Brayban Ndio mana (Official Music Audio)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- #mapenzi #mahusiano
#ndiomana is a love song created by me @Brayban specifically to insist the situation of leting things go, to keep calm with our beloved ones to make sure we spread love with each other and sometimes beg for forgiveness whether you have made a mistake or not, you know love is the beautiful thing created by God.
Lyrics
Verse 1
Ni sawa naishi nawewe ndani,
Ila moyo wako upo kwa mtu mwingine
Ni sawa siwezi kusoma ramani,
Ina maana picha siiooni?
Nakusikiliza kwa kila jambo,
Ushauri unaomba kwingine
Ni sawa siwezi kusoma ramani,
Ina maana picha siiooni?
Ndio maana (ukisemwa kidogo unanuna)
Ndio maana (mara nyingine unauchuna)
Ndio maana (roho yangu inaniuma)
Ina maana ( hunionei huruma
Chorus
We fanya visa ila ( niko pale pale)
Mapenzi yangu bado (yako pale pale)
Inaniumiza ila (niko pale pale)
Mapenzi yangu bado yako pale pale
INSTRUMENTAL
VERSE 2
Nishakujua babe una hasira,
Ndio maana mimi najishusha chini
Sipendi tunavyorushiana mpira,
Lawama zote nitabeba mimi
Si unajua kipenzi bila we mi si chochote,
Nisamehe saba mara sabini,
Tumalize majino tuzeeke tukiwa wote!
Mara mia kipeenzi ningekuwa na mwingine,
Pengine ningeona sawa,
Tumalize ujana tuzeeke tukiwa wote
Ndio maana (ukisemwa kidogo unanuna)
Ndio maana (mara nyingine unauchuna)
Ndio maana (roho yangu inaniuma)
Ina maana ( hunionei huruma
Chorus
We fanya visa ila ( niko pale pale)
Mapenzi yangu bado (yako pale pale)
Inaniumiza ila (niko pale pale)
Mapenzi yangu bado yako pale pale
Mungu akutangulie kwa kila jambo nyimbo zako safi hazina matusi 🙏🙏🙏
Unyama sana broo❤❤❤❤❤
broo mungu akuonekanie huu mwaka goma zoka zinakuaga fiti nazipenda sana ❤❤❤❤
Have been waiting for this song wahh🎉🎉 congratulations brayban my favourite
Wa Kwanza ku comment nipeni like zangu kama una mukubali brayban❤❤❤
❤❤❤
Inaweza bro napia inaguza
Bravo brayban
Kaka ujumbe wako ni moto,, nakupa heshima zangu acha Mungu akusongeze hatua zaidi ya hatua
Best song from my best artists Brayban, much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️❣️🥰❣️❣️
Brayban will remain to be my best artiest, much love from Kenya ❤❤❤🎉
Namkubal huy mwamb
Nitapata aje ngoma enyewe nimejaribu ku- download kwa mdundo ni kama haiko uko
Yaaani Huu WIMBO nimeuelewa Ww Mr BRAYBAN ulikua unaniimbia matatizo Yangu Tu! Daah
Nakubal damu yang 🚀
Unajua mwanangu all the best songs za kushika hisia
Pambana mwana nimekubali
🔥🔥🔥 so much love from kenya 🇰🇪
Congratulation bro!
Bigup mdogo wangu kwa kazi safi
Legit and my tune in the city 💘💘💘
doogo unaweza sana big up aise ndo maana dada anakuelewa
Da nakubali San by cau boy music officel
Yaaah nakubar sn🎉🎉🎉🎉
komaa tu broo usigiv up
Kali 🎉
Love from Kenya ❤
Bro unajua adi unakera🎉🎉🎉🎉🎉
Iko sawa
Bro uko top izi nyimbo zako dzo hua naibia bb yangu
I appreciate kazi yamikono yako kaka tulipokaaa🎉
Nakukublii San btayban
Ndio maana bonge moja la ngoma
Uhakikaaaa❤❤❤❤❤❤ nimeipendaaaa bule jmniiiii❤❤❤
Beats mind blowing... soft words wow na feel kuzinzia...
Soothing my heart ❤
Wait wait
❤❤❤❤ kuumbee
Nasubr Kaz kaka
love it,keep it up❤
broo song Iko poa naipeenda sana mungu akubariki tu broo ❤❤❤❤❤
Bro Huu mwaka Ni wako kuwasa moto BIG UP
Mwanangu una vingoma vizuri sana ila uwa mnabadilisha sana akaunti
Nkiwa Kenya nakupa kungole mwangu
Bravo my artist
Napenda nyimbo zako zote Brayban🎉🥰
Big up broo nice song never give up
Good music from homie,,,tunasogea
Nakubali sanaa kijana
Jamani mpeni like nying mwamba anaJua huyu
Best of the best❤
Una jitahidi mwamba
wimbo huu umenigusa.pa kubwa san😢😢😢
😢😢kaniguza kwenyewe
Huu mwaka brayban umewasa moto
Much love our Kenyan artist ,,, ❤❤❤❤❤❤❤
Kenyan
Uongo si mkenya
Dah tupo pia ambao tunavumilia lbd atakuwa km mwanzo nikxklz ih nyimbo adi nalia
Wimborne nzuri kaka endelea kukaza kamba utakuwa mwimbaji mkubwa Afrika.
❤❤❤ uhakika love is de same like war some time be humble to make sure ur be safe. One love bray
lit
Bravo Bray keep it up ❤
Mwenyezi mungu akutangulie katika uimbaji wako utafika mbali sana unagusa mioyo ya watu aiseee❤❤❤❤❤❤
We should not olny celebrate brayban but pray for him if what he sings is from experience 😅
Hongera sana ngoma zako zanipa mtisha sana sikomi kusizika endelea ivo ivo ❤❤ love from Saudi Arabia
My G i like your hardwork bro,
This guy Ako juu napenda nyimbo zke
Ngoma. Kali kinoma
Naupenda sana nyimbo zako mungu akubariki sana
❤❤❤❤🎉🎉Kali Sana mkali wangu
Saut ya bit imekua kubwa Sana haijabalancena saut
one love kutoka Kenya kaka Brayban.
brother unatish kinom yaaaan
Nyimbo zako brayban zinakubalika sana, kiukweli unaimba kwa hisia sana.
Unyama Sanaa 🤗 🔥🔥👍
Much love bro ❤❤❤❤ nimerudis wimbo mara kumi
❤❤❤WEWE NDO HUWA UNAANDIKIA MARIOO NYIMBO VIPI
My favorite ❤❤
Huyu mwamba💪💪
Much love my brother❤
So nice one keep it up bro 🎉🎉🎉❤
Kiswahili Bala tupu mapenzi shamra shamra🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Mungu akuongoze brayban msanii bora
🎉🎉🎉🎉
Naupenda huu wimbo❤
This kid is talented from Texas
Mmnh Hii ni Hit 🎯💫 SONG 🎉
Kaka asante
Hongera kiongozi nyimbo zako zimetulia kweli Big up bro.
I just love art if this man
Tell our my brother our song is better is generation w love you 🎉🎉
Uko vizuri sana
Hongera sana Brayban unajitahidi kwanyimbo zimetulia
good job my brother are you fire
MY FAVOURITE ❤
Big up 🔥🔥🔥🔥 go go
Wow ilke this songs
From US 🇱🇷, I really agree with this song ✌️✌️
Congratulations my friend
Baba up vzur
Aiseeee Mungu akuinue zaid na zaid
Good song 🇿🇼
Much love from Kenya bro, stand with your unique style and you will always stand as special plz usiingie kw mapiano
Bro huko mbele kipao au sio 🎉🎉🎉
Nice job kaka God bless you uwe zaid na zaid katik kufany vzr
Felt this.❤
❤❤❤. Hapo. 🎉🎉🎉
❤much love. Brayban
Much love brayban
Kali ndio maana 🔥🔥🔥
Napenda ngoma za uyu myama sana simba n wew wengine wakajibandika tu