"Wananchi msibaki nyumbani njooni tuimbe Wachezaji tukiskia mziki jukwaani tunahamasika"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 71

  • @pilato.wagadugu
    @pilato.wagadugu 2 роки тому +12

    Mwananchi mwanachama usibaki nyumbani njoo tukaishangilie timu yetu.
    Daima Mbele Nyuma Mwiko

  • @michaellebwanga3054
    @michaellebwanga3054 2 роки тому +7

    Daima mbele nyuma mwiko, Common Wananchi 💚💛

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 роки тому +1

    Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 роки тому +6

    All the best young Africans

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 2 роки тому +4

    Mfalme wa jangwani nani anakataah💚💛🙌🙌🙌🙌

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 2 роки тому +4

    Naam tunakujaa kikubwa tuwe na. Afyaa🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼tuwe salam sisi sote

  • @christiamapendo9186
    @christiamapendo9186 2 роки тому +2

    Dua zetu ziko pamoja nanyi ishallah tunatetema mapema tu iwe ☀️ jua iwe mvua watapigwa kama ngoma warabu ishallah tutashinda

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 2 роки тому +8

    Joh, sisi hatubaki nyumbani, tunakuja kuujaza uwanja kikubwa mtufurahishe kwa kufunga Magoli mengi

  • @khalidmaalim2439
    @khalidmaalim2439 2 роки тому

    Tutakuja kwawingi kuujaza uwanja king mayele daima mbele

  • @aminasaid308
    @aminasaid308 2 роки тому +1

    Mungu yuko pamoja nanyi yanga yetu daima mbele mwiko nyuma Ameeeeeen

  • @aronbenjamin670
    @aronbenjamin670 2 роки тому +2

    The king mayele

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 Рік тому

    Kuhusu kujaza uwanja tuu mie peke yangu natosha uwanjaa mzima fujo langu tu mie nitaimba had bas mungu awape nguv na ss atupe nguvu INSHAALLAH 🤲💚💛💚💛💚

  • @mbukio_Lyrcs
    @mbukio_Lyrcs 2 роки тому +3

    #IWE_JUA_IWE_MVUA_TUKUTANE_KWA_MKAPA💚

  • @mariamsaid1093
    @mariamsaid1093 2 роки тому +2

    All the best my team 💚💛💚💛💚💛

  • @haleemakilalakhelyangayetu8607

    Inshallh mwenyez mungu atufanyie wepesi

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 2 роки тому +1

    Inshaallah ushindi ni wetu tu

  • @officiallcoolest_khid3223
    @officiallcoolest_khid3223 2 роки тому

    All the best young africans
    Daima mbele nyuma mwiko

  • @victorcoelestine6732
    @victorcoelestine6732 2 роки тому

    God bless my club #YOUNG SPORTS CLUB🙏🙏🙏

  • @stevenjohn5523
    @stevenjohn5523 2 роки тому +2

    Wakwanza Mimi like zenu

  • @justinenjau7936
    @justinenjau7936 2 роки тому

    All the best young african!!!!

  • @lowasakitwiyan7758
    @lowasakitwiyan7758 2 роки тому +1

    Kikubwa tumtangulize Mungu tutapata ushindi

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 2 роки тому +2

    Tunaomba dua nyingi, na Tutatetema pamoja.

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥

  • @kidravanmsodoki9946
    @kidravanmsodoki9946 2 роки тому +2

    💚💚💚💚

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 2 роки тому +1

    BYUT BYUT 💛💛💚💚

  • @mustaphasayyid6740
    @mustaphasayyid6740 2 роки тому

    All the best my team 💚

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +1

    Jaman tujitaidddd tukajazeee waleee wasengeeee wanafujooo kwaooo

  • @lameckdingoo4404
    @lameckdingoo4404 2 роки тому

    iwe mvua iwe jua

  • @thedon8048
    @thedon8048 2 роки тому +1

    💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @mkingasana400
    @mkingasana400 2 роки тому +1

    Sàwa super striker

  • @dogoshazzy9050
    @dogoshazzy9050 2 роки тому +1

    👍👍👍👍

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 2 роки тому

    😁😁😄mayele we ndo huyo huyo jamaa anajuwa kuongea asee

  • @saadamohammed7852
    @saadamohammed7852 2 роки тому

    Inshaalaah

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 2 роки тому

    We will be there inshaalah

  • @nasskidy5471
    @nasskidy5471 2 роки тому

    🔰🔰🔰🔰🔰🔥💪

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 роки тому +3

    kwamara yakwanza j mosi nitakuwepo kwamukap

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 2 роки тому

    next big thing

  • @stevenjohn5523
    @stevenjohn5523 2 роки тому +1

    Yanga damu

  • @dianacornely4600
    @dianacornely4600 2 роки тому

    I wish ningekua tanzania jamani...natamani sana ninge udhuria.

  • @faustinewilliam4908
    @faustinewilliam4908 2 роки тому

    Yanga Daimaa

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 2 роки тому

    Young Dar Africa

  • @stevenjohn5523
    @stevenjohn5523 2 роки тому

    Yangaaaaaaaa

    • @Ongati
      @Ongati 2 роки тому

      tutajaaaaaa

  • @maximobonga6770
    @maximobonga6770 2 роки тому

    Safi mwamba

  • @Veni584
    @Veni584 Рік тому

    Bw. Mdogo omba uraia hapa maana umeshakuwa mmbongo haswa

  • @emmanuell.mkainei6695
    @emmanuell.mkainei6695 2 роки тому

    Iwe jua iwe mvua jumamosi hawatokiiiiiiii

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 2 роки тому +1

    Naaam naaam twendeni

  • @barnabayotham837
    @barnabayotham837 2 роки тому +1

    Tupo tayari kuwasapoti

  • @almachnestor8955
    @almachnestor8955 2 роки тому +1

    Kila kitu kinawezekana tu endapo wachezaji wakitimiza wajibu wao, jambo la muhimu kila tendo wawapo uwanjani walifanye kwa usahihi, utulivu unatakiwa ususani kwenye kutumia nafasi wanazo tengeneza, kuzitumia vyema kupata magoli. Nawatakia kila la heri naamini tutapata matokeo chanya kwa matokeo ya jumla na kusonga mbele.

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 роки тому

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @rojasjonas6451
    @rojasjonas6451 2 роки тому

    Nitakuwepo

  • @karimuathumani8515
    @karimuathumani8515 2 роки тому +1

    Nguvu ya kutetema

  • @athumansadiki2943
    @athumansadiki2943 2 роки тому

    Twendeni twendeni asibaki mwananchi nyumbani, wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 роки тому

    Mechi ni mda gani jmn

  • @ramcymosungu4700
    @ramcymosungu4700 2 роки тому +1

    Huyu. Jamaa mtu n nusu San

  • @matashobyajosia2109
    @matashobyajosia2109 2 роки тому

    tuko pamoja nayiyi mugu yupo pamoja nayiyi

  • @rechomilinga4131
    @rechomilinga4131 2 роки тому

    Tunakuja habakk mtu nyumbani kujakupata burudan I ya yanga rahasana hatuna hofu kwawachezaji wetu

  • @majidsalum64
    @majidsalum64 2 роки тому

    Tunakuja kwa wingii msituangushe

  • @reemydj9364
    @reemydj9364 2 роки тому

    Kutetema lazima

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 роки тому

    Fanyeni wajibu wenu mshinde kwani mkilipwa mshahara tunagawana? Fungeni kwani ni wajibu wenu hata kama hakuna mashabiki

  • @legangatzmedia4846
    @legangatzmedia4846 2 роки тому +1

    Nishakata tiketi nakuja tuwapige ngumi mchomoko tutawapiga kama ngumi

  • @juliethkavishe1586
    @juliethkavishe1586 2 роки тому

    Unajaa mapema2

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 2 роки тому

    Tiket nishanunua siku nyingi

  • @selemanijuma9804
    @selemanijuma9804 2 роки тому +1

    AL HILAL ITAPIGWA KAMA MSWAKI TUTAKUJA NA UWANJA UTAJAA TU

  • @prosperswai490
    @prosperswai490 2 роки тому

    Mimba 😂😂😂

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 роки тому

    Uto kaz mnayo jmos wale si zalan bhana

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 2 роки тому +1

      Yanga Atamtomba Yeyote Atakaye Gonoka Mbele Yake Simba Ameshatombwa Zalan Nae Katombwa Ni Zamu Ya Hilal Nae Atatombwa Mbele Ya Mkutano Hatutaki Kuangalia Uso Wa mbuzi Sisi

  • @mrlonsman9706
    @mrlonsman9706 2 роки тому +1

    Daima mbele nyuma mwiko