MASWALI NA MAJIBU KWA SHEIKH MUHAMMAD KUSOMA (BIDAA) IGOMA MWANZA 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • MASWALI NA MAJIBU KWA SHEIKH MUHAMMAD KUSOMA (BIDAA) IGOMA MWANZA 2024
    .
    ASANTE KWA KUCHAGUA #SUFFYONLINETV
    +255 675 129 220
    .
    SUBSCRIBE #SUFFYONLINETV UA-cam CHANEL

КОМЕНТАРІ • 44

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 Місяць тому +3

    Allah akupe umri Mrefu tuzidi kustafidi kwa Elimu yako sheikh wangu. Allahumma Aamiin!

  • @rushu1232
    @rushu1232 2 місяці тому +7

    Nakukubali sana sheikh wangu Kusoma

  • @AyubEsmail-mq4gu
    @AyubEsmail-mq4gu Місяць тому +1

    Mashaallah sheikh wetu. .

  • @allykihogo3359
    @allykihogo3359 Місяць тому +1

    Masheikh tufundisheni dini acheni kutumezesha maneno haqq haina porojo ,mkumbuke pia mtaulizwa na ALLAH siku moja juu ya elimu zenu ,katika dini Makundi ni mawili
    1.waliofanya ibada kwa elimu
    2.waliofanya ibada bila elimu
    a)kuna wanao dumu
    b)kuna nyakati wanafanya/wanaacha
    3.wasio fanya ibada
    Walinganizi nao wapo Makundi
    1.wenye kulingania kwa elimu
    a)kuna wanao lingania haqq
    b)kuna wanaoficha haqq
    2.wenye kulingania pasina elimu
    Sasa masheikh mnadhima kwa ALLAH kutuvusha

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Місяць тому +1

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe

  • @Jamalybella
    @Jamalybella 2 місяці тому +2

    Mashallah mwamba khatar sana

  • @shilolemwakizenga4204
    @shilolemwakizenga4204 2 місяці тому +2

    ماشاءالله

  • @muradkhamissalim5047
    @muradkhamissalim5047 Місяць тому +1

    MashaAllah ALLAH awahifadhi InshaAllah

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 Місяць тому +1

    Allah amhifadh sana shekh Abul Fadhwl qaasim mafuta. Wallah ameyahariri haya mambo ya bidaa kiasi kwamba sisi watu awaam hatubabaishwi na mashekh wa kibidaa. Namuapa Allah hakuna jambo ameongea huyu mzushi hapa isipokuwa yamejibiwa na yamehaririwa vizuri kiasi kwamba hakuna shubha yyt hapo. Yaaan kiufup nasema hvi. Awwaam wa hao mnaowaita wahab ni zaid ya mashekh wa kisufi

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi Місяць тому +1

    Hapo upo sawa kwa sababu Mtume saw wakati wa uhai wake hapakuwepo vipaza sauti misikitini wala mazulia tunayothmia wala misahafu ya makaratasi wala saa ndani ya misikiti wala silaa zinazotumika leo katika vita wala ndege waanazosafiria mahujaji kwenda hija wala usafiri wa magari.

    • @mariamshaban4518
      @mariamshaban4518 Місяць тому

      Kaka asalamu alykum hujaelewa naomba unitafute tueleweshane

    • @BofuMlanzi
      @BofuMlanzi Місяць тому

      @@mariamshaban4518 sawa.

    • @BofuMlanzi
      @BofuMlanzi Місяць тому

      @@mariamshaban4518 waalaykum salaam hamna shaka tutawasilina muda si mrefu.

  • @allykihogo3359
    @allykihogo3359 Місяць тому +1

    Assalaam alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh wetu huyu moja ya kitu ambacho amekifanya nakisiwe na msaada kwetu ni pale alipowataja wanachuoni wengi(10) wakielezea vigawanyo vya bidaa lakini pasina kuvielezea hivyo vigawanyo,kunahaja gani ya kujua kua bida'a imegawanyika sehemu mbili bila maelezo

  • @adamkubiga7688
    @adamkubiga7688 Місяць тому +1

    Anajikanyaga anajipiga radi mwenyewe,Allah amuongoze huyu kiumbe

  • @allykihogo3359
    @allykihogo3359 Місяць тому +1

    Ili sisi watu wa kawaida tuweze kustafidi ilitakiwa hivyo vigawanyo avielezee kama hao wanachuoni walivyovieleza, lakini ukitueleza tu kua bida'a ziko mbili nzuri na mbaya halafu ukatuacha hewani tutakua makasiku kwasababu mtu akikuuliza nzuri na mbaya kivipi hakuna cha kujibu ispokuani 🏃‍♂️

  • @AdamRajab-xd3zg
    @AdamRajab-xd3zg 2 місяці тому +3

    Yan mada km h halafu kuna mpumbav mmoja anacma shkh akadanganya hata aib hain

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 Місяць тому +1

    Tumsubiri shekhe bachu ili tuziziruhusu akili zetu kuchambua

  • @binaamour318
    @binaamour318 2 місяці тому +1

    Mashalwah maktaba inayotembea tufundishe

  • @user-mu9nl3vv4b
    @user-mu9nl3vv4b Місяць тому +1

    Allaah awaongoe wao pamoja nasie

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 Місяць тому +1

    Mtume kasema
    خذوا مناسككم مني
    chukueni ibadazenu kutoka kwangu.
    Sasa wewe shekh ni wapi mtume alisoma khitima kwa kuwaombea maswahaba. Nyie Allah anakuoneni

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o Місяць тому +1

    nilikua najua unajua kumbe hamna kitu.fuatilia hizo hidithi vizuri acha kutumi ufahamu wako

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 2 місяці тому +1

    MASHAALLAH

  • @KomboShineni
    @KomboShineni Місяць тому +1

    asnte shkh ila wengine talbs kama hii tushaizoea

  • @KomboShineni
    @KomboShineni Місяць тому +1

    je ufahamu huo nani kakutangulia ktk wema walio pita shkh?

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 Місяць тому +3

    Huyu kiumbe ni khatari anaunganisha vitu kiabunuwasi kwa mtu mwenye maarifa finyu katika dini amemuangamiza kwa mfano alipo linganisha neno KULLU katika hadith ya kullu bidaatun dhalala na Kullu iliomo ktika kisa cha Ibrahimu suratul Baqra
    ثم اجعل على كل جبل جزء منهن
    Kisha uweke katika kila mlima baadhi ya viungo vya ndege hao ulio chinja.
    akasema kama neno KULLUN inamaanisha kila kilichotajwa iweje nabii wa Allahu Ibrahima aliweka viungo vya ndege wale aliowachinja katka milima minne tu pale maka.
    Hoja yake akitetea kua SIO KILA BIDAA ni UPOTEVU.
    Tunamwambia shekh huyo kua hapo hapana MASHIKO hata kidogo.
    Alipo ambiwa Ibrahima pale alipokua yeye kulikua na hiyo milima mnne tu kama ungekuweko mlima mwingine wa Tano kwa sifa ya mlima angeweka hivyo viungo, na anaposema Mtume kila Uzushi anamaanisha UZUSHI WOTE ULIOPO NA UTAKAO KUJA ambao Mtume na Ashabi zake hawakufanya

  • @Jamalybella
    @Jamalybella 2 місяці тому +2

    Maktaba inayotembea

  • @ZuberiAbasi-ee2vr
    @ZuberiAbasi-ee2vr Місяць тому +1

    اتكالله

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому +1

    mimi nataka Nıqash na huyu shekh!

    • @ramadhanisulemani9016
      @ramadhanisulemani9016 Місяць тому

      Huyu mbishi sana hutamuweza mzee tulia tuu

    • @Allyabdu-vr1tn
      @Allyabdu-vr1tn Місяць тому

      Wewe nihewa huna chote katika elimu yadini kufa kwachungu wako.

  • @user-ih7nl5nv3c
    @user-ih7nl5nv3c Місяць тому +1

    ngoja ujibiwe

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 Місяць тому +1

    Acheni siyasa kwenye dini nyie. Mogopeni allah inatosha kudanganya watu dakika 30 Hadidhi 1 hlf unadanganya watu wewe

  • @softjeanskhakis789
    @softjeanskhakis789 2 місяці тому +1

    Subhanallah. Wadanganya wazi wazi Allah anakuona

    • @sudinamalwa823
      @sudinamalwa823 2 місяці тому +1

      Ww acha ushamba...

    • @abdallahsiraji9919
      @abdallahsiraji9919 2 місяці тому +1

      A.alaykum..
      Kadanganya nini hebu nieleweshe kwa ukweli wa Kiislam nami nielewe...
      Au labda hujamuelewa? Au unamchukia?

    • @AdamRajab-xd3zg
      @AdamRajab-xd3zg 2 місяці тому +1

      Leta ww ukweli wako wa vitabu km huyu Maalim ili tukuelewe

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 місяці тому

      softjeanskhakis789 kwani wewe hivo vitabu wavijuwa mpaka useme yuwadanganya. Hiyo ndio taabu yenu mawahabi wakitajwa wanazuoni wenu kina Sheikh Imam Ibnu Taymiyah kwa jambo ambalo wamepingana na nyinyi huwa hamutaki ubaya wenu nyinyi hamutaki kusoma na ubishi mwingi kazi yenu nikusikiza mashekhe wenu na Elimu za ujanja ujanja Ibara wasoma ndivyo sivyo na kutafsiri kwa akili zao mbovu. Wacheni uvivu nendeni mukapige goti mbele ya mwalimu mukasome tena angalieni ni mwalimu aina gani anaewafundisha manake kuna wengine ni walimu mikebe mitupu kazi yao ni kufundisha ubishi

    • @MohamefMullah
      @MohamefMullah 2 місяці тому +2

      Mawahabi si waelewa na hawataelewa mpaka kiama kitasimama maana vichwa vyao vina akili zao masomo yao ibada zao zinawatosha wenyewe tu