JAMBO NA VIJAMBO : KUMBE MBOYOYO NI USALAMA WA TAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 166

  • @lucasjohnmabanda5858
    @lucasjohnmabanda5858 2 роки тому +3

    Huyu Jamaaa anachekesha bila hata kutumia nguvu sana. Ni uongo wake tu, hongera mboyoyo

  • @franktulian9692
    @franktulian9692 3 роки тому +20

    Yan huyu dada me nampenda sana

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 3 роки тому +6

    Huyu jamaa ndo tuseme akujaze kwenye 18 anakutapelii vizuri😅😅😅namkubali sana maneno kumi

  • @mustiboy8404
    @mustiboy8404 3 роки тому +3

    Ah nice kk

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 3 роки тому +16

    hili jamaa huu uuongo sijui linautoaga wapi wallahi ?
    eti liliingia kwenye underwear ...😂🙌

  • @alexmoris7318
    @alexmoris7318 3 роки тому +5

    Huyu mjinga huyu daaaah😅😅😅😅

  • @ABDISTARFILMS
    @ABDISTARFILMS 2 роки тому +1

    Mmetisha sana siwapingi wanangu wa faidi

  • @najmaawadh1359
    @najmaawadh1359 2 роки тому +1

    Yaaani ningekuwa ndio mm mama kilakshan ningechka mwanzo mwisho mpaka wakanitoa wallh Yuko serious kweli hacheki

  • @eglesiasmogano141
    @eglesiasmogano141 3 роки тому +8

    Daah mboyoyo noma

  • @Divinejr360
    @Divinejr360 3 роки тому +3

    “Nikamwambia wee are you crazy”😂😂

  • @amirizahoro559
    @amirizahoro559 2 роки тому

    Appreciate!!!

  • @rickierunyota3613
    @rickierunyota3613 3 роки тому +14

    😂 😂 😂 😂 Ili jamaa liongo nyiee, alaf akimalza story anaomba buku

  • @mwanaididudi3156
    @mwanaididudi3156 2 роки тому +1

    Katengenezewa sanamu atalanta

  • @twahamwela2158
    @twahamwela2158 3 роки тому +3

    Dah!!!! Ha haha haha haha huyu jamaa hataree HUD HUD mtoto wa kiarabu wakat ni ndege wa nabii Suleiman dah!!! Huyu anazngua kwely mboyoyo Master

  • @andrewmtalemwa6970
    @andrewmtalemwa6970 2 роки тому +6

    Aliponiona tuu akajua huyu simple man yanki billionaire, means jeshi wa kwanza kuanzisha nguo za mabaka mabaka nilipokula ngozi ya kenge

  • @mahmoudmwamba8014
    @mahmoudmwamba8014 3 роки тому +7

    Eti lilikuja bonge la mboliii....alafu anaitoa dwaaaaa

  • @davidkivavala3218
    @davidkivavala3218 3 роки тому +5

    Anaongea yupo serious kam kweli vile😂😂😂

  • @frankkisiki4832
    @frankkisiki4832 2 роки тому +1

    Kwaiyo mimi kutengenezewa sanamu langu atlanta sio jambo dogo 😂😂😂

  • @critical_khalidghalib9698
    @critical_khalidghalib9698 3 роки тому +5

    Izlael nchi sio mtoa loho

  • @yusufm1
    @yusufm1 3 роки тому +5

    Mboyoyo ana Katoo hatary Miayo Vepee 😂😂😂😂

  • @samwelmwaimu9071
    @samwelmwaimu9071 3 роки тому +16

    Chini kwa chini kwenye under wear😂

  • @ONEdreamfilmtz
    @ONEdreamfilmtz 3 місяці тому

    Dah 😅 nimeiludia kuiangalia hii video mala 2😅

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 роки тому +2

    Eti ndizi imepandisha bei mbegu ya utumbo

  • @thebushguy5774
    @thebushguy5774 3 роки тому +5

    Like kama umepiga miayo baada ya huyo boya kupiga miayo

  • @andrewmtalemwa6970
    @andrewmtalemwa6970 2 роки тому +1

    Ndizi imepandisha bei Mbegu ya utumbo

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 3 роки тому

    Noma sana

  • @nyamogasantana2739
    @nyamogasantana2739 2 роки тому

    mshikaj noma sana

  • @ONEdreamfilmtz
    @ONEdreamfilmtz 3 місяці тому

    Anajua zaid ya sana

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 3 роки тому +2

    Hii english ya mboyoyo aise huyu jmaa htr

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 3 роки тому +3

    Ntapiga mbawa

  • @jastinjustus6878
    @jastinjustus6878 3 роки тому +6

    Nice

  • @mayilahamisi3730
    @mayilahamisi3730 3 роки тому +6

    Fala sana huyu 🤣🤣🤣🤣

  • @tizzodash9798
    @tizzodash9798 3 роки тому +2

    Uyu mboyoyo noma

  • @mastaplan
    @mastaplan 3 роки тому +5

    Huyu jamaa ongo sana asee afu hacheki 😂😂😂😂

  • @mohamedmkunga3358
    @mohamedmkunga3358 3 роки тому +3

    Nacheka sanaaa 😂😂💥💥

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 роки тому +2

    9:08 akawasha gari akateleza

  • @norbertrukaka2637
    @norbertrukaka2637 3 роки тому +30

    Napenda kujua Nani anamwandikia script huyu jamaa duh!😂

  • @Thevoltex14
    @Thevoltex14 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaah mboyoyo

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 3 роки тому +3

    Ina Provoke!!!

  • @babab1227
    @babab1227 3 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂 wapi aguero wa kujidai 🤣

  • @ramadhanikizingq8972
    @ramadhanikizingq8972 3 роки тому +3

    Mboyoyo anatupiga na kitu kizito hapa

  • @paulsamweli2349
    @paulsamweli2349 2 роки тому

    Jamaa muongo sana..

  • @mzunguxidde9071
    @mzunguxidde9071 3 роки тому +4

    Hili jamaa dah😂😂😂

  • @majidsalum64
    @majidsalum64 Рік тому

    Huyu jamaa anachekesha kwa uongo wake na maneno yake dah😂😂

  • @najalinanyambo3971
    @najalinanyambo3971 3 роки тому +2

    Jamaa alimeza moshi daah cha uongo

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 3 роки тому

    Kifua sasa👍

  • @madengepopah905
    @madengepopah905 3 роки тому

    We jamaa fundi sana

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 3 роки тому +3

    Mbele kinaenda rudi kinanyuma

  • @salimnondo740
    @salimnondo740 3 роки тому +8

    custody 😂😂😆😆😅

  • @moviccreativestudio
    @moviccreativestudio 9 місяців тому

    Huyu kijana anatisha sana😅😅😅😅

  • @edwadjulias5460
    @edwadjulias5460 3 роки тому +12

    Wewe fala utniua et hafsa usalama 😂

  • @williamlyangoo9195
    @williamlyangoo9195 2 роки тому

    Only three question may ans but there is no education kwanini unaisumbua tanzaniaa??? Chini ya undeewear

  • @hamisimjaka8664
    @hamisimjaka8664 3 роки тому

    jamani eeeeeeh njoni huku kuna kunako jambo na vijambo kumenogaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂👍😃

  • @rajabbinjumah9026
    @rajabbinjumah9026 3 роки тому +8

    Hahahaaa 🤣

  • @madarakaempire4744
    @madarakaempire4744 3 місяці тому

    Muongo uyuu😊

  • @hamisimjaka8664
    @hamisimjaka8664 3 роки тому

    noma Sana hahahhahaa hahahaha 🤣🤣🤣😂😂 full durudani

  • @LifeofSalmah
    @LifeofSalmah 3 роки тому +2

    Mboyoyo mzee wa castad🤣🤣🤣🤗

  • @abinelikagezi9217
    @abinelikagezi9217 Рік тому

    Nilikuwa nimeinstruts😂😂😂

  • @buluush9741
    @buluush9741 2 роки тому +1

    Bibiake ana maziwa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maulidimtande9122
    @maulidimtande9122 Рік тому

    Mwaka gan huo 76

  • @ramadhaniissa5370
    @ramadhaniissa5370 3 роки тому

    Safi

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 3 роки тому

    Hili dude liongo

  • @mosabipeter1472
    @mosabipeter1472 2 роки тому

    😂😂😂😂 mboyoyo fala sanaa🙌🙌

  • @sunrishmussan6958
    @sunrishmussan6958 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣 ukweli kabxa hakuna kama hawa

  • @mwalimungoda
    @mwalimungoda 3 роки тому

    Imerudiwa

  • @reyca_v.i.p
    @reyca_v.i.p 2 роки тому

    Ivi ulewimbo iddi amin alitupwa bwawa la mamba ni kwelii 🤣🤣🤣🤣

  • @amirizahoro559
    @amirizahoro559 2 роки тому +1

    Huyu jamaa muongo aisee...yaani unaweza kucheka mpaka ukazima,hizi anaandika mwenyewe au??

  • @mahmutyenigun121
    @mahmutyenigun121 2 роки тому

    In
    İyidir Kk

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 3 роки тому +2

    Mimi nimekomea hapo underwear 🩳😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @benjaminalex8713
    @benjaminalex8713 2 роки тому

    Ili linaasili ya uongo tu

  • @abdulnasser4493
    @abdulnasser4493 2 роки тому

    there is no another comando mimi

  • @aguerowakujidai6509
    @aguerowakujidai6509 3 роки тому +5

    Pindi langu pendwa LA dunia

    • @babab1227
      @babab1227 3 роки тому +1

      Hahahahahah Leo nimechelewa Sana pind letu pendwa la dunia😂😂😂

    • @aguerowakujidai6509
      @aguerowakujidai6509 3 роки тому +1

      @@babab1227 inaonekana majukumu ya kujenga taifa yamekuwa mengi mwamba

    • @babab1227
      @babab1227 3 роки тому +1

      @@aguerowakujidai6509 WAP sasa mzee me ndo tuma kwa namba hii Sina kaz 😂😂😂😂😂😂😂🤣

    • @aguerowakujidai6509
      @aguerowakujidai6509 3 роки тому

      @@babab1227 Hahahahaaa so kweli au nawewe usalama wa taifa nini mzee baba

  • @sir_leem_marlian1166
    @sir_leem_marlian1166 2 роки тому

    Nitapiga mbawa ama muone😁😁😁🔥🔥🔥

  • @Abdimanzi-i2x
    @Abdimanzi-i2x Рік тому

    Aa nyie mwisho bwana mumetiisha nwapnda kweli yaan 😅

  • @P4Principle
    @P4Principle 3 роки тому +2

    Mboyoyo fara sana 🤣

  • @sammushi1512
    @sammushi1512 3 роки тому +1

    Haha kuna watu waongo😂😂😂

  • @fentv7651
    @fentv7651 3 роки тому

    😂😂mboyoyo alipita anderwear..

  • @strong8534
    @strong8534 3 роки тому

    Kichwa cha treni, mbele kinaenda rudi kina nyuma😀😀😀😀

  • @michaelking-s7r
    @michaelking-s7r Місяць тому

    duniani hakuna muongo kama huyu na anapenda ushirikiano

  • @issai.ibungu
    @issai.ibungu 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣 jamaa katoka nduki

  • @iddibaruani5615
    @iddibaruani5615 Рік тому

    Mboyoyo unafaa kua tapeli

  • @ahmadimwega8254
    @ahmadimwega8254 2 роки тому

    Duh uyu jamaaa🙈🙈🙈🙈

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 роки тому +1

    Eti hudi hudi mtoto wa kiarabu. Wakati hudi hud ni ndege

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 роки тому

    Nimesema nini apo

  • @shedrackslyvester8684
    @shedrackslyvester8684 3 роки тому

    Mboyoyo ajengewe sanamu lake posta

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 2 роки тому +1

    Yani kutoka kwenye bomu mpaka utumbo na ndizi mmmmmh

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s Рік тому

    Dah 😅😅😅😅 huyu jamaa jau

  • @nungabadest6913
    @nungabadest6913 3 роки тому

    Mbele kinaenda rudi kinanyuma 😂😂😂

  • @fabianemmanuel6253
    @fabianemmanuel6253 Місяць тому

    Huyu jamaa muongo balaa

  • @jollityjorgan5920
    @jollityjorgan5920 2 роки тому +2

    Chini kwa chini kweny under wear 😂😂😂

  • @najmaawadh1359
    @najmaawadh1359 2 роки тому

    Hahahaha yaani pia mm nashanga kma huwa ana soma script kweli ama Yana toka kwenye akili yake

  • @Mhasibu
    @Mhasibu 2 роки тому +1

    Rudi kinanyuma😂😂😂

  • @mwanaididudi3156
    @mwanaididudi3156 2 роки тому

    Ilijamaaa alifanikiwa kuwa maalufu kama joti

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 роки тому +1

    Israeli siyo mto roho Israeli nchi...😄😄😄😄

  • @Angelmalaika.
    @Angelmalaika. 3 роки тому +3

    😅😄😄😄

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 роки тому +2

    Hatal xana

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 роки тому

    Mboyoyo chaurongoo jamani

  • @hassandormkeyo4867
    @hassandormkeyo4867 Рік тому

    commando wa mchongo

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 3 роки тому

    Kwenye BEMBEA HAHAHAHAAHHA