Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Asante Iddi Suedi....Mimi ndio nimekubali, nyote mpate kujua kuwa mie ndio kingKibali nimeshapewa msiyatafute mengiNdio kweli nnae
duuuhh nimemuona my president samia
Nani kamuona mama samia suluhu Hassan kama mimi
Zilipendwa best
Kabisa yaani... nyimbo naipenda hii
Nice song,, it is true old is gold.
Nice songs
Hizo nyimbo adimu Sanaa taarabu ndiohizo
Naam hizi ndio taarab zetu
Ndie mimi kwake nilopata namba mshipa haunitwangiYeye na mii tupo wawili sambamba tabia hazitupingiWenye ndimi zenye fitina na chuki nawaomba wawe maji ya mtungi
Mimi pia nakumbuka chuoni mida hiyo kwa Shekh Ameir Tajo Kwaalinatu
Asante mkizimkazi haliisi tupe Raha wazanzibari
Khatariiii pambeee❤❤❤
kweli sinae hatakama nnaishinae
Kwa nini sasa
asante sana njimbo mzur sana kweli nnae
خWee!Acha tu naupenda wimbo huu
Daahh!!
wallahi nakumbuka time za chuoni sa nane unusu mchana
😍😍
😂😂radio znz
ZANZIBAR IS MY HOME...✍️
,nimekumbuka zamani sn wimbo huo 1992
Semenikha Matenda da!
Naikubali
Hatari hii nyimbo alimuimbia aliekuwa mkewe
@@RioIpoAkaa! Basi jamaa yangu alokua mkewe na kafariki ni 3 or 4 months now
kweli ninae
Amina cute
Kipindi hicho alikuwa mkurugenzi wa ttcl iddi suwedi
🤣🤣🤣 maneno kuntu
Eeeh kweli Nnae
raisi Samia alikuwepo nae
Naam Mama alikuwepo kipindi iko alikuwa waziri wa utalii huku home Zenji..
Asante Iddi Suedi....
Mimi ndio nimekubali, nyote mpate kujua kuwa mie ndio king
Kibali nimeshapewa msiyatafute mengi
Ndio kweli nnae
duuuhh nimemuona my president samia
Nani kamuona mama samia suluhu Hassan kama mimi
Zilipendwa best
Kabisa yaani... nyimbo naipenda hii
Nice song,, it is true old is gold.
Nice songs
Hizo nyimbo adimu Sanaa taarabu ndiohizo
Naam hizi ndio taarab zetu
Ndie mimi kwake nilopata namba mshipa haunitwangi
Yeye na mii tupo wawili sambamba tabia hazitupingi
Wenye ndimi zenye fitina na chuki nawaomba wawe maji ya mtungi
Mimi pia nakumbuka chuoni mida hiyo kwa Shekh Ameir Tajo Kwaalinatu
Asante mkizimkazi haliisi tupe Raha wazanzibari
Khatariiii pambeee❤❤❤
kweli sinae hatakama nnaishinae
Kwa nini sasa
asante sana njimbo mzur sana kweli nnae
خ
Wee!Acha tu naupenda wimbo huu