This is the first time I see a Tanzanian artist making a brilliant video...this boy will be more relevant than diamond in the future. He absolutely nailed
Vannyboy hii kweli pochi nene . Umeipa haki yake mambo ni 🔥🔥🔥 . Watashika wap ? Maana kila wanapo jaribu kuna moto waunguza 🔥🔥🔥🤑🤑🤑 . Ila WCB Mna sifa sio siri .
Walishanitesa xana mashost, hata buxu nililitafuta kwa torch, kumbe dawa ya mapenz ni noti, sasa nachagua mm kwenye bed au kochi. Umetixha xana vanny boy pwaaaaaaa!! Wcb4life👏👏👏🔥🔥
Hii nyimbo ingekua imetolewa na Diamond au Kiba...ingekua hit nchini na views zaidi ya 2M in 6 days toka imetoka. Bonge la nyimbo kuliko zote ambazo ameshatoa Kiba au Diamond
Hii inaitwa piga nikupige.... kuna watu huwa wanalalama wanapotoa wimbo na baada ya muda wengine wakatoa. Wanalalamika kutaka kuzimwa sasa sijui hapa WCB wanazimana? Hapa kazi tuuuuuu. Keep it Vanny
Hiii video ingekua lit sana kama ingekua na vibe zaidi...pesa nyomi, watu kibao, madem wazuri kibao with the umbrellas n everything.. You guys see how Nigerians do kwenye such kind of money songs.. Ila sema kweli starting with the song nyimbo ni littttttttt, tunaexpect remix hata na msanii kama the OG (kaligraphJones) au any hiphop star ambaye hazingui kwenye game with a much litttt video.... Ila hamjazingua...BIG UP RAY VANNY #POCHINENEE ✊👊
Vany boy hii ngoma ni kali video kali 🔥🔥🔥 Siku zote fanikio lilipo ndo walipo maadui wengi Usijali kwa yale mabaya wanayo ya zungumza kuhusu wewe piga kazi mwanagu ili kuupeleka mziki wa bongo dunia nzima #WCB4life,#vanyboy
😂😂sikujua s2kizzy aliwahi kuimba ...here in 2024
Izo ndio nyimbo sasa sio huu usenge mnaotuimbia siku hizi
Bado hujasema
dhu kama umeangalia ngoma zaidi ya mara mbili gonga like
Vanny boi ndo kamtmbulisha zombie3 in the would kwa huu mokoko🔥🔥🔥🔥🔥
This is the first time I see a Tanzanian artist making a brilliant video...this boy will be more relevant than diamond in the future. He absolutely nailed
hahaa bado
V Vanny Boy! The baddest boy from Mbeya City! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jfbdj
Mchawi karoge...
Nisifike mbele.
Mi napanda ndege...
We kapande tembere.
+254 tupo.
Vanny Kazi safi tunakuombea ufike mbaali, supporting Good music
mi naikubali WCB kam uko pamoja na mm gonga like apa twende sawa fans wcb4life🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nambie no yako
Still listening 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
daaaaaaaaaah.... pochi nyembamba wapiii mzeee
Jamaniii Eeeh Huyu jamaa kaja kuharibu Trend list fire 🔥🔥 Gonga like kama una pochi nene
Trap ikitoboa ndio furaha yetu 🔥🔥
Vannyboy hii kweli pochi nene . Umeipa haki yake mambo ni 🔥🔥🔥 . Watashika wap ? Maana kila wanapo jaribu kuna moto waunguza 🔥🔥🔥🤑🤑🤑 . Ila WCB Mna sifa sio siri .
hii Ngoma imetufunza ma gentleman wote tuzisake BABAAAAAAA achia Ngoma Mashine mwaga mpunga pga shair hzo mzee
Umeweza sana sana shikamoooo Dunia ww
NIMEMWONA MBOSSO..MPATIE LIKE👏👏👏WCB
Kama unamkubali Rayvanny gonga like 🔥🔥🔥#pochinene
Wcb for lifeeee kumbe dawa ya mapenzi ni pochiiii. .video kali sanaaaa vanny boy. ...like wc b
eeh bhana hii ngoma kali ki'mbwa inatoa ajira bila interview,marupurupu na mshahara mwisho wa mwezi
So rayvanny can rap..wow this classic
Waooh,.. Video Kali bro,..,..kama umekubali ii ni Kali gonga like
Kizazi sanaaa🙌🙌🙌🔥🔥🔥👏👏
*Hii video inaweza ikamfanya Magu ajiunge WCB...Kama unamkubali vanyy boy Gonga like*
Upende usipende asilimia 99 kwa 💯 mziki wa tz wote upo wcb ukatae ukubali andamana
HAPANA....kuna wanamuziki wengi wazuri , hawako WBC
2020 still listening to hii ngoma kali....kama na wewe bado unasikiliza gonga like🔥🔥
Goma Kali au mwalionaje hili goma wanangu Wa wcb🔥🔥🔥🔥🔥
Thank you so weet rayvanny CHUI pambana achana na watu waogee mabaya na ravnnyn
Woooooooooy Kama umekubali ili jitu from green city ni 🔥🔥gonga like
Jamani pochinene ni fire atari saana kama wakubali gonga like hapo chini
Huyo director #Kenny
Awe na huruma na ma director wengine jamani 👏👏👏💪💪😂
Tunamkubalia bro wetu vanny boy
Kenya chapa like kama umeikubali
Pochi nene sio haki ya hali uku madale 🔥🔥🇹🇿
Kazi nzuri sana kideo kiko poa safi sana pochi nene 🎈🎈🎈🎈🔥🔥🔥
Vanny boy umeua kwenye kuchana kichina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✔️✔️✔️✔️😀😀😀😀😀😀
Vanny boy ni balaa..... Kwa kifupi WCB wako mko vizuri sana. Manafanya kazi nzuri sana. Eti mtu anasgangaa mbosso kumiliki range😂
wcb bongo flavour n yenu bana nishawakabidhi yan mnajua mpaka mnakela bwn team wcb gonga like hapo
Iko juu sana msani rayvvany next nigani niga
videooooo aidiaaaaaaaaa hatareeeeee💣💣💣💣
Walishanitesa xana mashost, hata buxu nililitafuta kwa torch, kumbe dawa ya mapenz ni noti, sasa nachagua mm kwenye bed au kochi. Umetixha xana vanny boy pwaaaaaaa!! Wcb4life👏👏👏🔥🔥
Emanuel K vanny II hahahaa
nomaaaa sana
Woyyoooooooo🔥🔥🔥✌✌✌✌
Emanuel K vanny II 8
Here before 2k views...team 254 mko wapi bana🔥🔥
ua-cam.com/video/LBehar2I4pY/v-deo.html
Brayo Mwass tuko hapa
wapi mavoko
Rusha namba
Brayo Mwass square
myimbo ni kali sana 👏👏👏👏💃unazitoA kweli wenoma pochinene wcb tuko juu
Niko hapa before ifike 10 k representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I'm a fan of wasafi forever
Dope jam 🔥🔥🔥🔥
Tarzania to the world,, this is pure hip hop
WHO LIKE POCHI NENE BAADA YA KUMWAGA JASHO
Daaaah mamae we jamaa unaweza kinoma ad unaboa
Salute kwa director kenny huu mzigo ni noma
Woooooooh #Vany boi 🔥
Woooooo
Bonge LA Nyimbo🙌🙌🙌....
254...Kama wakubali Rayvanny...
Gonga like hapa😘😘😘pochi nene💕💕💕💕👌
Rayvanny never disapoints
Unstoppable............ Back2back
Wcb rahaaa sanaa
Mhhh kari sana " Tunda razima nimenye"
And how can we not love the music from bongo when they make such beautiful songs...from +254 with a million likes...
We mkali sana home boy inshala Mwenye mungu akuongezee zaidi..
Fundiii kuliko woteeeee
Bonge la video big up Rayvanny it's 🔥🔥 S2kizzy ur baddest producer
I don't why this song haven't reached billion and it deserves but I think there is something....
Hii nyimbo ingekua imetolewa na Diamond au Kiba...ingekua hit nchini na views zaidi ya 2M in 6 days toka imetoka. Bonge la nyimbo kuliko zote ambazo ameshatoa Kiba au Diamond
Pochi Nene in 2024🔥🔥
Good music Rayvanny, continue keeping it real and take Tanzanian Music to another level.
Team Good music
It's still a vibe even after Three years✨
Hii inaitwa piga nikupige.... kuna watu huwa wanalalama wanapotoa wimbo na baada ya muda wengine wakatoa. Wanalalamika kutaka kuzimwa sasa sijui hapa WCB wanazimana? Hapa kazi tuuuuuu. Keep it Vanny
pochi Nene baada ya kuhustle/ mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥
This song inspires me to make money coz no love without finance
Nahisi kuwa wa kwanza kucomment
Pochi nene mpango mzima😁😁😁rayvany bhanaaaa........sijutii kuwa shabik wasafi 4life😘😘
Vanny boy babe 💯💯
254 in the house 💥💥. #straightup⚡
Aaaaaaaaah wakizingua bill ya umeme silipi mimi 🔥 hii ni Video ya Mwaka jamani
It’s been Approved from USA🇺🇸 🙏Tanzania bless up 🙏
Nc
NickoJunior BJMUSIC 🤣🤣🤣😂😂
wcb forever,big up rayvanny
Kitu konki,, hyo raaap n moto 254 reloaded
Nimelike kabla ya ku watch 💥
Hiii video ingekua lit sana kama ingekua na vibe zaidi...pesa nyomi, watu kibao, madem wazuri kibao with the umbrellas n everything.. You guys see how Nigerians do kwenye such kind of money songs.. Ila sema kweli starting with the song nyimbo ni littttttttt, tunaexpect remix hata na msanii kama the OG (kaligraphJones) au any hiphop star ambaye hazingui kwenye game with a much litttt video.... Ila hamjazingua...BIG UP RAY VANNY #POCHINENEE ✊👊
Poch nene nasema pochi nene 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
huaga siko makini na ray vanny..but hii nimejikuta nimezubaaa..pochi nenee ..chorus iko 👌👌👌👌
kwa utamu wa hii ngoma unaweza kukuta unaimba pochi nene mbele ya mama mwenye nyumba halafu anakudai rayvanny unatuponza
🤣🤣🤣🤣😅😅
😀😀
Kkkkk
🤣🤣🤣🤣🤣
RAYVANNY AMEVUNJA KIMIA🔥🔥🔥🔥niko dubai na umetaja unavisima via mafuta huku nieleze wapi bro😂
dubai mafuta na miliki visima yooo!!
kama unamkubarii rayvanny from #wcb 🔥🔥🔥🔥gonga like hapaaaa
Penda sana...Rayvanny ma role model..pochi nene🔥🔥🔥..nawakilisha nkiwa 254
Ser tua fã Ray Vanny sempre foi o meu melhor sonho e nunca deixará de ser.
MAD BANGER... Vanny hapa kazi kali... sanaaaa.....
Ngoma mbaya kisenge... Mpango mzima Yanje na kitu MO FAYAAAA 😎
Kwahiyo huku umeijia boroo au
Holllly shit...this shit bangin 🇨🇩🇺🇸
OMG was the day we should put it up with rayvanni dmm
Hahahaaaaa vanny boy hii ngomaa nacheka sana,,eti hadi tunaongea hadi kichina,master!! Sema S2kizzy mtu mbaya.
me napanda ndege we nenda kapande tembele I💥 🔥 🔥
basii sawaaaaaa vany 😀😀😀😀
kaaaaliii... ile ni #pochinene
🔥 🔥 🔥 🔥
bonge la ngomaa linasisimua mpaka mavuziii ya tako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Safi xana amebadilika sana na huu ndo usanii big up kijana wcb mnarun bongo flvr
waoooh we who believe on God we never put on shame we rockiiiing....go Ray Ray....
Vanny boy Vanny boy dangerous video i appreciate you mpaka bas
#One_blood_with_WCB
TEAM WCB wote ngonga like apa twende kazi..... #Hatupoi tunaangalia chupa kwa MB NENE
good
Moses Rex Qaleeee
Nyimbo nzuri na video yake saf rayvany
Hapo noti kwenye ungeweka za kibongo bhana mnadhidi xana kuwahusudu wazung nyekundu ndo ingependeza zaidi but I love it❤💜💛💚
Number 3 kucheki hino safi bro
Usi sahu kulike yangu pia show some love ua-cam.com/video/OURwUXEJHDE/v-deo.html
Vany boy hii ngoma ni kali video kali 🔥🔥🔥
Siku zote fanikio lilipo ndo walipo maadui wengi
Usijali kwa yale mabaya wanayo ya zungumza kuhusu wewe piga kazi mwanagu ili kuupeleka mziki wa bongo dunia nzima #WCB4life,#vanyboy
U&video_id=OinP-C18KRA
ua-cam.com/video/OinP-C18KRA/v-deo.html
Young killer Msodoki bro vipi..mmi fun wako sana msodoki
Young killer Msodoki kweli
Young killer Msodoki tunangojaa ngoma yako mwanangu umekimya sanaa mwana tangu utowe collabo na papa jones
2021 still listening .... This was dope
My favourite musician from Tanzania I love your music