Imekaa vizuri mimi naona eneo la mafunzo na malisho cha msingi wiki ya mafunzo wafugaji wanatangaziwa eneo la mafunzo wasisogelee hayo maeneo taarifa inasambaa kwa wote wakimaliza mafunzo mifugo inaendelea kulishwa kama kawaida.
Muwachie jeshi kwa usalama wenu pia .jeshi ni siri .tafuteni njia ingine ya kurisha mifugo yenu .jeshi aiitaji shea na raia .mbom zikiliwalipukia msilalamikie mh Raisi km mbagala.
Tatizo kubwa ni uelewa, tuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha wananchi hasa sehemu ambako wanasiasa wanatumia fursa ya wananchi kutokuwa waelewa kuwa ndiyo political capital yao ya kuweza kuendelea kuwa kwenye madaraka.
Hiyo safi sana Hongera MH waziri wa ulinzi 🤝 MH mbuge Fred lowasa 🤝
Asante sana mbunge na mwenyekiti wa Halmashauri
Mafunzo kijeshi na Malisho ya Mifugo, hii hapana.
MH waziri
Eneo la mafunzo liwe la malisho hapo wanapotea.Mafunzo yanahusisha risasi na wao wawepo kwenye eneo Hilo .hiiuuu naikataaaaaa mkuu
Safii sana mheshimiwa mbunge
I l😊
Imekaa vizuri mimi naona eneo la mafunzo na malisho cha msingi wiki ya mafunzo wafugaji wanatangaziwa eneo la mafunzo wasisogelee hayo maeneo taarifa inasambaa kwa wote wakimaliza mafunzo mifugo inaendelea kulishwa kama kawaida.
Wazir fanyeni mpango migogoro iishe jamani
Muheshimiwa wazir baadhi ya wanajesh wababe na ni walevi mno wanasumbua sana pale Shamsi. Usiku 😢
Mh inabidi jeshi waache kuwanyanyasa wananchi.jesh limekua linawatesa wananch na kuwaachia hata vilema vya maisha raia bila sababu zozote za msingi
Acha ujinga hujui kitu kama hao wananchi pia na viongozi wa kisiasa wasio jua majukum ya kijeshi na umuhim wa maeneo makubwa,
Muwachie jeshi kwa usalama wenu pia .jeshi ni siri .tafuteni njia ingine ya kurisha mifugo yenu .jeshi aiitaji shea na raia .mbom zikiliwalipukia msilalamikie mh Raisi km mbagala.
Ubarikiwe sana
Tatizo kubwa ni uelewa, tuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha wananchi hasa sehemu ambako wanasiasa wanatumia fursa ya wananchi kutokuwa waelewa kuwa ndiyo political capital yao ya kuweza kuendelea kuwa kwenye madaraka.
Upo sahihi sn ,huyu mbunge anaanza kuleta story za baba yake tena,waziri kuwa makini na hawa wanasiasa wanaopenda popularity kwa wapiga kura wao.