IPM kuwaambia wakristo "watoe kafara" ili wafanikiwe umevuka mipaka. Utashugulikiwa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc Місяць тому +7

    Mbalikiwa mim nimuislam lakini nakuamin saana ,so ubarikiwe mtumish wa mungu

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 Місяць тому +3

    Wataishiya kuumbuka wote hongera shujaa wa Mungu Mbarikiwa Mwakipesile wetu ❤
    Eh Mungu wa Mbarikiwa Mwakipesile wetu mponye mke wangu anauguwa kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo amen. 🧎

  • @petermasanyiwa2868
    @petermasanyiwa2868 Місяць тому +4

    Baba yangu Mbarikiwa ahsante sana, unafanya kazi kubwa sana, Endelea kunyoosha palipo pinda, Mimi unanisaidia sana, umenifungua pakubwa sana! Wewe ni jasiri ninafurahi kwa maana wewe hautishwi na chochote Baba, Bali upo tayari kunyoosha ukweli

  • @user-qo9qz6gx9e
    @user-qo9qz6gx9e 17 днів тому

    Mungu akubariki sana mbarikiwa pia akulehemu ikiwa kunakosa lolote unalotenda katika kutetea injili ya kweli ya Kristor

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa Місяць тому +1

    Nimesikiliza maandiko yaliyosomwa humu, heshima yako mzee kwa kazi hii kubwa. Ameen amen

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому +4

    Kwenye hili mbalikiwa yupo sawa

  • @AmosLameki
    @AmosLameki Місяць тому +4

    Waebrania 12.2 "tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu;...."

  • @peterkaji7552
    @peterkaji7552 Місяць тому

    Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu za Roho Mtakatifu, kazi unayofanya ni kubwa sana sana kwa kizazi hiki na kijacho. Amina.

  • @jackieevangelist32
    @jackieevangelist32 Місяць тому +1

    Amina mchungaji, usiache kupigania haki. Nakufwatilia nikiwa Nairobi Kenya

  • @SarahStephano-v2m
    @SarahStephano-v2m Місяць тому +3

    😢IPM NI NYOKA WATU WALIOKATALIWA

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 Місяць тому +1

    Kweli bora "mshua" aje mwenyewe anaowatuma miyeyusho😂😂😂😂

  • @194summer
    @194summer Місяць тому +2

    Injili ya kweli imebaki na watu wa chache sana,watu wanatafuta pesa kwa Yesu ,hichi ni kizazizi cha nyoka

  • @user-dy4pw8ts9p
    @user-dy4pw8ts9p Місяць тому +2

    Rwanda tunakufuatilieni na kukusikia vema, hiyo ndio injiri halis

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 Місяць тому

    Yes safi kabisa mtumishi wa Bwana, chapa injili SANA baba kikosi chenu tumeshakielewa!

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 Місяць тому +1

    yani siku zote msema kweli hana haki ila Namwamini Mungu hata kuacha endelea kuwaumbua mbarikiwa wacha wakufunge wakutese ila ukweli umesema 🙏🙏🙏🙏

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 Місяць тому

    👏👏👏

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Місяць тому

    ❤❤❤🎉🎉Muñgu akulinde Mubarikiwa

  • @SarahStephano-v2m
    @SarahStephano-v2m Місяць тому +4

    IPM UNADHARAU, au UNAKUFURU KAZI ALIYO IFANYA YESU MSALABANI UMEPOTEA SANA SIKIDOGO

  • @wizebiligetwaziri5540
    @wizebiligetwaziri5540 Місяць тому

  • @mamaafricafashion2759
    @mamaafricafashion2759 Місяць тому

    Mungu azindishe Karama Iho alihoweka dani yako❤❤❤❤❤❤❤

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn Місяць тому +1

    Baadhi Yao, Watu Walizoea kuwa wakija katika Ukristo wanajizolea pesa, kwa njia ya Udanganyifu kwa vitu vichafu kama hivyo watumiavyo.
    Kwahiyo walidhani au kujua kabisa; kuwa Nyakati hizi na zilizo pita kwamba Wako Miongoni Watu wanao soma Gombo kwa tafakari na kwa kusudi hileile ilivyokusudiwa katika Neno hilo!.

  • @HabilyTech
    @HabilyTech Місяць тому

    Asante sana Mchungaji kwa kunyoosha hilo

  • @bumijamshana1045
    @bumijamshana1045 14 днів тому

    Umechemka ipm sisi Yesu alifanywa kua kafara umechemka unadanganya watu wakristo mwacheni mtoa kafara

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 Місяць тому +1

    Uyo IPM ni pepo

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 Місяць тому +1

    Kafara za wanyama hapa na hayo mambo ni ya wapagani usituletee kwa wakristo waachie waislamu kafara YESU anatutosha.usituletee ushirikina kanisanihuo ni uchawi

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono Місяць тому

    Kanisa limeingiliwa

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому +2

    Ipm hajaokoka

  • @davidchosen3831
    @davidchosen3831 29 днів тому

    Mbarikiwa hujamwelewa ipm.Yesu mwenyewe alishiriki pasaka ambayo ndio kafara(yaani kuchinja )Luka 22:7).
    Damu ya yesu ni kwa ajili ya ondoleo la dhambi wala sio utajiri.
    Ila kuchinja ni kwa ajili ya utajiri.Mwanzo 22;1 nakuendelea.
    Mwenyezi mungu alichinja ku koa adamu na hawa.
    Adamu alichinja kondoo na kapewa na Mungu.
    Mnona mnampinga ipm?acheni mapokeo potovu ya wazungu ya someni bibilia

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  29 днів тому

      Sikiliza mpaka mwisho. Mbarikiwa amefafanua kuhusiana na njia ya utajiri isiyo ya kubeti au ushirikina

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 28 днів тому

    Ipm bado ni muislam na anaushirikina, tena mshirikina sanaa. sijawahi kumuelewa chawi kabisa ile.

  • @damasiasimba-lk5os
    @damasiasimba-lk5os Місяць тому +2

    Yaan kuna watu wameamua kuuharibu ukristo

  • @yasintamrema5240
    @yasintamrema5240 Місяць тому +2

    Kafara ilishatolewa mara moja iliyomaliza YOTE.

    • @mimiyeye123
      @mimiyeye123 15 днів тому

      Hakika na mtu akitaka kutoa kafara basi hajui chochote kuhusu Yesu

  • @seerdoreen8005
    @seerdoreen8005 Місяць тому

    I blocked him along time ago🤮

  • @BishopMabumba
    @BishopMabumba Місяць тому

    Safi sanaaaà!!!!

  • @user-ub2rp4yv4c
    @user-ub2rp4yv4c Місяць тому

    Mbarikiwa unaamini unabii upo kwa binadam kama ww?

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Місяць тому

    Ee!
    Mungu wangu . Hawa watu jamani 😢

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 Місяць тому +1

    IPM ni wakili wa kuzimu someni warumi 12 :2 itoeni miili yenu kuwa dhabihu . Siyo kutoa kafara hakika shina la uharibifu limeingia patakatifu IPM acha ushetani na uganga wako ushindwe kwa Jina la Yesu na upotee kabisa

  • @adenhyera4820
    @adenhyera4820 Місяць тому

    Watu watatimiza ubabii bila kujijua wana timizaaa unabiii hawa manabii uwongo wapo wengi😊

  • @bumijamshana1045
    @bumijamshana1045 14 днів тому

    IPM UMECHEMKA RUDI UISLAMU UMACHEMKA UKRISTO UMEKUSHINDA UNARUDI KUTOA MAKAFARA RUDI UISLAMU KAZI HUNA

  • @Pastorevance
    @Pastorevance Місяць тому

    Hiyo ni sauti ya mtu aliaye toka gereza, anasema itengenezeni njia yangu yanyosheni mapito yako,
    Barikiwa kama jina lako maana unatufumbua macho sisi watumish wenzako huku.

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 Місяць тому

    Tbj,hakupiga debe la sdk, yoyote,alihubiri upendo na msamaha hamkumuelwa,,Sasa mnapambana Kila mtu na lake hapo sasa

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 Місяць тому

    Khaaaaaaa hee uuuwiiii, mbona kama nahisi kutetemeka Mimi?? Nini hiki tena??? EehnYesu njoo mwenyewe usitume malaika!!!!!

  • @user-ub2rp4yv4c
    @user-ub2rp4yv4c Місяць тому

    Mbarikiwa kalama ya unabii unaamini ipo?

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 Місяць тому

    Wachungaji na viongizi wa dini kaeni chini mjadili vile mtawapeleka wafuasi wenu kuliko kurushiana maneno ya kukosoana Kwa maneno makali kwenye vyombo vya habari.
    Muweke misingi Bora ya kutoa neno la Mungu, muweke mipaka ya maneno ya kuhubiri.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 16 днів тому

      Ukifanya ubaya utakemewa hadharani ili na wengine waogope kufanya ubaya

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 Місяць тому

    IPM ni mganga wa kienyeji Mwenye kanisa

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Місяць тому

    IPM unafeli Muñgu akusaidie

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc Місяць тому

    Ilo lijamaaa nijizi ilo chawi halina Imani silipendi saana chizi ilo

    • @omuze1290
      @omuze1290 Місяць тому

      Mtu aliye na chuki kwa mwenzake ana tofauti gani na mchawi?

  • @194summer
    @194summer Місяць тому

    Siku za mwisho tutona mengi

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Місяць тому

    IPM ni tapeli tu hakuna Mchingaji hapo! Pumbavu kabisa!

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому

    Kwahili upo sawa huyu nikundi moja na nini ya uchawi alietimuliwa

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    Huwa wanaanza kuchinja ndege unapewa utajiri kisha unaambiwa ulete mbuzi kisha ng'ombe ukitoka level ya ng'ombe unakufa level ya kuchinja mtu ndo haya mambo ya albino kwa level za juu.
    Huyu ni mchawi kama wengine tu aliyefata sadaka kwenye Ukristo

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    Kuchinja ni elimu ya kale ya wamisri wale wa Kermit ndio anachofanya chief good love alama ni ule msalaba wenye duara kwa juu ni uchawi wa kafara sawa na hawa matajiri wa ndagu wanaoangusha mabus.

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 Місяць тому

    mbalikiwa mtu wahaki na muwakilishi wa mungu wa mbinguni uko makini sanaaaaa sanaaaaa hakuna pepo wala shetani mwenyewe apite pite tu afanye anavyotaka

  • @SarahStephano-v2m
    @SarahStephano-v2m Місяць тому

    IPM NI NYOKA WATU WALIOKATALIWA

  • @valerianrugalabamu7528
    @valerianrugalabamu7528 Місяць тому

    Naona mnapishana kwenye uelewa katika kiswahili

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Місяць тому

    Tulio wa rohoni tulishamgundua Ipm kuwa ni Mwislamu😂

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 Місяць тому

    Mimi huyu lPM ninaona ni shetani hafai hata kuwa mchungaji kabisa

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому

    IPM NI MOMJA NA AKINA SUGUYE ,MWAMPOSA NA GEODEV

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 Місяць тому

    Ipm weka kibao Cha mganga sio kanisa,unarudisha watu Misri,serikali itupie jicho Hilo kanisa,sdk za wanyama zipo na utaratibu wake kwa hbr ya kanisa,

  • @CreedySotte-ko8zj
    @CreedySotte-ko8zj Місяць тому

    Mbarikiwa nipo isyese kwa mtawa kanisa lako lipo wapi

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 Місяць тому

    Hakika wewe ndiye mtu wa Mungu uliyepo na unaye kubalika huko tanzania, Africa na hata ulimwenguni pote. Alafu mtu kama huyo mwingine anayekufuru kiasi hicho mbona hachukuliwi hatua?

  • @NeemaHamissi
    @NeemaHamissi Місяць тому

    Myama ameinuka kuwakokota wajinga na wanapotea yumkini na wateule

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    IPM na Mwalimu Benson waangalieni vizuri wamekuja kuwapotosha Wakristo

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc Місяць тому

    Lakini dunia inamajitu majinga jaman ivi kabisa unaliamin ilo li. I,p,m jamani kweli ?

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому

    Alafu haya Mambo yakuchinja ,kayatoa ,wapi wakati kaingia uklisto juzi 2 ?

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 Місяць тому

    Hivi ndo tumefika huku,na ukifanya damu ya Yesu kuwa dhaifu kiasi hiki? Machozi yananitoka Naona moyo wa Yesu unavuja damu!! Na Roho yake inalia kwa Siri!! Mbona kuidharau kazi ya msalaba kiasi hiki? Kweli imeandikwa,, NA HAPA NDIPO PENYE IMANI NA SUBIRA YA WATAKATIFU ,ASOMAYE NA AFAHAMU

    • @NeemaHamissi
      @NeemaHamissi Місяць тому

      Kweli dada rose tuko wakati wa kujitambua mnyama yupo kutenda kazi na wengi anawakokota kuzimu

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 Місяць тому

      IPM si ndio huyu anaeruhusu wakristo kuuza sigara kwenye maduka yao??

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 Місяць тому

    Hayo ni mabay yake haya tupe na mazuri yake,pia kiondoe kibanzi kwenye jicho laki mbalikiwa ndio umsene mwenzako kidole kimoja kwa mwenzako vitatu kwako wewe sio MUNGU mbarikiwa hupaswi kuhukumu unaingalia kazi ya MUNGU wewe ni binadamu wa kawaida tu

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Місяць тому

      tokapa pepo wee 😏 😏😏

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 Місяць тому

      Kojoa ukalale

    • @AnaniaKyando
      @AnaniaKyando Місяць тому

      Acha kwenda kanisan unapoteza na mda wako bule pumbavu

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 Місяць тому

      @@ernestkatyega5781 Mungu hupitia wanadamu kulikosoa kanisa lake chapa kazi Mbarikiwa Mwakipesile wetu.

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 Місяць тому

      Wewe ndiyo miongoni Mwa mashetani wajingawajinga kweli. Unaongea nini? Umetumwa na huyo Baba yako? Kwa hiyo wewe unapoandika kikoment chako hapa wewe humhukumu Mbarikiwa?

  • @nathanmateow9455
    @nathanmateow9455 Місяць тому

    Unapotaka mkosoa mtu sikiliza Hadi mwisho ujue alimaanisha Nini sio nusu kipa de,hata bibilia ukisoma nusu nusu utasema imekosea,Kuna sehemu neno linasema heli kuwa moto au baridi hii haimaanishi neno liliruhusu pia dhambi,Mbarikiwa punguza kuwa na haraka kujibu watu.

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 Місяць тому +1

      Wewe umemsikiliza Mbarikiwa Hadi mwisho? Kwa akili zako hayo asemayo IPM ni sahihi Kufanya kwa mjibu wa maandiko?

    • @nathanmateow9455
      @nathanmateow9455 Місяць тому

      @@elishadodi8787 kwa nilivyomsikiliza Mbarikiwa hakumwelewa au hakusikiliza somo lote la IPM.

  • @SarahStephano-v2m
    @SarahStephano-v2m Місяць тому

    IPM NI NYOKA WATU WALIOKATALIWA