Kwa kweli nguvu ya Mungu ipo na inafanya kazi, tatizo ni sisi.....ni sawa na bomba ya maji inakuwepo tuu imejaa maji sasa ucpofungua cork maji hayawezi kutoka.
Hakika ni kweli! Ukiomba na kuamini jambo lolote hata liwe dogo vipi unajibiwa. Nasikiliza hubiri hili nikiwa na homa na headache kali iliyokataa dawa, tena hospital wamesema sina ugonjwa. Video ikiwa dk ya 25:16 nikasema ombi fupi sana, nilikua siwezi hata kutazama mwanga wa simu ila hapa naandika kichwa kimeachia ghafla na ninajisikia mwenye nguvu kuliko awali. Jina la BWANA litukuzwe.
MChungaji mimi naitwa yusuph david nahitaji huduma ya maombi naumwa macho. sasa imefika miaka 2 nikiwa sioni nimefanyiwa huduma za hosipitalini na hata maombi lakin Hali yangu iliendelea kuzidi bila mafanikio.Sasa naomba msaada wa maombi kutoka kwako
Mungu akubariki sana pastor..nlikufahamu wakati wa ibada ya hope for africa .. Nairobi,tangia huo wakati tumefuatilia mahuburi yako na mume wangu na tumebarikiwa na kukua sana kiroho.

Mungu akubali mutumish wabwana

Amen
Asante kwa neno nzuri
Nimebarikiwa sana
Barikiwa paster unamuelezea yesu vizur sana, naitarajia mbingu
💪🙌🙌 Eimen pastor
Naomba jina la wimbo na la kwaya tafadhali. Nimebarikiwa sana.
Pokea uponyaji kaka devid kwajina la YESU
MChungaji mimi naitwa yusuph david nahitaji huduma ya maombi naumwa macho. sasa imefika miaka 2 nikiwa sioni nimefanyiwa huduma za hosipitalini na hata maombi lakin Hali yangu iliendelea kuzidi bila mafanikio.Sasa naomba msaada wa maombi kutoka kwako
Mungu akuponye kaka yangu
Pole sana tunakuombea pia
Mungu akubariki sana pastor..nlikufahamu wakati wa ibada ya hope for africa .. Nairobi,tangia huo wakati tumefuatilia mahuburi yako na mume wangu na tumebarikiwa na kukua sana kiroho.
17;54 imnifanya nikumbuke SoMo moja alifundisha Pasto Randy skeet. Linaitwa IT IS MY FAULT. TATIZO NI SISI
Shukrani Mchungaji.
Atafazali, sehemu ifuatayo. Tunaisubiri.
Kwakweli mchungaji unafundisha vizuri Sana Mungu akubariki.
Amina pastor barikiwa saana kwa masomo mazuri unao tufundisha kila kukija
Barikiwa sana Mungu pastere wetu. Hata mimi uko pasteur wangu pia
Amina jamani
Amina Pastor nabarikiwa sana kwa somo 🙏
Amen nabarikiwaa
Amen❤
Amen Amen.
Amen am waiting
Waiting for you pastor welcome and may God bless you 🙏🙏🙏💪
Amina amina
Amen
Amen 🙏
Amina God bless you all 🙏
MUNGU Mkuu akubariki mchungaji toka DRC 🇨🇩 ,
Sisi ni wa lokole unatubariki sana mara kwa Mara ,
Natunafatiliya mahubiri haya kila siku !
AMEN
Amen!❤❤❤❤❤❤❤
Hello today microphone I not clear
Kabarikiwa.ni.kiwa.saudi
Nahitaji.maombi.mume.wangu.abadilike.alice.apate.kazi.pauline.anasumbuliwa.usiku
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏 🙏 🙏