Kilichotokea RC Makonda Alipoagiza "Mmiliki wa Saccos Akamatwe Awekwe Ndani Kwa Tuhuma za Ut..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 тра 2024
  • Kilichotokea RC Makonda Alipoagiza "Mmiliki wa Saccos Akamatwe Awekwe Ndani Kwa Tuhuma za Ut..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 52

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 20 днів тому +2

    BIG UP Makonda. Hii nchi imejaa dhuluma na watendaji wa serikali ni sehemu ya tatizo

  • @klotildasusuma2220
    @klotildasusuma2220 21 день тому +1

    Mhe.P.Makonda Mungu mkuu akupe hekima zaidi,akulinde katika kila jambo ulifanyalo.

  • @melkizedck
    @melkizedck 23 дні тому +5

    Huyo mdada amejitahid sana kujibu. Nampa hongera

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 23 дні тому +4

    Big up commander Makonda

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 22 дні тому +2

    Makonda Mungu akupe maisha malefu

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 22 дні тому +2

    Mr. Makonda keep on,

  • @user-dd2bv2ru8y
    @user-dd2bv2ru8y 23 дні тому +4

    Chapa kazi mwamba Makonda kaka yangu nakuelewa

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt 23 дні тому +3

    Good leader... Kuna saa unamsikiliza MAKONDA THE PRESIDENT,,, so funny

  • @user-rr1ri7nw7q
    @user-rr1ri7nw7q 21 день тому

    Nakuombea sana mtoto wangu Mungu akulinde

  • @user-ei3id7nn5g
    @user-ei3id7nn5g 23 дні тому +1

    Mambo niyapendayo Mimi ,,,,, kazi iendelee

  • @shamzone388
    @shamzone388 23 дні тому +2

    Tik tv mpo vibaya sana kwenye hii vedio jirekebishe

  • @lohayyaato465
    @lohayyaato465 23 дні тому

    Unafanya kazi nzuri sana baba

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 22 дні тому

    Piga kazi rais wangu, RIP JPM,ila watakutoa hawa mafisadi, viva makonda

  • @salmarawahy3914
    @salmarawahy3914 19 днів тому

    Kwa ushauri ao wananchi wangekaa chini ingekua salama kusukumana ivo na si salama wanawake wanaume wanasokotana

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 23 дні тому +2

    Yanyooshe hayo majizi mkuu mi binafsi nakubali unachapa kazi mpaka muda mwingine huwa naomba uhamishiwe huku kwetu Singida mijizi mingi sana ya aina hio

  • @melkizedck
    @melkizedck 23 дні тому +3

    Makonda hongera, lkn pongezi kwa Rais Samia. Hajakosea kumteua Makonda

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 22 дні тому +1

      Kuteua Jambazi ndio sifa.m, Yeye mwenyewe kapita Nyumba za Wafanyabiashra ndio anajificha kwenye Siasa ili asipelekwe Mahakamani

    • @melkizedck
      @melkizedck 21 день тому

      @@tanzanite9944 du! Jambaz Tena?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 21 день тому

      Jambazi muuaji 🚮aseme Ben saanane yu wapi

    • @selemankumbanga-mo8re
      @selemankumbanga-mo8re 19 днів тому

      @@MiriamAbdallah mpe maua yake .acha makasiriko binti,,pambana wote hatuwezi kuwa makonda

  • @sadikishemkai
    @sadikishemkai 22 дні тому

    Makonda.mimi.baba.yako.nakuombea.dua.usikunamchana.mungu.akupe.maisha.marefu.unatenda.haki.arusha.imepata.muarubaini.wa.matatizo.yao.mungeni.mkono.makonda.wanaarusha

  • @makoyelwango6048
    @makoyelwango6048 21 день тому +1

    Hii nchi??

  • @user-vn9om8wg2h
    @user-vn9om8wg2h 23 дні тому

    Huyu dada yupo vzr

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 22 дні тому +1

    Huyu Makonda ni makelele bmengi kupayuka lakini Hajui mambo ya Financial/Finani Kabisa Ndio sababu haoni hii kesi inakwendaje

    • @charlesjohnjohn7953
      @charlesjohnjohn7953 21 день тому

      Wewe unayejua umesaidia nini ktk hii nchi?
      Kwani nchi hii wezi na mafisadi wa mabilioni ya umma ni akina nani?,si ni nyie mnaojifanya mnajua mambo ya Financial/Finance?
      Wezi wote ktk nchi hii ni wale wanajifanya wanajua.

  • @ngumu
    @ngumu 22 дні тому

    sauti hakuna....😊😊

  • @makoyelwango6048
    @makoyelwango6048 21 день тому +1

    Nchi hii usione watu wanatajirika kwa kuwaibia watu.

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 8 днів тому

    Nimegundua Nchi inahitaji viongozi wavumilivu wa kusikiliza shida za Watu viongozi wengi hajipi muda wao kutatua shida za Watu
    Makonda anastahili Maua yake

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 22 дні тому

    Hapo saccos wanatakiwa warudishe hati zao halafu TID wambane huyo mwenyew saccos warudishe kwanza hati

  • @makoyelwango6048
    @makoyelwango6048 21 день тому

    Hii nchi usione watu wanatajirika kwa kuwaibia watu

  • @melkizedck
    @melkizedck 23 дні тому

    Hii chanel inachosha, scrach inakatakata sana. Mtuombe msamaha

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 23 дні тому

    Mama samia tunaomba makonda utuletee lindi huku

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 23 дні тому +1

    Hawajielewi hawa

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa 23 дні тому

    Dadahuyuamejitahidi sana juu yao taipi ni wahuni kabisa

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 23 дні тому

    Kama TIB ana title deed yenye thamani ya 400ml kwanni Hawa wazee ambao hata TIB haiwatambui wasipewe kadi zao, uhuni kabisa

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 22 дні тому

    Sukuma ndani Hao mafisadi

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 22 дні тому

    Kamata huyo mwenyekiti weka ndani tafuta TID bank kuna kaujanja hapo

  • @melkizedck
    @melkizedck 23 дні тому +3

    Yes! Makonda ni Rais ajaye. 2030 makonda jiandae.

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 22 дні тому

      Labda Rais wa Nyumbani kwenu sio Tanzania ya wenye akilini 😊

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 21 день тому

      Eti raisi😂😂😂😂😂😂

    • @melkizedck
      @melkizedck 20 днів тому

      @@tanzanite9944 we unavoona hafai? Yaan sis watanzania sijui tupoje? Akitokea mtu anapambana na changamoto za watu HAFAI?

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 23 дні тому +2

    Mimi nasema mambo haya alitajiwa raisi atoe kauli lakini raisi yeye safari kila dey dah

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 23 дні тому

      To be honest hana uwezo wa kusikiliza changamoto za wananchi kama hivi

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 22 дні тому

      ​@@emmanuelmayunga1518 Atowe kauli ya nini wakati kila eneo kuna Kiongozi wa Kijiji hadi Mkuu wa Mkoa achilia mbali uongozi wa chama tokea shina hadi Mkoa. Wote hao wanalipwa kwa kodi zetu kwa kazi, ni wao ndio waulizwe wanafanya kazi gani, mpaka kila jambo aseme Rais.

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 23 дні тому

    Hi ni ngumu sana

  • @clevermlinga3947
    @clevermlinga3947 23 дні тому +1

    Bad video quality nyie Tiki mjitafakari na kuboresha kazi

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 23 дні тому

    Mama sule hongera haki yako utapata mama

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa 23 дні тому

    Wanamchezo mchafu hapa

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 23 дні тому +1

    Sacco imekoroga hawa wazee