Jamani jamani tuacheni utani watanzania wetu wamepoteza uhai kweli ila tunaomba serekali iwalete wataalamu wa hali ya juu sana maana tumeumia sana kupotenza ndungu zetu wengi kiasi hichi imetuuma sana na pia tunamuomba mama yetu Raisi wetu na tunaimani atalifanyia kazi tunakuomba mama yetu jamani
Tz hata kwenye mambo ya kitaalamu wanataka wachanganye na siasa kweli bado sana kuifikia nchi ya ahadi . Jembe Magufuli angekuwepo hata taarifa tungeipata kwa usahihi
Me nikajua hanan'g ni china jaman duuu!!..Any way mungu azitie nguvu familia zilizopotelewa na familia zao na kuzilaza mahari pema peponi roho za marehem wote
Wenyeji wanasema MLIMA umeunguruma siku Tatu serkali hajachukua hatua yeyote kwnn mnajizma data et umezimika volcano, wenyeji wanasema MLIMA umeunguruma siku Tatu we hujaenda shule,hata 2017 ulilipuka,uliza watu wa kindambi ndoo waloona ulilipuka hua wanaona Moto JUU,ya MLIMA,
We unayajua ulichukua hatua gani? Je, kama ni kweli wananchi wenyewe waliposikia walichukua hatua gani? Sometime tusiwe tunajilalamisha Tu na kuilaum serikali wakati mwingine tujiulize Sisi wenyewe binafsi tumechukua hatua gani??? Na hii aimaanishi kuwa Mimi sina uchingu na watu waliopoteza MaiShA,wapendwa,Makazi na majeruhi no,huruma ninayo Sana Ila we uliyeandika ujumbe (comment) umeandika Kwa rawama ambazo hazistahili kuelekea serikalini. Majanga hayana mwenyewe na yanapotokea watu wote inabidi tuungane kutajubari nzkukabiliana nayo na sio kurusha lawama sehem yoyote
Eneo la mlima ni hifadhi na watu hawaruhusiwi kuingia huko hivyo yanayotokea huko wahifadhi ndio wanapaswa kujua na kutoa tahadhali mwanainchi anakosa gani kulalamika wakati maelezo ya mhifadhi hayaonyeshi kujua kitu chochote kuhusu mlima huo mwaka jana tulisoma kwamba moto na moshi ulionekana huko huyo mhifadhi hana taarifa au anajizima data hata maana ya kuhifadhi sasa inakosa maana kabisa.
Nature haifi.hiyo ni volcano ya tope.ninachohisi mimi labda iliyokufa ni ile hali ya kutoa lava na ndo maana mawe yalitoka mazima pamoja na tope.hiyo ni volcano,
@@allyfatma7359 kaka wameshasema tope halikutoka ndani ya mlima bali ni sehemu ya nje ardhi ya mlima iliyomomonyoka baada ya kushiba maji ndio maana tope hilo liliambatana na mawe pamoja na mitti na mawe ndio chanzo kikubwa cha kuvunja nyumba nyingi.. isitoshe mawe ya volcano huwa hayaporomoki mkuu kama yalivyoporomoka hayo..huwa yanarushwa kutoka kwenye mdomo wa mlima tena yakiwa ya moto..mlima uliowahi kurusha mawe ni Kilimanjaro ambayo nayo imelala ndio maana wataalamu wanaiita the sleeping giant
Kwa Nini msichukue satellite photos juu kabisa ya mlima au kwenda Na helikopta kama hamna uwezo au ujasiri washirikisheni watu wa mataifa mengine haswa wazungu ndio hobby zao hiking 🥾. kila kitu ni possible wananchi wanasema mlima ulitokota kama siku tatu Na lile tope lilikuwa Na moshi Na miaka ya nyuma wameona moshi mlimani , kwa Nini mambo yetu yote ni yamejaa siasa? Lini tutajifunza ??
Chanzo cha tatizo kinaeleweka kabisa, ukataji wa miti na kuweka ma-camp site na madaraja hayakufuata contuor ya mlima huo na ndicho kimekuwa chanzo cha mud slides. Sidhani kama ilikuwa ni tectonic plate shifting. Ni ukataji wa miti hasa sehemu zinazoomekana zimekatwa miti mingi.
Kumbuka huo ni mlima wa kivolkano..na huo mlima ulishawahi lipuka karne ilopita...hicho ni magma imelipuka na kusambaa. Kumbuka wamesimulia wengi waliona kitu cheusi angani mwisho kikashuka kikiambatana na moshi huku kikiwa na moto..tectonic plates ni kweli kwa vile huo ni ukanda wa bonde la ufa na mtikisiko wake hutuathiri hata sisi.
Carefully study on geologist should be taken seriously into consideration,,,because no other person would go and explain such kind of disaster,,We need those who they called themselves as geologist to come and explain to people how they can avoid such kind of disaster,,because is a Big Disaster now to the whole word
Sawa🎉
Poleni sanahanang
Ee, MWENYEZI MUNGU nakuomba uwarehem marehemu wooote waliotutangulia mbele za haki maana kifo ni ahadi nani nakuomba utujalie kifo chema 😢😢
Wa kwanza kukomenti , asante Kwa historia
Jamani pole KWA maafa Mwenyez Mungu atusaidie
Hiyo mimawe khaa. Nashukur kupata historia ya Hanang
mwenyezi mungu azilaze loho zamarehem wote pepon
Pole sana ndugu jamaa na marafiki
Jamani jamani tuacheni utani watanzania wetu wamepoteza uhai kweli ila tunaomba serekali iwalete wataalamu wa hali ya juu sana maana tumeumia sana kupotenza ndungu zetu wengi kiasi hichi imetuuma sana na pia tunamuomba mama yetu Raisi wetu na tunaimani atalifanyia kazi tunakuomba mama yetu jamani
Tz hata kwenye mambo ya kitaalamu wanataka wachanganye na siasa kweli bado sana kuifikia nchi ya ahadi . Jembe Magufuli angekuwepo hata taarifa tungeipata kwa usahihi
Kabisaaa mwanangu
Natokea wilaya ya mbulu manyara ila Kwa Sasa nipo shinyanga ila suala la janga la HANANG imeniuma sana
Pole
Me nikajua hanan'g ni china jaman duuu!!..Any way mungu azitie nguvu familia zilizopotelewa na familia zao na kuzilaza mahari pema peponi roho za marehem wote
😂😂 hata Mimi nilijuwa hivyo
Ata mm mwazo nilijua china
Kuna majina ya ajabu ukienda manyara huko,unaijua dongbesh?au unajua hanang2
@@omarylukindo5306 😂😂 nahs ni dawa ya ukimw hiyo
Kumbe tupo wengii😂😂
Basi km volkano ilikufa sasa imefufuka mijiwe mikubwa hiyo ilivyoporomokaa hatar.
Wenyeji wanasema MLIMA umeunguruma siku Tatu serkali hajachukua hatua yeyote kwnn mnajizma data et umezimika volcano, wenyeji wanasema MLIMA umeunguruma siku Tatu we hujaenda shule,hata 2017 ulilipuka,uliza watu wa kindambi ndoo waloona ulilipuka hua wanaona Moto JUU,ya MLIMA,
We unayajua ulichukua hatua gani?
Je, kama ni kweli wananchi wenyewe waliposikia walichukua hatua gani?
Sometime tusiwe tunajilalamisha Tu na kuilaum serikali wakati mwingine tujiulize Sisi wenyewe binafsi tumechukua hatua gani???
Na hii aimaanishi kuwa Mimi sina uchingu na watu waliopoteza MaiShA,wapendwa,Makazi na majeruhi no,huruma ninayo Sana Ila we uliyeandika ujumbe (comment) umeandika Kwa rawama ambazo hazistahili kuelekea serikalini.
Majanga hayana mwenyewe na yanapotokea watu wote inabidi tuungane kutajubari nzkukabiliana nayo na sio kurusha lawama sehem yoyote
Eneo la mlima ni hifadhi na watu hawaruhusiwi kuingia huko hivyo yanayotokea huko wahifadhi ndio wanapaswa kujua na kutoa tahadhali mwanainchi anakosa gani kulalamika wakati maelezo ya mhifadhi hayaonyeshi kujua kitu chochote kuhusu mlima huo mwaka jana tulisoma kwamba moto na moshi ulionekana huko huyo mhifadhi hana taarifa au anajizima data hata maana ya kuhifadhi sasa inakosa maana kabisa.
@@bodyamanmi ambacho sifurahii ni kuongopea watu

Kweli Hamis..wanakanusha nn..!
Nature haifi.hiyo ni volcano ya tope.ninachohisi mimi labda iliyokufa ni ile hali ya kutoa lava na ndo maana mawe yalitoka mazima pamoja na tope.hiyo ni volcano,
Sahh nivolcano
@@JumaJuma-fu7ji hawataki kusema kweli.wanasababu zao.
Ally nature can die brother..kama ilivyo Meru imekufa mzee baba..na hilo tope na mawe havijatoka kwenye mdomo wa mlima
@@rockygappi1018 watuambie sasa,tope limetoka wapi.?
@@allyfatma7359 kaka wameshasema tope halikutoka ndani ya mlima bali ni sehemu ya nje ardhi ya mlima iliyomomonyoka baada ya kushiba maji ndio maana tope hilo liliambatana na mawe pamoja na mitti na mawe ndio chanzo kikubwa cha kuvunja nyumba nyingi.. isitoshe mawe ya volcano huwa hayaporomoki mkuu kama yalivyoporomoka hayo..huwa yanarushwa kutoka kwenye mdomo wa mlima tena yakiwa ya moto..mlima uliowahi kurusha mawe ni Kilimanjaro ambayo nayo imelala ndio maana wataalamu wanaiita the sleeping giant
Kwa Nini msichukue satellite photos juu kabisa ya mlima au kwenda Na helikopta kama hamna uwezo au ujasiri washirikisheni watu wa mataifa mengine haswa wazungu ndio hobby zao hiking 🥾. kila kitu ni possible wananchi wanasema mlima ulitokota kama siku tatu Na lile tope lilikuwa Na moshi Na miaka ya nyuma wameona moshi mlimani , kwa Nini mambo yetu yote ni yamejaa siasa? Lini tutajifunza ??
Ushirikishwe ww Sasa mana unaonekan ww fundi wa mambo hayo
😅😅😅
Washirikishwe wazungu ili iweje kwahiyo hiyo unaamini wazungu kuliko mungu? Alieumba huo mlima na watu wake
Acha kuongea kama mlevi hayo yote serika inafanya kwa sasa kwani Kuna helicopter za jeshi zilitumwa na Kuna wataalamu wamekuja na mashine zao
Kwa ufupi hiyo ni volcano.
Tangu kuzaliwa mm ndio nasikia hilo jina hanang
Kabisa mm ndo nalijua ilo jina
@@JumaJuma-fu7ji nilijua peke yangu ahsante
Jamani muwe mnatembea ujue mnanichekesha kuna watu walijuwa ni China😅😂
Mnataka kuniambia hamkuisoma Hanang kwenye map shit zile za Geog, tana ni O level na A level😂 embu kumbuken at kidog mnasahau mnoo😁😁
Yani Tanzania tunavivutio vingi kiukweli huu mlima sikuwahi kuufahamu kabisa nimeufahamu baada ya ili tukio
Upo pande zipi za Tanzania??🙊🙊😲😲😲
Wewe ni Fala san watu wamepoteza maisha na wengine hawaonekani wew unaongea utalii acha upumbavu
@@elizabethsacri970 ..Elizaaaaa🤣🤣🤣..mwache mtalii wetu wa ndani bhanaaa,akili zake zinamtosha peke yake 🤗😆😆😆😂😂
Waafrika huwa hamjui ukweli hii milima mnayoiona huwa Ina uwazi ndani ya milima hiyo mkitaka kuujua ukweli itafuteni jadi
Chanzo cha tatizo kinaeleweka kabisa, ukataji wa miti na kuweka ma-camp site na madaraja hayakufuata contuor ya mlima huo na ndicho kimekuwa chanzo cha mud slides. Sidhani kama ilikuwa ni tectonic plate shifting. Ni ukataji wa miti hasa sehemu zinazoomekana zimekatwa miti mingi.
Mkuu kila kitu ni possible wananchi wanasema mlima ulitokota kama siku tatu Na lile tope lilikuwa Na moshi
Ndugu hili janga sio la miti ni tofauti na unavyofikiri
Kumbuka huo ni mlima wa kivolkano..na huo mlima ulishawahi lipuka karne ilopita...hicho ni magma imelipuka na kusambaa. Kumbuka wamesimulia wengi waliona kitu cheusi angani mwisho kikashuka kikiambatana na moshi huku kikiwa na moto..tectonic plates ni kweli kwa vile huo ni ukanda wa bonde la ufa na mtikisiko wake hutuathiri hata sisi.
Vivutio vingine hivo Royal tour kwa hewa
Millard ayo sanamu linakuhusu
Mtuonyeshe kabla na sasa
Nukta
Muuza majeneza anacheka tu apo Hana wasiwasi
🤣😅🤣😅
Taarifa unayotoa haieleweki tuache tutapat8wa taarifa ya utafiti coz maporomoko hayo hayajasababishwa na mvua uache uongo
Dormant volcano,,,eruption
Huyu hajui kuelezea tukio hilo hili lielezewe kisayansi inayoeleweka anaongea kisiasa siasa hata haeleweki
huyu hajui anatuekeza nini
Inasemekana eti watu wa kimila walichapwa huko
We unamuuliza nn hiyo hajui chochote kofia kama uyoga
😂😂😂😂nimejikuta nacheka tu jamn km mazuri vile duuu
Carefully study on geologist should be taken seriously into consideration,,,because no other person would go and explain such kind of disaster,,We need those who they called themselves as geologist to come and explain to people how they can avoid such kind of disaster,,because is a Big Disaster now to the whole word
GEOLOGIST it's your time now we are in need to understand deeply😢
😒😭🤔
Mass wasting/Mud flow
Mass wasting inahusikaje hapo usitupige elimu bure