Mashaallah Sheikh Kishki Mola Akujalie zaidi na Akupe afya njema Kwa maisha wako wote..Endelea kutangaza dini ya Mola Wetu na kuonya watu kama hawa ambae analete chuki ya deni kwa ulimengu.Hongera Hongera Hongera sana sheikh Wetu mpendwa sheikh nuridin kishiki...
Tumuombe Manani Allah Amdumishe Rais, Doctor Samia Suluhu Hasani Adumu katika Uongozi wake Kwa Kadari Aliyo mwandikia.Amiina.Wenyefitina ziwarejee wenyewe.Amiina.
Sema shekh unatumia nguvu sana.. Huyo Munishi ni kuongea nae taratibu tu sio kwa style hyo.... Na sio msikitini Ni kujitokezatu kwenye mtandao na kumjibu tu taratibu...
Mashaallah Sheikh Wetu Nuridin Kishiki,Muonye kabisa Huyu Munish Si Ata kiongozi wa deni,Ni kiongozi wa sheitani,Kiongozi wa Dini hawezi biheve vile huyu sheitani Munish anabiheve...akome kabisa tena aheshemu Rais Samia Suluhu Hassan,Rais Wetu Mama Suluhu Amechaguliwa na wanainchi wote wa Tanzania...
Nakupongeza sana Shehe Kishik kwa hotuba yako nzuri yenye busara kubwa. Umeshughulika na mkosaji mmoja Munish, tofauti na mashehe wengine ambao kwa kosa la munish tu, Wakristo na Ukristo umetukanwa.Nasikitika kwa Mara ya kwanza baada ya uongozi wa awamu ya nne wakristo wametukanwa makafiri na shehe mmoja kwenye UA-cam,kana kwamba Munish katumwa na Madhehebu ya Kikristo.Mjue Mnishi ni mwanachama wa Chama cha siasa cha upinzani Tanzania. Pia kumbukeni Munish aliwahi kutaka kugombea Urais wakati wa ,awamu ya tatu, akamtukana sana Benjamin Mkapa, vyombo vya usalama vilipoitaka kumkamata akakimbilia Kenya anakoishi. Swali la kujiuliza je chuki za Munishi zinatokana na viongozi wa Chadema kufunguliwa mashitaka mahakamani.?6
Mbona Munishi hakukemewa na uongozi wa dhehebu lake? Nadhani hii inamaanisha kuwa wanakubaliana na yeye!!!??? 🤔 Na ikiwa ni hivyo, itakuwa ni hatari kwa Taifa ! Mungu iokoe Tz yetu 🙏🏽🤲
Na yeye kiongozi vile vile anafanya maovu kama anawadhulumu wananchi ww kishik unajua serekali na rais washafanya dhulma ngapi je umewahi kukaa kwenye membari kama hivo na kuzungumzia lolote kuhusu hayo
Hao wa kawaidaa Sana hawata jaribu wa kufikiria kutufanyia chochote ndani ya jamhuri ya muungano ss tunawajua Sanaa lakini tunawapuuzaa tu Mama Samia piga kazi hakuna wa kukutingisha wala wa kujaribu chochote
Waisramu mnaupedo upondo huvumilia yote hata mabaya na Mungu anaupendo mkubwa huwavumilia wote wanaopenda thambi kwaupendo wenu tumuonye tukalipie na tumsameje Kama Mungu anavyotusamehe,maana sisi sote mbele za Mungu tunaatia.
Wakati mwengine mashekhewetu muwache kujipendekeza mashekhe wenzenu waliwekwandani takribani myaka tisa mlikaa kimya kama hampo leo limeongelewa hijabu mwabwabwaaaja kwamasikioyangu nilimckia askofu ngajma aliongea bungeni mashekh wa uwamsho watendewe aki mlikaa kimyaaa km hamjui tafuta sehemu utulie acha kelelezako
@@brotherm8312 ukitaka kufuata sheria za zamani watu wa kale walikuwa wanatembea umbali wa taifa na taifa kwa miguu na sasa klometer 2 mnapanda magari huoni kama mnaenda kinyume na maandiko maana vitabu vya dini magari hayajatajwa
kishki mie muislamu mwenzio lakini unajikomba saana kwenye siasa unajieleza saaaan hawa jamaa hawajawahi kuwa na mapenzi na sis hata siku moja hawa hawatoabudu tunachokiabudu mpaka tufate matakwa yao kuna sehemu inabidi tuwe wakali na dini yetu unabembeleza nini hapo mumepewa umaarufu mjuwe kuwa ni dhamna mnatakiwa kukemea sio kwa kivuli cha uchama wala uraisi
Hivi mtu unapotoa comment ya kijinga kwa sheikh kana kwamba huonagi namna gani waislam tunashambuliwa wewe ndo una elimu na hekima zaidi aau ni mtu wa aina gani wewe!! Heebu tuwe na macho ya kuona bhaas na km hauna elimu bora unyamaze sio unaleta chuki na hasad za kiman-haj hapaa Wallah ifikie hatua tuambizane ukweli ili Allah atutilie uepesi kutokana na umoja wetu sio kukosoana bila elimu ... Allah anaona juhudi za masheikh km hawa wala si kwamba chuki za watu wengine zina nafasi yoyote kwa Allah
@@AliMohamed-gv7nw nimekuulz unaungana na makafir kumchafua muislam mwenzako!!!? Yn unaunga mkono hoja za hao mafedhuli walizotoa kwahy bora aache kujistiri au aendelee?.
Nimesikiliza kama dakika 1au 2 unafiki wa huyu sheikh anayesema hadharani eti huyo so called rais,wamepigiwa kura na yule mwenziwe ambaye mungu alimlaani akafa kwa kuwanyima watanzania haki waliyopewa kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowata, badala yake wakachagua tume ya uchaguzi wao na kusema sisi tunakupeni magari kwa hiyo hata kama tukishindwa lazima mtutangaze sisi.
Eti so called Rais, acha dharau, wewe... Endelea kusumbuliwa na wivu wako, maana huwezi kumfikia Mheshimiwa yule hata siku moja... Niseme tu " kila ufalme hutoka kwa Mwenyezi Mungu" ... Kazi iendelee
Wewe mjinga jahili murakkab unajua maana ya unafiki kwa mujibu wa kitabu na sunnah, jinga mkubwa unaweza kujilinganisha na shekh mkubwa kama huyu shekh??
Unafiki? Subhanallah.... Sheikh Nurdin Kishki is not by a blink of an eye a munafiq. Am a Muslim and thank Allah siwezi kukutusi but you deserve kutukanwa kwa kuleta uchochezi na kumtusi sheikh wa Allah mnafik. Mnafik tunajua ni nan... Allah Hakusohanunsho walal
Sheikhe muogope allah we unautetea uislam au unamtete samia we unajipendekeza kwa rais tyuu na sivinginevyo kwanz vazi la samia ni vazi lakiisllam hilo piya mbona unamtetea mnafki maana anahalalisha alivyo vihalamisha allah na anahalamisha alivyo vihalalalisha allah na ndo misimamizi mkuu vipi sheikhe hilo waachie wenyewe mnafki na kafli ote niwamoja mbona masheikhe wauamsho mbona hujawahi kuzungumza zulma waliofanyiwa? kwamjib wa maneno ya Allah katka sura taubah samia si mwislam huyu tuache kujipendekeza tujipendekeze kwa allah
Huu ni uchochozi wa hali ya juu sana shekh Nurdini kama angekuwa nchi nyingine ange chochea vita vya kidini asiwadnganye nia yake ni ya hatari sana.kwenye hotuba yake anawachochea waislamu
Am christian ....i always like your wisdom in every situation...una utashi na elimu..tofauti na wengine wanaoanza na matusi.
Mungu akujalie uslimu
@@husna34562 Amiin
Mungu akuoneshe njia ya HAKI usilimu na upate mwisho mwema pamoja na sisi.
Mungu akujalie umri mrefuu utuelimishe Zaid na zaidi na mungu akulindeee
Mashaallah Sheikh Kishki Mola Akujalie zaidi na Akupe afya njema Kwa maisha wako wote..Endelea kutangaza dini ya Mola Wetu na kuonya watu kama hawa ambae analete chuki ya deni kwa ulimengu.Hongera Hongera Hongera sana sheikh Wetu mpendwa sheikh nuridin kishiki...
Umeongea maneno mazuri sana shekhe watumishi wa mungu wanatakiwa kuwa na maneno ya busara kama wewe
Wale wa kumpenda Sheikh Nurdin Kishki kwa Ajili ya Allah... Nawapenda nyote, na Allah Awapende
Amin
Napenda unavyo soma neno la bibiliaaa haha mungu akujaze kila khery
Subhanallah Uislamu hauwezi kuwa dini ya kwe mpaka
Tupate watu kama
Hawa.
Hapo umeongea that's positive words 👍
Mungu akulinde kishk
Tumuombe Manani Allah Amdumishe Rais, Doctor Samia Suluhu Hasani Adumu katika Uongozi wake Kwa Kadari Aliyo mwandikia.Amiina.Wenyefitina ziwarejee wenyewe.Amiina.
SHEKHE Kishiki Tumuombe Manani Allah Akujalie zaidi katika Kutetea AMANI ya Tanzania na Dini ya Kiislam.Amiina.
Uyo pastor apuuzwe ,pia nashauri akapimwe mkojo
😄😄😄😄
😄😄😄
😄
Sema shekh unatumia nguvu sana..
Huyo Munishi ni kuongea nae taratibu tu sio kwa style hyo....
Na sio msikitini
Ni kujitokezatu kwenye mtandao na kumjibu tu taratibu...
Nami nampigia Salut babu WA kisabato🤚 ❤️🌹
Mashaallah Sheikh Wetu Nuridin Kishiki,Muonye kabisa Huyu Munish Si Ata kiongozi wa deni,Ni kiongozi wa sheitani,Kiongozi wa Dini hawezi biheve vile huyu sheitani Munish anabiheve...akome kabisa tena aheshemu Rais Samia Suluhu Hassan,Rais Wetu Mama Suluhu Amechaguliwa na wanainchi wote wa Tanzania...
Nakupongeza sana Shehe Kishik kwa hotuba yako nzuri yenye busara kubwa. Umeshughulika na mkosaji mmoja Munish, tofauti na mashehe wengine ambao kwa kosa la munish tu, Wakristo na Ukristo umetukanwa.Nasikitika kwa Mara ya kwanza baada ya uongozi wa awamu ya nne wakristo wametukanwa makafiri na shehe mmoja kwenye UA-cam,kana kwamba Munish katumwa na Madhehebu ya Kikristo.Mjue Mnishi ni mwanachama wa Chama cha siasa cha upinzani Tanzania. Pia kumbukeni Munish aliwahi kutaka kugombea Urais wakati wa ,awamu ya tatu, akamtukana sana Benjamin Mkapa, vyombo vya usalama vilipoitaka kumkamata akakimbilia Kenya anakoishi. Swali la kujiuliza je chuki za Munishi zinatokana na viongozi wa Chadema kufunguliwa mashitaka mahakamani.?6
Mbona Munishi hakukemewa na uongozi wa dhehebu lake? Nadhani hii inamaanisha kuwa wanakubaliana na yeye!!!??? 🤔 Na ikiwa ni hivyo, itakuwa ni hatari kwa Taifa ! Mungu iokoe Tz yetu 🙏🏽🤲
Munishi katatizika Tu,wstanzania waislamu na wakristo endeleeni kuishi Kwa Amani,nyie ni mfano wa kuigwa.
Waislamu amkeni muhakikishe mnamtetea mama Samia mana ni mikakati iliopo makanisani kuwachafulia viongozi waislamu mitandaoni
Hata swala la katiba mpya ni miongoni mwa mikakati y kumsumbua kiongozi huyu wa kiislamu
Waislamu amkeni kumsafisha mama Samia jaman tutakuja kumkumbuka Mana viongozi wa kiislamu wanapugw Vita miaka mingi
kwani serikali ina dini?
Kwani anafata Sheria yakiislaam
Unao ushaidi
Kweli kbs akiingia muisilam maneno nimengi ndugu zetu tuungane tujenge nchi.
Bass haya
Uko vizuri Shekh
Ekima nyingine inaitaji upole. Kisha upendo utatawala. Uvumilivu utawale miongoni mwenu.
Na yeye kiongozi vile vile anafanya maovu kama anawadhulumu wananchi ww kishik unajua serekali na rais washafanya dhulma ngapi je umewahi kukaa kwenye membari kama hivo na kuzungumzia lolote kuhusu hayo
Hao wa kawaidaa Sana hawata jaribu wa kufikiria kutufanyia chochote ndani ya jamhuri ya muungano ss tunawajua Sanaa lakini tunawapuuzaa tu Mama Samia piga kazi hakuna wa kukutingisha wala wa kujaribu chochote
Waisramu mnaupedo upondo huvumilia yote hata mabaya na Mungu anaupendo mkubwa huwavumilia wote wanaopenda thambi kwaupendo wenu tumuonye tukalipie na tumsameje Kama Mungu anavyotusamehe,maana sisi sote mbele za Mungu tunaatia.
MashaAllah
Mashallah
Munish Ni mjinga sidhani Kama amesoma biblia, huyu biblia anaitumia kutunga nyimbo tu. Akemewe vikali sana.
Shekh alhadi kwani anasemaje
Kweli basi
Ule unaitwa mtandio sio hijab
Wakati mwengine mashekhewetu muwache kujipendekeza mashekhe wenzenu waliwekwandani takribani myaka tisa mlikaa kimya kama hampo leo limeongelewa hijabu mwabwabwaaaja kwamasikioyangu nilimckia askofu ngajma aliongea bungeni mashekh wa uwamsho watendewe aki mlikaa kimyaaa km hamjui tafuta sehemu utulie acha kelelezako
Kila mmoja afate dini yake usingilie uislam kama hamuwezi vumilia maneno ata maria alivaa hijab sasa mm nawashanga sana wakristo
@@brotherm8312 wakristo wanavaa hijabu moyoni siyo kichwani
@@brotherm8312 ukitaka kufuata sheria za zamani watu wa kale walikuwa wanatembea umbali wa taifa na taifa kwa miguu na sasa klometer 2 mnapanda magari huoni kama mnaenda kinyume na maandiko maana vitabu vya dini magari hayajatajwa
@@ramadhanmahongole5663 ulisikia wap ukipanda gar ni haram ama ndege toa aya kama unayo
hiyo ndio haki hasan waziri vumilia sindano ingie mbuyu ulianza kama mchicha upo? fungua akiliyako
kishki mie muislamu mwenzio lakini unajikomba saana kwenye siasa unajieleza saaaan hawa jamaa hawajawahi kuwa na mapenzi na sis hata siku moja hawa hawatoabudu tunachokiabudu mpaka tufate matakwa yao kuna sehemu inabidi tuwe wakali na dini yetu unabembeleza nini hapo mumepewa umaarufu mjuwe kuwa ni dhamna mnatakiwa kukemea sio kwa kivuli cha uchama wala uraisi
Hivi mtu unapotoa comment ya kijinga kwa sheikh kana kwamba huonagi namna gani waislam tunashambuliwa wewe ndo una elimu na hekima zaidi aau ni mtu wa aina gani wewe!! Heebu tuwe na macho ya kuona bhaas na km hauna elimu bora unyamaze sio unaleta chuki na hasad za kiman-haj hapaa Wallah ifikie hatua tuambizane ukweli ili Allah atutilie uepesi kutokana na umoja wetu sio kukosoana bila elimu ... Allah anaona juhudi za masheikh km hawa wala si kwamba chuki za watu wengine zina nafasi yoyote kwa Allah
Kishky jielewe usijipendekeze kwamatwaghut Kwanza Kama mnamtetea mama nauislam wake basimwambieni asivae masuruali
Wewe mpuuzi unajua maana ya kujiwlewa? Jahili murakkabu, unataka mashekh zetu wafanye kazi kwa uelewa wako finyu!!!!
@@banihashim5347 hujielewi ww mtu wakujipendekeza kwawatawala ww nashehe wako
@@AliMohamed-gv7nw khawarij wewe, hata dini hujui, unaweza kuwafikia mashekh wetu kwa elim ya dini,
@@banihashim5347 khawarij ww afatuuminuna bibaadwi lkitaab watakfuruna bibaadhw unatetea ushungi ulokua hauja valiwa kisheria mbona hamsemi asivae suruali nayeye nimwnmke wakiislaam
@@banihashim5347 halafu ww ulosoma unamjua Nan khawaarij sawa mm khawarij ilapia simsaka tonge
Halafu nyny kinakishki hamjielewi niushungi gani uleunokubalika nasheria au kwasababu kasema pasta mbona mama yule avaa masuruali mbona hamusemi
Mtihani Tu mmi sioni heshima ya samia
Kwahy ww unaungana na makafir kumchafua muislam mwenzako!? Amkeni nyie au na nyie mnachuki zenu kwa rais?
@@cityhunter6858 kwhyo hata ukikosea usapotiwe kwakua muislam iyo haijawa hoja bado
@@AliMohamed-gv7nw nimekuulz unaungana na makafir kumchafua muislam mwenzako!!!? Yn unaunga mkono hoja za hao mafedhuli walizotoa kwahy bora aache kujistiri au aendelee?.
@@cityhunter6858 halafu ww simuislaam kwani hv nambie vazi lastara la mwanamke wakiislam linakua vp?
Nimesikiliza kama dakika 1au 2 unafiki wa huyu sheikh anayesema hadharani eti huyo so called rais,wamepigiwa kura na yule mwenziwe ambaye mungu alimlaani akafa kwa kuwanyima watanzania haki waliyopewa kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowata, badala yake wakachagua tume ya uchaguzi wao na kusema sisi tunakupeni magari kwa hiyo hata kama tukishindwa lazima mtutangaze sisi.
Eti so called Rais, acha dharau, wewe... Endelea kusumbuliwa na wivu wako, maana huwezi kumfikia Mheshimiwa yule hata siku moja... Niseme tu " kila ufalme hutoka kwa Mwenyezi Mungu" ... Kazi iendelee
Wewe mjinga jahili murakkab unajua maana ya unafiki kwa mujibu wa kitabu na sunnah, jinga mkubwa unaweza kujilinganisha na shekh mkubwa kama huyu shekh??
Unafiki? Subhanallah.... Sheikh Nurdin Kishki is not by a blink of an eye a munafiq. Am a Muslim and thank Allah siwezi kukutusi but you deserve kutukanwa kwa kuleta uchochezi na kumtusi sheikh wa Allah mnafik. Mnafik tunajua ni nan... Allah Hakusohanunsho walal
Kishiki wacha kujipendekeza kwa serekali
Pumba wew
Akilihuna we dada
Kumbe we ndo kishk hata shule hujaenda, umeongea utumbo mtupu, we ni mshabik tu
Wewe siuweke clip yako moja kwa UA-cam kama we ni mshujaa
@@mazbootmedia319 Ndio ntaweka lakin sio ya kulialia kama mtoto mnalalamika lalamika tu kwa mambo madogo
@@shammhagama2527 pumbavu ww mambo madogo kwa kuwa kafanya kafiri mwenzio ?mbuzi ww
@@kishingokishingo1840 hahahaha kweli nimekubali nyie ni watu wa Shari sana , sasa povu lote la nini,
@@shammhagama2527 kakojoe ukalale
Sheikhe muogope allah we unautetea uislam au unamtete samia we unajipendekeza kwa rais tyuu na sivinginevyo kwanz vazi la samia ni vazi lakiisllam hilo piya mbona unamtetea mnafki maana anahalalisha alivyo vihalamisha allah na anahalamisha alivyo vihalalalisha allah na ndo misimamizi mkuu vipi sheikhe hilo waachie wenyewe mnafki na kafli ote niwamoja mbona masheikhe wauamsho mbona hujawahi kuzungumza zulma waliofanyiwa? kwamjib wa maneno ya Allah katka sura taubah samia si mwislam huyu tuache kujipendekeza tujipendekeze kwa allah
Mashallah 🙏🙏🙏🙏
Acha uchochez kwan hlo vaz nladn ngan,kwanza ww nmwarabu tuachie nch yetu
Shekh Nurdin wewe mchochezi na hatari sana katika taifa letu,ila umejificha sana nawatu wengi hawatakujua,,
Huu ni uchochozi wa hali ya juu sana shekh Nurdini kama angekuwa nchi nyingine ange chochea vita vya kidini asiwadnganye nia yake ni ya hatari sana.kwenye hotuba yake anawachochea waislamu
Sikiliza vizuri pamoja ya kuwa anatetea rais basi anatetea na #hijabu
MashaAllah