UFUNGUZI WA KITENGO CHA BIMA YA AFYA BURUNDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @islamicswahilidaawahburund999
    @islamicswahilidaawahburund999 Місяць тому +2

    Masha Allah - Tabaarak Allah. Kwa Pongezi sana kwa Fikra hiyi. Na tunamuomba Allah awawekeye Tawfiiq. Hili Jambo inchi za Ulaya huenda ndio wanazotembelea. Tunawausia kabisa Jamii kuliunga mkono Jambo hili. Mtu asisemi huenda sintaumwa kipindi hichi. La Hasha!!! Huezi kujuwa ya baadae. Kumbe watu wachangie in shaa Allah. Tungetoa mifano ya huku tulipo ila acha tuwahamasishe tu Jamii in shaa Allah.
    Allah awabaariki na Jazaakumullah Kheir Al-Huda.

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 Місяць тому

    Hongereni sana mungu awaripe mumefanya kiru kizuri saana

  • @alainndikubwayo8760
    @alainndikubwayo8760 Місяць тому +2

    Assalam aalaikum wa rahmatullah wa barakatuh. Shukran wa jazakallahu khair. Mlikuwa mmechelewa sana kufanya kitu kizuri kama hicho cha faida kwa jamii ya k' islam inchini Burundi. Lazima waislam wasonge mbele piya waone mbali zaidi. Ni projekt nyingi sana za kuweza kuwasongesha mbele jamii ya k' islam wasiikaliyi kuomba omba tu misaada. Hivi imefika waislam wajitegemeye wenyewe in sha Allah kwa kupitiya kwenye projekt mbali mbali za maendeleo. Waislam Burundi tumelala tu myaka mingi saana, hivi imefika wakati wa kuamka.
    Na huyo ndo mwanzo " Bima ya afya, Hospital" na yangine zaidi yatakuja kwa uwezo wake Allah ikiwa sote tukitaka na tukiwa wenye kuelewa. Hakuna kisowezekana.
    A Jamal sweden.

  • @Aishawasaadi
    @Aishawasaadi Місяць тому +1

    Alhud ipat maendeleo Allahumm Aaminn

  • @Rahma-r1y
    @Rahma-r1y Місяць тому +1

    Manshaaallah tabarak allah 🥰💥🙏

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Місяць тому +1

    Maasha'llaah maasha'llaah maasha'llaah

  • @ABDOULRASHIDBUKEYENEZA
    @ABDOULRASHIDBUKEYENEZA Місяць тому +1

    Assallam alaikum warhmatullah wabarakatuhu Allahu Awahifadhi masheikh wetu karibuni mukoani rutana

  • @MwajumaWakingombe
    @MwajumaWakingombe Місяць тому +1

    Masha'Allah

  • @EmmanuelBigirimana-y2w
    @EmmanuelBigirimana-y2w Місяць тому +1

    Allah ABARIKI chobo Cha Afya kwaza ichi Burundi

  • @IbrahimNyandwi
    @IbrahimNyandwi Місяць тому +4

    Ni ipi hukmu ya bima(assurance maladie) katika sheria ya kiislam? Baarakallahu fikum

    • @MirathiYaMitume
      @MirathiYaMitume Місяць тому

      Ndio maana bima ya afya ikawa ni haramu
      Swali: Ni ipi hukumu ya bima ya afya?
      Jibu: Bima ya afya haijuzu. Bima ya afya ni katika kamari. Kwa sababu wanatoa kiwango cha pesa maalum ili watibiwe kwa kila kinachowapata.
      Swali: Mwenye nayo anasema kuwa wakati wa kipimo analipa asilimia ishirini tu na hivi sasa mke wake anakaribia kujifungua. Ajifungue kwa bima hiyo au hapana?
      Jibu: Ajifungue hospitali nyenginezo.
      Swali: Kwa hiyo ni haramu moja kwa moja?
      Jibu: Ndio, inafanana na kamari.
      Swali: Ni vipi bima ya afya inafanana na kamari?
      Jibu: Kwa sababu mtu unalipia kiwango cha pesa kadhaa kila mwaka au kila mwezi kwa ajili ya kutibu kila kitu kinachomtokea mtu au familia. Matokeo yake anaweza kupatwa na magonjwa mengi yanayohitaji makumi ya maelfu.
      Swali: Kila mmoja analipa 100.000. Hiyo ndio kamari? Hatulipi kitu kutoka katika mishahara yetu. Ni vipi inakuwa kamari?
      Jibu: Inakuwa kamari na ile hospitali wanayoilipa pesa hizi. Wanapokwambia kila mwezi au kila mwaka watachukua 100.000 ili kuwatibu familia yote yale maradhi yanayowapata. Wanaweza kupatwa na maradhi mengi yanayohitaji pesa zaidi kuliko hizo.
      Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
      Mfasiri: Firqatunnajia.com
      Marejeo: binbaz.org.sa/fatwas/23280/ما-حكم-التامين-الصحي
      Imechapishwa: 19/12/2023

    • @NTUNZWENIMANAKurusumu
      @NTUNZWENIMANAKurusumu Місяць тому

      Tunasubiria kujibiwa IN SHAA ALLAH

  • @EmmanuelBigirimana-y2w
    @EmmanuelBigirimana-y2w Місяць тому +1

    ALLAH ABARIKI HIKI CHOBA CHA AFYA KWAZA

  • @bora0066
    @bora0066 Місяць тому +1

    Mashaallah

  • @hassanjonas1491
    @hassanjonas1491 Місяць тому +1

    Maansha allah

  • @EmmanuelBigirimana-y2w
    @EmmanuelBigirimana-y2w Місяць тому +1

    Na oba naba ya sheik Amisi

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana Місяць тому +1

    Asalam alaikum warahmatullah maashaallah taabarakallah tuko pamoja

  • @hassanjuma6144
    @hassanjuma6144 Місяць тому +1

    Allah barik Al hudaa ❤❤

  • @NTUNZWENIMANAKurusumu
    @NTUNZWENIMANAKurusumu Місяць тому

    Ma Shaa Allah Tabarakallah ALHAMDULILLAH. Tunahitaj kufaham hiyo HOSPITAL U hizo HOSPITAL ni zipi? Au kwa lugha nyingine, tutakua tinatibiwa wapi???

  • @kagozihusseni9628
    @kagozihusseni9628 Місяць тому +2

    Kagozi Hussein TUNAMSHUKURU ALLAH KUANZISHA ILI JAMBO ALLAH AWALIPE KHERI NYINGI SAAAANA WALE WOOOTE WALIYOCHANGIYA KATIKA KUFANIKISHA JAMBO HILI Jee watu wa intérieur watafikiwa n'a huduma hiyo vipi ?

  • @mussabanzi7826
    @mussabanzi7826 Місяць тому +1

    Sasa ni dispensaire ao?

    • @alhudatvburundi304
      @alhudatvburundi304  Місяць тому

      Unauliza kitu kiko tofauti na kinachponekana bima ya Afya so Hospital rejea tena kutazama itakua bora

    • @rukundohussein5906
      @rukundohussein5906 Місяць тому

      Assurance maladie

    • @NTUNZWENIMANAKurusumu
      @NTUNZWENIMANAKurusumu Місяць тому

      Yan ni Cheti chakutibiwa bure. Kulingana na hayo mahitaj

  • @sahimtv4742
    @sahimtv4742 Місяць тому +2

    Mr hamza mahane hiyo number ya whatsapp ungeiweka hapo kwenye hiyo clip video ili kila mmoja kuitumia, binafsi nipo inje ya inchi nahitaji hiyo number ya whatsapp?

    • @alhudatvburundi304
      @alhudatvburundi304  Місяць тому

      @@sahimtv4742 namba ipi ya kwangu ao ya sheikh khamis khamiss ao ya abdi john kama utaitaji kwa namba yoyote whatsapp +25775461875