Brayban - Tuliza Boli (Official Lyrics Video)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- #mapenzi #mahusiano
The song is about a heartfelt and introspective anthem that explores the challenges and struggles in relationship. It carries a message of resilience, determination, and the power of music as a form of self-expression and solace. The lyrics reflect the love journey through difficult times, acknowledging the weight they carry while seeking understanding and support from a loved one. The song's tone is both vulnerable and empowering, with verses that capture the complexities of life and a chorus that uplifts and inspires./
wimbo unahusu maumivu ya moyo na hisia za ndani pia unatafakari changamoto za mahusiano. Unabeba ujumbe wa uvumilivu, azimio na nguvu ya muziki huu ni kama njia ya kujiliwaza na kupata faraja. Maneno yanaonyesha safari yenye nyakati ngumu kwenye mapenzi, na mzigo mzito ukitafuta kueleweka kwa unayempenda. Utoaji wa wimbo unaunda mazingira ya uwazi na nguvu, na mistari inayodhihirisha ugumu wa mahusiano, ni wimbo unaowakaribisha wasikilizaji kujenga uhusiano na hisia zao wenyewenakupata nguvu ya kihisia,
Mungu akupe hekima, hii song inanifanya nilie machozi upendo hufunjika tu kafula, mtu hakumbuki mliko toka 😭
Wah! sorry Gladys,am a Kenyan nadai unitembeze bongo,uko ready??
Every time I listen to this song I found myself crying 😢 my ex left me with no explanation and went for good till date 😢😢😢
😭😭😭😭😭😭😭😭Hakubuki mlikotoka
@@wambuakasimu2431 nicheki mimi nikitembeze if you don't mind right
Umesema kweli kaka uso sahihi sana
Juu wimbo Kali Kweli kama umeukubali weka like ♥️
Jamani wa kwanza kutoka 254 🇰🇪 Kenya... Nipewe likes jamani... Keep it 🔥🔥brayban
I love this song ❤️
@@micahplimo Kali sana🔥🔥
Finally the song is here👏👏👏 let's support this cool song
Hadi nimetuliza..😂❤❤
Hiii nyimboo nimeitafutaa mpakaa nimepataa jamani naipendaa sanaa walai ❤❤❤❤ salut kwakoo Broo kaz nzuri
After healing from a big 💔 naye msanii wetu akatubariki na wimbo mtamu sana....mungu azidi kukupa kibali twakupenda
Karibu nivunjike mguu kutoka tiktok, nipeeni likes
Wimbo umekubalika sana,mistari inaflow
Hapo umeuwaaa kitu🔥🔥🔥🔥 my friend nakubali Sana love this song💓💓💓💓💓💓💓💓💓
Nyimbo zako tamu sana zanipendeza ❤️
Wa mwisho agonge lake hapa ngoma nzuri saaan😘😘
Daanh hii ngoma haijawahi kuchuja nikiachika tu naikimbilia 2024
umeua sana mwanangu kuanzia mashairi nakubali sana @brayban
Kuna nyimbo. Halafu kuna TULIZA BOLI 🙌🙌🙌
Bro hii imeenda ivoh 🎉🎉🎉🎉🎉lit 🔥🔥🔥🔥 Sana mpeee likes aki 🥰🥰🥰
Daaaah ww jamaa unaweza san daaaah yan kutwa mzima nimesikiliza iki gomaa tuuu
Huu wimbo sijui nasikiza mara ngapy Kwa siku❤ big u bro
❤❤❤❤ nyimbo nzuli sana ☝️
Hii ngoma n Kali sana . Hongera, wap likes jamani.Enjoying from 🇰🇪
Unaweza bro... mungu aendelee kukupa hekema👏👏
Hii part ya 'Kabla ya uamuzi baby ungepima ukubwa wa kosa' 🔥🔥🔥💋 💯
Dah haka kanyimbo nilivyo kasikiliza nimejikuta hata mimi naunda kawimbo kangu duh hongera mwamba
Love from TikTok keep going Baba your talented ❤❤❤this song is killing me
This song reminds me of my ex😭
Mwenyezi MUNGU akunyooshee njia janja. Unajua
Hii ngoma ni moto wa kuotea mbali, yaan nashindwa nikusifieje maana wimbo ni zaidi ya moto wenyew
Broo we ni 🔥🔥🔥🔥nimekuwa chini ya maji kitambo ila nimechoka kujificha
Brayban is not pregnant but he delivers the best 🔥🔥🔥
I love this song. B4 u left kindly investigate, tuliza ball❤
😢 3:28 3:30
Duuuh kanyimbo katamu satamuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Ngoma kali mmmnooo..., hongera kaka brayan kwa kazi Nzuri ., ongeza juhudi na maarifa.
Listened more than five times... Nice song
Keep it up boy❤
Nice song 😊inafunza pia .....well done ✅
Safi San kka kawimbo kazur San🔥🔥🔥
Wakenya mko wapii mnipeni likes aky😢😢 hatakama ni gapi😢😢😢
##brayban bigup bro kitu ni 🔥🔥🔥
Big congratulations to brayban hii wimbo ni kali sana misemo tuu imeniuwa mm❤❤❤
Wow, wimbo huu unapendeza mno❤
Baby ungepima...baada y kunizalisha ukankatizia ndoto zangu😢😢ungepima the wound can't heal honestly by I thank God for t gift(my boy)
Dah! Hii ngoma inanihusu Mimi kabisa 🥲
All the way from tiktok
Hyo jamaa mbo itape kutaba azirudi nyumba are good talent❤
Wakwanza jamani nipeni lake zangu hapa
❤❤mwaaah keep it up i love this song👍❤❤❤
Nimeipenda sana song yako mungu akujalie na naomba kupata audio
Unataka lake ama ni likes😢
@@stephenmutia5213 ila umeshaelewa
Kwani wimbo ni wako ndio tukupe likes
Umbalikiye sana kaka wetu endelea my dear
Nice 👍 song hi wimbo,imenifanya nikafikiria mbali sana
Kaangalie video
Brayban this is a great song keep it up u are de generation stars apa mbele
The sweetheartness of the song great work
Love this song.keep up
Kaka nakukubali kbs,ila kumbuka kwenye hii Dunia hapakosagi watu wakuvunjana moyo ila wewe wasikupe presha pambana baba mungu yupo
Sawa mari
Daah!!! Chuma Kali kinoma
Hii nikali bravo👏👏🔥🔥
Bonge la ngoma...sauti na style ya uimbaji inafanana na ya Mac voice wa Rayvan Next level music...nani mwingine amegundua hii...
Much love kaka,,yaani ❤❤❤❤wimbo mzuri akh,pole pole one by one,mbali unaenda kakangu.....afu nadhani nijuu yangu joh😂😂😂😂
Wimbo mzuri xna 👏👏👏👏
Nipeni lyks jamen
Good job A very good song, that is, he will get tired of it
Uko vizr bro Hadi bhc 2
Wee hii wimbo inanikumbusha hata najipata nalia tu chenye nilipitia kwa ndoa
Wow just wow keep it up bro
This song has reminded me about stunning situation😢.... congrats
Congrats bro mungu akunjalie,this song 😢😢😢
Aki hii wimbo inanifanya Malia🔥
Nakubali sana mapenzi yanaweza kupatikana katika siku za nyuma kwaiyo
Hio nyimbo inahuzunisha sana ukikumbuka mahali unatoana n mtu hila yeye mwenyewe haoni
Cool brother ,tumesuburi sana
Huu wimbo unanigusa sanaa
Anyone mwenye amefika Hapa because of TikTok 🙋
Me
Its already a big tune hii itajiuza tu congratulations❤❤❤
Wimbo mzur Sana
Sauti tu daa. Napenda kazi
Touching song keep up great job brayban
Naukubali huu wimbo❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Finally nimeusikiza hila sitosheki kukusikiza duh
Nyimbo nzuli sana🥰🥰🥰🥰
After a whole day questioning whose song it was finally we have the information...tuliza boli
Hatimae watu tumepata jina la wimbo,maana so poa,Ila ujue Kwa wimbo huu umetufikia wengi,wimbo umebamba tusio kusikiaga sasa tumekusikia hongera sana
nyc one message deliverd
Hakika bongo Mungu Amewapa Vipaji Mushukuru Mungu Kwa Hilo. Kila Msanii Anae Towa Ngoma yake Ina hadhi ya juu Zaidi 🇰🇪🇹🇿
Noma sana kaka
Upcoming rayvanny.... He's talented
Huu wimbo umetrent kabla utoke. Kenya inasikika kila mahali.
The best song in town, congrats 🔥🔥🔥
Watu wanatafuta hii song but hawajui inaitwa aje. TULIZA BOLI it is. it's a very nice song. it should be getting 1million views by now but people are still searching for it
Ngoma Kali sana 🔥👏👏
Nice song ,big up 🔥🔥🔥
🔥 congratulations bro, keep shining
🙏🙏kila siku lazima nisikize huu wimbo!may God bless you bro!
Wow ❤❤ finali🎉🎉 congratulations brayban and thank you for posting it finally
Congratulation brother
Kama unamkubali brayban drop your like. And share the song
Unajua tena unajua bro
ngoma kali sana nakupa maua yako mapema
Listening nikilia. Ile heartbreak nimepata. Wueh! Mungu tu
Tuliza 🏀🏀🏀❤❤Kali xana kk
Am in love with this song 🥰🥰🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️much love @BRAYBAN
Good job bro,,,Go go go
Aki napenda nyimbo za huyu jamaa.....nipeeni likes aki woooyiiie ❤❤❤
Pia me napenda sanaaaaaaa❤
Ngoma Kali sana brother 🔥🔥🔥❤
this is one of my favourite upcoming artist ....just pure talent you big fun from now onwards
Me from TikTok jmn❤❤❤
Hii imejaa wisdom ,ungepima
Hongera sana kakangu Unafanya kazi nzuri sana✌️❤️
Congratulations bro keep shining🔥🔥