USIYOYAJUA KUHUSU DK. SLAA; ALIVYOMGOMEA SUMAYE, AKAVAANA NA RAIS KIKWETE, LOWASSA, MKAPA NA ROSTAM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • #CharlesWilliam #Zungu #Day2NewsTV
    Hii ni simulizi maalum ya historia, visa na mikasa ya maisha ya Dk. Willibroad Peter Slaa, Katibu Mkuu Mstaafu wa CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Karatu aliyehudumu kwa miaka 15.
    Simulizi hii imeandikwa na mwanahabari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Charles William na kusimuliwa na Kelvin Raphael maarufu kama Zungu. Hii ni DAY TWO NEWS. Enjoy!

КОМЕНТАРІ • 10

  • @PeterIganja
    @PeterIganja 4 місяці тому +2

    Sauti ya dhahabu sana zungu

  • @charlesmassawe2689
    @charlesmassawe2689 8 місяців тому

    Hongereni kwa uchambuzi nzuri

  • @chungwenlameck1048
    @chungwenlameck1048 8 місяців тому +2

    ONE OF BEST STORIES EVER...... NEXT EPISODE PLEASE

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 4 місяці тому +1

    Tunaisubiri last episode mpaka leo jamani, leteni bhana

  • @ngasamotv358
    @ngasamotv358 8 місяців тому +1

    Legend❤

  • @josephpaul4522
    @josephpaul4522 8 місяців тому

    Nakubali ZUNGU

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 8 місяців тому

    Zungu umetisha sana😅😅

  • @MagdarenaLunyalula
    @MagdarenaLunyalula 8 місяців тому

    Huyu mzee nilikua namheshim sana ila kanichefuaga moyo sanabsimpend kabisa

  • @GilmansKwanja
    @GilmansKwanja 3 місяці тому

    Hata sasa tunamuomba harudi kugombea urais tunajua ulitumbati wabunge 23 kutoka upinzani ulipo acha wabunge wa upinzani hakuna bungeni unaro bado lakusema kwa watanzania tunajua unayo unayoyajua kutoka kwa marehemu rais magufuri 🇹🇿

  • @AndrewTassan
    @AndrewTassan 5 місяців тому

    Dr slaa padre mtata