Brayban - tuliza boli (official music video)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- The song described above is a heartfelt and introspective anthem that explores the challenges and struggles in relationship. It carries a message of resilience, determination, and the power of music as a form of self-expression and solace. The lyrics reflect the love journey through difficult times, acknowledging the weight they carry while seeking understanding and support from a loved one. The song's tone is both vulnerable and empowering, with verses that capture the complexities of life and a chorus that uplifts and inspires. Overall, it is a song that invites listeners to connect with their own emotions, find strength in their passions, and embrace the healing power of music.
LYRICS
VERSE 1
Oooh siku izi mapenzi yamekuwa kama vita, ila mwenzangu unachukulia kawaida
Hao washenzi wanaokupa kichwa, kwenye njia yako wamepanda miba
Ukiacha mapenzi na kushare kitanda, mimi na wewe ni marafiki
Kabla ya uamuzi baby ungepima, ukubwa wa kosa baby ungepima
Kipi kimefanya ukimbie ungepima, ukubwa wa kosa baby ungepima
Masikioni, masikioni mwako, najua wakujaza suumu
Huoni mazuri yangu
Masikioni, masikioni mwako, najua wamesambaza suumu
Huoni mazuri yangu
Tu tu tu tu tuliza ball, mwenzako nipo kikaangoni
Chorus
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Verse 2
Tatizo lako we unang’ang’ania, unang’ang’ania na kung’ang’ania
Hatuongei yakaisha, kitu kidogo tu unakazania
Umeruhusu machozi yakichafue kitanda, wakati unajua wakunifuta sKwanza upendo siri yake kupendana, pili upendo unataka heshima
Mwanzo mapenzi yalikuwa matamu, mithili y sukari iiii
Leo mapenzi yamefika hapa, umekuwa katiiiri iiii
Masikioni, masikioni mwako, najua wamesambaza suumu
Huoni mazuri yangu
Masikioni, masikioni mwako, najua wamesambaza suumu
Huoni mazuri yangu
Tu tu tu tu tuliza ball, mwenzako nipo kikaangoni
Chorus
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
#tulizaball #mapenzi #mahusiano
Huyu dogo nimemuelewa sana na hasa alivyo mshirikisha HIDAYA huyu dada mweusi napenda sana kuona rangi zetu africa
Ujumbe kwa wale walioko kwa mahusiano. Uwe binti uwe boi, ujumbe ndio huu
Wangapi munamkubali Brayban gonga like hapa
🎉
🎉
Uyu jamaa nmemuelew sn massage Yako na melod nzur
Does he has Management? I would like to talk to him.
Uyu Kaka anaiba vizuri sana naomba namba yake
Brayban,hii Ni fire wap likes za Ngoma wasee,♥️♥️♥️🌹🇰🇪
Tuko wengi sana
Ngoma nzuri sana,, tufanye remix bray...
Wangapi wanawatch huu wimbo 2025
Kwani huko ni wapi penye mko 2025 na Sisi hapa Kenya tuko 2024
@@Hariet-k7k 🤣🤣🤣
@@Hariet-k7k huyo ameforward siku zake achana nae😂😂😂
😮😅😅mm hapa
mimi
Naitwa kakizamungu niko rwanda nimewusikiliza wimbo kwamakini nimuzuri sana hongera sana
Jaman huu wimbo cichoki kuusikiliza kabisa bray hongera kw mistari
Hu wimbo nauelewa asilimia 💯
Kazii kubwa sana my bloody kenya iko top
254🎉
Juu sana
Nice one naipenda hii wimbo sn
New subscriber new friend
Jamani nmerudia mara ya pili naomba hta like jamn napenda sna hii song❤❤
Pia mm naupenda sana
Ok sawa hiyo song ❤❤❤❤😅 very nice
This song rings in my mind everyday,one of my favourite tune 🔥🔥🔥 keep pressing on dogo brayban
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪like hapa kama unaamini dogo hapa amewezaa
Bigup sana My friend👏B never give up polepole ndy mwendo🥰😘👏
am ON it's my nigaz m.safaree sha biggy rahollic more fire👍
Nimeipendeza nyimbo ila huyo dada nampenda 😮Sana uongo zambi macho yake naumia juu yake ❤
I'm really addicted to listening this song,much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️❣️
Sio wimbo tu hadi huyo bidada nampenda sana 💥⚡
🎉
Unataka umuibe au🤣
Much love from Kenya 🇰🇪
And from Uganda this side
🔥
That lady is beautiful,look at her eyes😍
She is very
Honey honeyyyyyyyyyyy hii imeenda my ........ Kila kitu kizuriiii hujawahi kuniangusha much 😘
Wow
I have watched more than five times ❤
❤napenda hii nyimbo
Jeshi salute..... Yani tembo la TZ.... Harmonize ft Darasa hit song is Africa's maddest collaboration hit 🎯💯 destroyer... Salute to jeshi and Darasa 01 ... Taking over Africa.... You're greatest African General from 🇰🇪.... You're approved you two bongo music 🎶🎵 beasts 😊
Brother Nice one thanks
I love this guy ohhh too much love from Uganda
Much love this song from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwanangu kaza .Kwa hiyo ngoma wabongo tumeielewa sana tu
How can i like twice😢😢
Kazi nzuriiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉 kaza mwana full dua kwako🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is the best video of the year
I appreciate that
Huyu wimbo naupenda kweli
brayban is not pregnant but he delivers the best 🔥🔥🔥wapii likes zake jamani
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
This song makes me to cry😢😢😢
Wow hii sound inanipea filling zingine .ilove this song
Dogo hii huu wimbo umenifanyaa nisikilizee zaidi kutwaa nzimaa, Hakikaaa unajuaaa wala hubahatishii maana umetutendeaa haki wasikilizaji 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Uyu dem mweusi asha act kwa kicheche. Namkubalia mie
This song hits deep . 🇺🇬 🇺🇸 ❤️❤️. Asante ndugu .
He deserves more views,,love your songs❤
Mimi naimba ila bro unaimba zaidi yangu me nakukubali sana
I love everything about the song ❤ keep it up my G
🎉
I swear am addicted to this song mbaya... But the problem I end up crying remembering what my one and only did to me..
we mwanamke kuna mtu kwenye hii dunia anakupenda sana na anataman siku moja akuone live ikiwa kama itawezekana
I have listened to this song over and over again!!! Big up!!!
On repeat tangu asubuhi❤❤❤❤❤. 'Kabla ya uamuzi baby ungepima, ukubwa wa kosa baby ungepima, masikioni, masikioni mwako najua wamekujaza sumu, huoni mazuri yangu"😢😢 such deep words.
Mapenzi chungu
Very wonderful ❤much love from Kenya
Yangu ndoiyo iyo yimbo iko sawa❤😊
Be ready guys I'll upload the audio from monday
Much love from kenya
Another talent has overcome the nature of the Bongo industry congratulations this is lit 🎉🎉🎉🎉
A nice song my brother wooow nce 💞💯💯💯💥💥💥💯💯🙏🔥
Nzuri Sana pia huyu dada namkubali mno
hatar sana
Y prince
@@BraybanRemix kaka hii yangu kabisaa nakubles
Jamaa unajua sana yaani nimeipiga more than 7
Sanaaaa blood umetisha sanaaaaaa
All the way from coastal area gonga like tukisonga
Finally nimepata msanii mwenyewe❤❤❤from kenya
Kalii sana
Aki Im addicted to this song...I visit more than 20times a day❤😊
Nikama mapenzi yanakutesa
Hahahàa aki
Aisee video umefanya the Best sana aisee 🔥🔥
Sijaelewa kwakweli maigizo na Message ya wimbo Ni vitu viwili tofauti kabisa nice beat Voice hongera
Nimevutiwa Sana video kwa kua inaonesha maisha yetu ya kawaida ...hata sisi wanawake wa kawaida tunaumizwa na mapenzi...
Sio matajiri tu... Video inaonesha maisha ya mtanzania ya kawaida...
Wimbo Ni mzuri pia kwa kua umebeba ujumbe mzito kuhusu mapenzi.... Binafsi unanifikirisha nje ya mahusiano ya kimapenzi lakini tuna urafiki pia... Pia kila kitu kinaweza kusameheka na maisha yakarudi upya... Hongera Bry
Masai lady
Naupenda sana huu wimbo
This guy is talented.He will be a star .All the best Bray
I appreciate that
Dogo ako vizur sana
Much love from Jordan 🇯🇴
The song is just mwaaah love it from kenya🎉🎉🎉
❤❤❤❤ utatika salama kwa ukwezi wa Mwenyezi Mungu dear❤❤❤❤
Jamani alieimba hii Mungu amtunze 🎉🎉🎉
Brayban unatumalisa n ngoma kama hizo big up chali yngu
Mi cjui kaa ni sauti,wimbo au mwenye wimbo ndo nmecrushia..kiswahili Cha uko pia...can't stop playing His songs.big love from kenya❤❤
The message is so deep. I love it
Done the best. Kijana una ktu utafika mbali sana nakuona kweny level fulan iviiiii.
Amen
Ila huu wimbo ni hatar ❤😊
Nyimbo mzuri Dr mm nakukubali
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪i love you buree and your work
Huyo dem ni mrembo sana kama umenotice piga like hapa🥰🥰🥰🥰🥰🥰
🎉
Diamond look for this guy. Amemshinda lavalava.
Hapo sasa nice message 😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Vocals ,instrumentals,language Chemistry.yaani kila kitu ni 🔥 . Nakubali
Home boy
Wimbo nzuri, ujumbe nzuri pia ndan ake inafurahisha na inatoa machozi.
Nipeni likes za kenya😍
🎉
Apo sawa brasa..Kenya tumelikubalj bonge la hiti
Kenya tumekubali ujumbe wa huo wimbo
@@Brayban❤
Nimekupa Sana broo
tuliokuja 2024
Hot hot hot i say its so hot blood...let us grow up our district . Nakubal sana uwezo wako njia zako n funzo kwangu
Nimekua nikisearch izi songs sikujua you are the one who sing uko sawaa cogrytz
Nimesumbuka kutafuta hii nyimbo leo nmebahatika naipenda sana
Am addicted to this song ..l love it ❤❤. listening from kenya❤❤
Iyo song ananiuliza weeh nani aiiii uko sawaa
Woow barikiwa sana akh
Salute bro🎉
Huyu mdada mweusi ameweza ❤❤❤
This song i watch more than 5times per day 👌🔥
Waah I love that song ❤🌹🇰🇪💯
Tanzania is veri talent me i from Zambia good jobs my friend
I approve this ✍️✔️
Much love this song from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaah huyu kijana ana talanta jameni❤
Huy mama ni mkali saaana,,
May God be with you all through, good talent
The song ilitoka right tym wakati nmeheartbreakiwa no day pass without listening this😢😢😢😢aki mapenzi wewe
Mhonja
Much love broo na huyo Dem black beauty uko star Sana aky, good job broo