Hello 👋🏿 beautiful people Asanteni Kwa 🫶🏿 kubwa, well hii record kongwe ilifanyika Mj records na ilikuwa kwenye air waves globally mnamo mwaka 2007 mwezi wa 11 na kuchukua trophy ya Wimbo bora wa R&b 2008, Producer wa hii record alikuwa ni Dr. Marco chali ,na video alifanya John kalage, endeleeni kufurahia Wimbo bora wa muda wote Africa mashariki na Kati,we are Wakalikwanza 🇹🇿 🙌🏿
Those days TBC ilikua kipindi cha boda 2 boda ilikua nikirudi skuli lazima nicheki, ilikua nna nyimbo zangu nisipoziona asee sijatazama kipindi hii ilikua moja wapo na ile mshike bega umpendae ya hussen machozi
Tujuwane Tulio kujakuangalia 2024 hii ngoma ✌️✌️
Bila shaka Nairobi tunawakilisha 🙌 🙌 💯
Nipo hapa nasikiliza na nimeshakuwa muhenga😂😂
✌️
Tupo sana
🔥🔥
Hello 👋🏿 beautiful people Asanteni Kwa 🫶🏿 kubwa, well hii record kongwe ilifanyika Mj records na ilikuwa kwenye air waves globally mnamo mwaka 2007 mwezi wa 11 na kuchukua trophy ya Wimbo bora wa R&b 2008, Producer wa hii record alikuwa ni Dr. Marco chali ,na video alifanya John kalage, endeleeni kufurahia Wimbo bora wa muda wote Africa mashariki na Kati,we are Wakalikwanza 🇹🇿 🙌🏿
Aiseee miaka inatembea mno
My best songs since then
Always will be na this what music is ..... feelings that live
mlitisha sana. Muziki ulikuwa na Ladha halisi ya kitanzania. Sikuhz tunakosa hivi vitu.
Appriciatee
Tunaenda nayo 2024
Nani anasikiliza january 2023
nipo apa 😁
Tupo wengi Sanaa.,
Mi npo April 😀
@@edgartanzania4119 wakongwe sie😀
@@noeljuliusmalecela..8870 naona
Still they gat a juice love from 2024
March 2023 and still My Fav 🔥
Since 2009 to May 2023... And forever....
Tujuane 2023 bado tunabang nayo tu tupie likes hapo
❤❤
Tupo babu😂
2024people hands up
Nani anasikiliza 2024
HAPA KENYA 🇰🇪
QJ TUNAMTUKUZA MUNGU KWA KUOKOA 2024 HALLELUJAH 🔥🔥🔥🙌
Nan yupo hapa 09th, Oct 2024, ...
Who is Here 09th,Oct 2024...
Old is Gold....
19th oct 2024 mtoto anang'ara kama candle light
This is the Tz music i used to like, wakali kwanza , love from Drc🇨🇩🇨🇩
19.08.2023
Naikubali mpaka leo hii2023🔥🔥
ngoma zetu za miaka hii yan baada ya mwez moja hutaman kuisikia tena bt hawa jamaa cjui walikuwa wanaandika vipi ngoma zao yan hadi leo zinabeng 🔥🔥
Tutaishi nayo milelee
Kizaz cha hawa jamaa walikuwa wanajua sanaa
Walikua na passion
Nani anasikiliza November 2023♥️♥️♥️♥️
Mziki mzurii unaishi
Mimi na sikiliza December 2023
Ni mashairi yalioenda shure kitambo kidogo acha niinjoy 2023 ❤
Mpenz njoo usione Soo,,,,kitambo kulikuw n mambo!!!sharaut kwao talented guys
Nani yupo hapa 2024 November ❤❤❤
2024 apa enzi za msing nilifunga spika kubwa juu ya chunguu.... Hii goma ikipigwaaa Adi chunguu nakutaa ufaa, ebana daaah vya kale dhahabu
These guys have lived ahead of time. The messenger App era of sending photos. Wakali Kwanza all the way 💪
2023 and still its hitting differently
Natamani 2023. Ngoma za hivi zimepotelea wapi bongo flava?
2024 mwezi wa 4
Asante sana boss makamua nakubali sana
Tujuane tuliokuja kumuangalia Qj
Kama upo single na umekuja kusikiliza hii ngoma 2024 hii gonga like hapa.
Best song all the time🎉❤ 2024
Till 2024.ingali hit.
wimbo mkali sana nimekuja kuucheki 2024 baada ya wakongwe kazini kuucheza kwenye kipindi chao
Please take me here! Nostalgic 😭😭
Classic mpaka Leo. Bana eh wapatane tena watoe mtwango kali kama huu
The magic sing 🎼🎼🎼🎤🎧
Nostalgic! Take me back to this era. 🇰🇪
Mamae nyimbo imeimba kwenye akili yangu mwaka wa 5 sasa natafta jina lake tu nimeipata leo daah
Yani natamani warudi tenaa kuimba kama zamani daaaa 🙌😥❤️
Daah🎉
2024 bado nikiwa na stress narudi ktk vit vilivyotupa raha japo simanz kwa mbali kwa wenet waliotangulia ktk haki zilihit hizi ngoma tukiwa wote
Makamua your the best I will die love this song bigup from kenya salute
Those days TBC ilikua kipindi cha boda 2 boda ilikua nikirudi skuli lazima nicheki, ilikua nna nyimbo zangu nisipoziona asee sijatazama kipindi hii ilikua moja wapo na ile mshike bega umpendae ya hussen machozi
Daaaaaa bonge la shuzi mpaka sasa 2023 quality yake ipo sawa na za sasa na zaidi
Anayesikiliza ngoma hii 2024 gonga like
Kama mpya imetoka jana vile
Baada ya miaka kadhaa r.kelly na usher wakaimba theme inayofanana na hii.Respect to our legends.Wakali kwanzaaaa 🙏
Same girl au sioooo?
Kwahiyo same girl wamecopy hapa???
😂Inawezekana
Bado tunaiskiliza 2024 🔥🔥🔥🔥
Nakumbuka mbali sana..hii nyimbo nakumbuk hapo mwishon ndipo nilipokua naanzia kuchana nilijifunzia kuchana kw beat hii..i loved wakali kwanza guys..walikua gud
Hiiii ngoma nakumbuka nipo primary ndio inatoka mimi na washkajii zanguu😂ndio tukawa tukitaka kuitana tunatumia iyo YYYEEEEEEEAAAAAAA hapo mwanzo😂😂dahh life bwna 🎉🎉❤😂
huyojamaa kama aconi anajuwa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑
2024 nimerud tena
11/10/2023 Ndo naskiliza mzk mzur kama huuuu JOSLIN WAp mzeeee???❤❤❤❤❤❤
Azichuji miaka buku❤❤❤
Nani anaskiliza ii ngoma kila baada ya mda fulan maana n 🔥
Legends hadi mwisho,.. The songs were lit,.. Clean version and videos... Maneno matamu
Nimeusearch kila kona nipate audio yak lkn wap dah….bonge moja la nyimbo ❤️🔥💪🏿
Nausikiliza mpaka kesho
Daaah Kweli VYA kale dhahabu.
Mwanangu Qjay Hongera kuja Kwa katika madhabahuu
Ngoma tamu mno hii much ❤
My Best song of all the time .
Tanzania pride
Pastor QJ MUNGU mkuu sanaa kamuokoa🙏🙌🙌🙌
Nani yuko hapa 2023 haki nilipenda Mambo Mseto juu ya mziki kama huu.
🥰🥰🥰🥰🥰wat a hit 2023🔥🔥🔥🔥
May 2023 and still My Fav 🔥
Yaani hii ndio RNB ya ukweli ....yaani ilikua bonge ya hit. Mpaka sasa 2070
Talk about bongo old RnB..wakali kwanza were among the founders♥️
Huuu wimbo naupenda paka kesho bas2 leo talehe 19.6.2023 naijoy nao
Octobe 2024 I’m here Natamani master piece will live forever
Nimekuja hapa June 2024 naskiriza hili dude❤❤
My favourite since day one 💯🇰🇪
❤Tujuana 2024
2009 song I just remember far and long time and many mostly years ago 💯💯💯💯.
walijua sana kutuburudisha hawa jamaa. ckuhz muziki hauna ladha kbs.
Muda unaenda kasi mnoo.... Good music lives for decades
Sarut sana ngoma hii
nyimbo ilikuwa mbele ya muda
yaani inamaanisha miaka 17 yashaapita tangia hii hit itoke 😭
Hii ngoma haichuji
Tatamani one day nimuonee mtu ntakae data kwake milelee
Hit zangu pendwa za zamani, mpaka sasa 2022 naupenda huu wimbo
2023 take me back to this era
Official tarimo ngoma kali❤
Mimi nimekuja kuangallia baada ya kumuona kwa pastor akimuambia hebu imba ule wimbo wako
Dah long sana nyimbo haiishi ladha
13..March 2023 Nani anaiskiliza kesho 🔥 🔥
This is living music
Classic wakati niko Advanced
Hii ni Ngoma kali,waliumiza kichwa sana
Hapa master Jay alituliza kichwa
still crazy about this song....
The so called Music industry, haizalishi wasanii wa aina hii tena.
We were blessed to witness these talents.✊
vi wakowapi awa jamani 2023
I am here in 2024...hawa jamaa warud bas watoto wa 2000 atuku wa enjoy sana bhna😂😂
THIS IS MUSIC MENN
❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
Jamani waandaaji wa matamasha wasafi festival mbona hamtoi nafasi Kwa Hawa vijana ??
The song was fope haki❤❤
Watu wa Burundi 🇧🇮 mko wangapi mriopendaga song hiiyi
Leo,Sasa hivi nasikiliza🎉
June 2024 🔥
my best bongofleva rnb song of all the time,actually my best song of all the time
Twende nalo 2025🔥🔥🔥
still in my mind this song..but my girl friend let me down😢😢
Aiseee hii ndo bongo flever tunayojua fantastic squad old is gold
ngoma Kali Naicheki 2023
These vibes won't ever expire man!!!
Feb 2023 and still my fave