say she not muslims what can do to someone that's?
What
Allah karim
Mkumbushe aliofanya msani mzee yussuf ni unafiki
Wewe unamangapi uliofanya ya unafki sasa tubu wew na umuombee duwa mzeee yusuphu
Acha kuchanganya mada wewe si umwambie kwamda wako
You
Swadkatah
Masha Allah
Shukran allaah awahifadhi
Mamimi na wewe Allah athifadhi
Shukraan