Rosa Ree Ft Rayvanny - Sukuma Ndinga Remix (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 27 кві 2020
- Follow Rosa Ree On:
Twitter : / rosa_ree1
Instagram : / rosa_ree
Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
For Bookings:
Email: makamejumaa10@gmail.com
#Rayvanny #RosaRee #Sukumandinga
Kama Unawatch Ukisoma Comments,Nipe Likes twendee sawa,,Chui kauwa😂😂😂💯💯💯🐐🐐🚀🚀
Hapa maji moto🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumekubali Ku-sukuma NDinga💣💥
Huyu Dada angekua wasafi angekua anaua kinyamaaaaa yani kimataifa
Rosa Ree my name sake i love you gal😍😍😍😍😍😍😍nice colabo go gal nipate like my fellow kenyans and all part of world kama mmependa hii colabu ya Rosa na Vanny🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hili goma linaweza likakufanyaa usahau maden yako yote unayodaiwa trust maana cyo kwa unyama huu ilaa ww Rosa Ree KHAA umeua khaaa
Vanny boy eeeeee rose leee eeeee sukuma ndinga mmeua saana, wale wanaoicheki mashine huku wanasoma comment weka like hapa chini
Rosa Ree never disappoints 🥰
Eiiiish,wat a collabo,dancing style tu hapo kwa move your shoulder sukuma dinga inapendeza sana,Ray sauti yauwa kabarikiwa kila kitu🔥🔥🔥
Nani alisema mkenya 🇰🇪 haezi pata likes za watanzania 🇹🇿 sukuma iyo dinga 👊
Kama unamkubali rayvanny gonga like twende sawa
Rosareee kaua kinyama humu,rayvanny kafichwa kweli,sema rossaree hiz swagger za kinyama kweli🔥🔥🔥🔥
Nick minaj wa tz❤❤❤❤ like kama unampenda rose ree
Roza ree ni mmarekani aliepotea
SUKUMA NDINGA''''''''""""""KAMA UNA FEEL UNYAMAA🦁🦁🦁🐅🐆🐆
sukuma ndinga, now trending in Kenya!! nice music from East African baba zao
Vanny can do both hip hop and love songs....maze hii talanta ni yako si bandika
Ambao mmemuelewa Rosa ree gonga like yako hapa
Ramadan Kareem🇸🇴❤📿📖
Rosa, well done, ngoma kali. Oya Rayvanny kitu bomba keep it up son.
Hii song imeweza 🔥🔥🔥. Tunataka remix ya Papa Jones, Rayvanny boy na Rosa ree.....