Mbosso - Nipepee (Zima Feni) Instrumental

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • For Bookings: Contact +255652088891 Email:bookmbosso@gmail.com
    Follow Mbosso On:
    Instagram: / mbosso_
    Twitter: / mbossokhan

КОМЕНТАРІ •

  • @starmakervideos1984
    @starmakervideos1984 2 роки тому +1

    lyrics
    Hewallah
    Mungu kanipa nilichomuomba
    Mashallah
    Raha
    Na wala
    Si shriki huba tulimenisomba
    Nala nalala
    Jamani rahaa
    Ntakulinda kwa kunuti
    Nitapigana jihadi
    Pendo liwe madhubuti
    Wasiingie waganga,
    Wapambe vigurushuti
    Wape chai kwenye jagi
    Yetu tamu biscuit
    Wasitie mchanga
    Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele
    Pia, ulipige mabusu
    Liwachome kwelikweli wenye viherehere
    Pia, wakome yasowahusu
    Baby zima feni (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo unipepee
    Leo zima feni (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo unipepee
    Zima niyoyozi (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo unipepee
    Zima feni (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo unipepee
    Tuoge ya vuguvugu
    Maji ya baridi siyawezi
    Si unanijua
    Nnaugonjwa wakutetemeka
    Nisugue sugusugu
    Ongeza zaidi kunienzi
    Kuneng'emua
    Kwa ngonja pita njopeka
    Fanya nizidi nkupende
    Niwe wapeke yako daima
    Iwe bigwa mwalusembe
    Shamba langu lako nalima
    Huba tufunge ngengenge
    Tuwape na viapo karma
    Ili wakupiga denge
    Tamu pendo wasitie sumu
    Penzi letu baiskeli kaa bomba la mbele
    Pia, ulipige mabusu
    Liwachome kweli kweli wenye viherehere
    Pia wakome yasowahusu
    Baby zima feni (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo unipepee
    Leo zima feni (Nipepee)
    Nimeleta Kipepeo Unipepee
    Zima kiyoyozi (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo Unipepee
    Zima feni (Nipepee)
    Nimeleta kipepeo unipepee
    Ntakulinda kwa kunuti
    Nitapigana jihadi
    Pendo liwe madhubuti
    Wasiingie waganga,

  • @esposwit5213
    @esposwit5213 6 років тому +2

    Mbosso...mkli

  • @mediaentertainment7211
    @mediaentertainment7211 6 років тому +5

    Nice work Mbosso, keep doing the great work of uploading instrumentals in all videos. Sana Mbosso!

  • @VMBrecords
    @VMBrecords 2 роки тому +1

    I wan't to be like you mbosso

  • @deborahelias3503
    @deborahelias3503 6 років тому +3

    Mbosso!!!!!!!!
    Jaman!!!!!!!!!!
    Haya bhana!!!!!!!!

  • @idrisamdangi3848
    @idrisamdangi3848 6 років тому +3

    Fundi wa mafund tz mpk dunian kote bab kaza wt mbn watakaa🔥🔥🔥WCB 4life🎹🎼👏😂

  • @Jastus100
    @Jastus100 6 років тому +3

    Asante sana mbosso kwa kusikiliza omba langu la kutupa beat tu, 💪🔥🔥🎤🇹🇿💯

  • @blendembesimba
    @blendembesimba 5 років тому +2

    Rahaa sana, m'dogo wangu lakini naomba ruhusa'kwa hiyi beat yako nimependelea ku igeuza kwa lugha ya ki italiano naomba ruhusa kwako ndugu yangu mbosso!

  • @sumayaissa6166
    @sumayaissa6166 6 років тому +9

    Masha Allah

  • @michealbrowntv8095
    @michealbrowntv8095 6 років тому +12

    Nice sana mbosso like Kama umeikubali

  • @innoboo158
    @innoboo158 6 років тому +8

    First 🔥🔥

  • @benhadhramaut2610
    @benhadhramaut2610 5 років тому +1

    سبحان الله ماشاء الله
    Masha Allah

  • @abdallaabdalla4008
    @abdallaabdalla4008 6 років тому +2

    Best song i like it ❤❤❤❤❤👍

  • @VMBrecords
    @VMBrecords 2 роки тому +1

    Vila music mwendo kasi

  • @astonsikomi9668
    @astonsikomi9668 6 років тому +7

    I like it

  • @heroboysimbamtoto2994
    @heroboysimbamtoto2994 4 роки тому

    Nomasanaaaa,,,

  • @hashymhassane2973
    @hashymhassane2973 6 років тому +1

    Safiiii

  • @Tonitoo
    @Tonitoo 6 років тому +3

    AsanteKaka kwa Instrumental

  • @witnessmarley5391
    @witnessmarley5391 6 років тому +2

    Mpk niujue wote

  • @witnessmarley5391
    @witnessmarley5391 6 років тому +2

    Jamannnn naskia raha

  • @naomibisieiri9625
    @naomibisieiri9625 6 років тому +1

    woow looking doog

  • @shaafici_qalbi
    @shaafici_qalbi 5 років тому +3

    can i use pls this music my song somalia languoge

  • @amosmsafi3528
    @amosmsafi3528 6 років тому +1

    Nice mbosso

  • @witnessmarley5391
    @witnessmarley5391 6 років тому +1

    Jaman raaaaaaha

  • @MaxOne-d9m
    @MaxOne-d9m Рік тому

    C❤❤

  • @hadijamohamed3311
    @hadijamohamed3311 6 років тому +1

    swafi sana

  • @josephrichard9665
    @josephrichard9665 6 років тому +1

    Haina namna fundi endelea kufanya kazizako

  • @Kingofbeatz
    @Kingofbeatz 6 років тому +4

    Big up kwa Lizer 👏👏👏

  • @surprizedenq403
    @surprizedenq403 5 років тому +1

    Good style

  • @valentineanatory1551
    @valentineanatory1551 6 років тому +1

    King

  • @raymondmapendo7558
    @raymondmapendo7558 6 років тому +3

    Good luck to everyone

  • @ibrahimbarazaibraaa681
    @ibrahimbarazaibraaa681 6 років тому +1

    🔥🔥🔥💯

  • @saoamy7168
    @saoamy7168 6 років тому +1

    Noma

  • @eliasl1011
    @eliasl1011 6 років тому +1

    Sijakawa nami

  • @elizafelix1
    @elizafelix1 6 років тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamedsayeed4964
    @hamedsayeed4964 6 років тому +3

    🤘🤘💥

  • @moewillie
    @moewillie 6 років тому

    🔥🔥🔥

  • @desireamani8857
    @desireamani8857 6 років тому +1

    bahatibukuku

  • @wilymsumary6263
    @wilymsumary6263 6 років тому +2

    Good

  • @sumayaissa6166
    @sumayaissa6166 6 років тому +3

    👑👑👑

  • @lewischerus1313
    @lewischerus1313 2 роки тому

    Kipepeo lyrics

  • @doublek5764
    @doublek5764 5 років тому

    Unafanya la maana sana Ku up Lod na instrumental mwana. Mia mia sana nitakua mteja wako daima kama utaendelea kuachia na beat

  • @yardashbenyassine7741
    @yardashbenyassine7741 5 років тому

    cool