SOMO LA MSAMAHA NA KUACHILIA, DOMIKA YA 24 MWAKA A WA KANISA
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Karibu ufatilie Mafundisho ya Msamaha na kuachilia kutoka kwa Padre Rogasian Msafiri Mlezi wa Agape Centre, katika adhimisho la Dominika ya 24 ya Mwaka "A" wa Kanisa.
Father ubarikiwe Sana naona roho wa msamaha ndani yangu na nimesamehe wote nami wanisamehe
Mungu wetu atupe moyo kusamehe ili Mungu wa mbinguni naye atusamehe japo kibinadamu ni ngumu ila kwa rehema na neema zake. inawezekana.Barikiwa sana. Fr.
Baba naomba naminikuone nashida bb
Barikiwa sana father
Mungu wetu atupe moyo wa kusamee n'a Mungu azidishe vipaje byako baba padri. Nakufatiliya kutokeya République Démocratique du Congo précisément à Bukavu
Amina Barikiwa Sana
Padri Mungu akubariki sana .na jamani niombeeni mawasiliano ao number ya padri
Msamaha ni maua
Fadha msasafiri penda sana
Jamani ninaomba namba ya simu ya huyu father amenigusa Sana.
Amina barikiwa sana
0754768223